Taarifa za simu yakohabar mkuu
nina Microsoft RM 1074 IMEI-35861606000612, imelokiwa na mtandao wa Australia Telstraone unaweza kui unlock?
Bila shaka ni tatizo la hardware. Ipeleke kwa fundi utafiti ufanyike.Mim nna tatizo kidogo tofauti na ili kwa mwenye ufahammu kuusu ili anijuze.simu yangu ni samsung duos yani hata nikiizima kama betri nmeiacha kwenye simu inaisha chaji completely je nini chanzo na inaweza kupona?
Shukrani kwa ushauriBila shaka ni tatizo la hardware. Ipeleke kwa fundi utafiti ufanyike.
Model: VF685Nina Vodafone , IMEI 357053067468023, naomba unitumie unlock code, inatumia Vodacom tu.
Nimeshatuma mkuu,,,,,, Tsh 10,000/=
Model: VF685
Brand: VODAFONE
IMEI: TAC: 357053 FAC: 06 SNR: 746802 CD: 3
Codes zako ziko tayari, Fanya malipo tsh 10'000 Tumia moja ya namba zangu kwenye post #1 kufanya malipo
![]()
Mkuu simu za haloteli je nazo unaziwezea..?Angalizo alilotoa nizuli Mr IQ
Mfano Kwa mwaka jana 2015, Watu wawili tofauti walitapeliwa kwa kutumia jina la Mwl.RCT
Mmoja wa matapeli alijifanya yeye ndiye Mwl.RCT na mwingine alijifanya kuwa katumwa na mimi. Hivyo wakajipatia pesa.
Ila mwisho wa siku victims (waliotapeliwa) wote wawili walikuja kubaini ukweli.
Angalizo kwa wana JF:
- Usifanye malipo yeyote kabla ya kuwasiliana nami kwa moja ya haya mawasiliano yangu
- Voda 0768 92 48 41
- TiGo 0717 54 57 62
- AirTel 0784 496 856
- Skype: mw1rct
- Whatsapp: +255 784 496 856
- eMail: mw1rct at gmail.com
- Au kwa JF PM
Thanks MkuuNdugu Kigobo
Codes zako ni hizi
NCK: 31202648-81
NSCK: 33306803-56
SPCK: 32293398-67
CPCK/SIM: 30097041-33
CCK: 32864557-80
PCK: 27831967-05
Washa simu ikiwa na laini tofauti kisha ingiza NCK code: 31202648 TU, Kisha gusa OK
Done, simu yako iko tayari kwa matumizi ya laini yeyote.
KARIBU
> Je inakuomba codes pindi uiwashapo ikiwa na laini tofauti? - Pitia post #1 kwa ufafanuzi zaidiHabari zenu wana jamii forum?
Nina simu ambayo nilitumiwa toka America, inawaka na kufanya shughuli zote za internet kwa kutumia wi-fi ila nashindwa kuitumia kwa mawasiliano kwani inashindikana kutumia laini za Tanzania. Nimejaribu kuzunguka kwa mafundi kadhaa bila mafanikio.
About Phone: MIN - UNKNOWN
ESN - 802CAC19
MEID HEX - 35833006276818
MEID DEC - 089-778-995-802-582-552
IMEI - 3583300662768188
PRL VERSION - 160
BRAND - BOOST MOBILE
LGLS751 MODEL
Kwa anayeweza kunisaidia kufungua simu hii either kwa kunielekeza jinsi ya kufungua au kunipa mawasilino ya fundi anayeweza kunisaidia, nitashukuru sana.