Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Inaonekana wewe mgeni humu
Angalizo alilotoa nizuli Mr IQ

Mfano Kwa mwaka jana 2015, Watu wawili tofauti walitapeliwa kwa kutumia jina la Mwl.RCT

Mmoja wa matapeli alijifanya yeye ndiye Mwl.RCT na mwingine alijifanya kuwa katumwa na mimi. Hivyo wakajipatia pesa.

Ila mwisho wa siku victims (waliotapeliwa) wote wawili walikuja kubaini ukweli.

Angalizo kwa wana JF:
- Usifanye malipo yeyote kabla ya kuwasiliana nami kwa moja ya haya mawasiliano yangu
- Voda 0768 92 48 41
- TiGo 0717 54 57 62
- AirTel 0784 496 856
- Skype: mw1rct
- Whatsapp: +255 784 496 856
- eMail: mw1rct at gmail.com
- Au kwa JF PM
 
NCK: 4231 6353

Washa simu ikiwa na laini tofauti kisha ingiza hizo Codes.

Karibu
Mkuu asante sana, simu yangu baada ya kukupa IMEI na kunipa gharama yake kwa kweli kwa ss inatumia laini aina zote. Shukurani sana mungu akuuongoze ili wasiyo amini wakuamini kwa huduma yako. Pamoja sana
 
Mwl RTC vip kuhusu risk endapo code zitagoma na akazirudia zaid ya mara tano.?
Iwapo code zitagoma - Hii maana yake ni kuwa
1. IMEI namba iliyotolewa siyo sahihi
2. Au IMEI number imetolewa sahihi, ila katika kuweka kwenye database ndio makosa yanakuwa yamefanyika

Kawaida huwa kuna kuwa na unlock attempt zipatzo 10, Mfano wa simu za huawei. Huwa mteja anashauriwa aweke codes mara moja tu. iwapo kama imekataa basi atoe taarifa (feedback) ili kuangalia upya usahihi wa code au kupata ufafanuzi je simu yake inatoa ujumbe upi.

Kawaida huwa nakuwanazo codes nne (4) tofauti yaani:

NCK = SIM me lock(NP) = SIM network unlock PIN ( kwa simu inayosoma laini ya mtandao mmoja)
NSCK = SIM me lock(NS) = SIM network subnet unlock pin
SPCK = SIM me lock(SP) = SIM service provider unlock pin
RESET = SIM unblock reset key = SIMLOCK block unlock reset KEY (Kwa simu isiyosoma laini yeyote)

Asilimi 98 ya wanaotaka huduma huitaji NCK pekee na asilimia mbili hulazimika kupata RESER/SIMBLOCK code sambamba na NCK codes.

Haijawahi kutokea nikatoa codes zisizofanya kazi.
Sababu Huwa nahakiki IMEI namba kwa system mbili tofauti. Kabla ya kuitumia IMEI husika.

KARIBU
 
Naomba msaada wa kunlock simu ya Nokia 1110 itumie line zote
Ni ya airtel
Imei no . 359574017604365
 
  • Je simu yako ni ya NOKIA, LG, MOTOROLA au HUAWEI na inatumia laini moja?.
  • Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code
Kama jibu ni ndio basi hii thread inakuhusu. Karibu

Je ni Jinsi gani ya kufungua(unlock) simu kwa kutumia unlock codes?

  • Kufungua(unlocking) simu kwa kutumia codes ni rahisi sana. Ili kupata unlock code kwa ajili ya simu inatakiwa utoe IMEI namba ya simu. Andika kwenye simu yako * # 06 # au kwa kuondoa betri kutoka kwenye simu yako utakuta IMEI namba imeandikwa.
imei_number.png
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
  • Fuata hizi hatua:
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.

Je ni simu zipi zinahusika katika hii huduma?

  • Ni zile tu ambazo ukiweka laini nyengine tofauti, mfano yaweza kuwa ni simu yako ni NOKIA, LG, MOTOROLA, HUAWEI,nk,ila inakutaka uingize unlock codes. Hii haihitaji uende ofisini kwa fundi ni wewe mwenyewe mahala ulipo unaweza fanyia unlocking simu yako. Kwa kuingiza unlock code ulizo nunua.

Kwa nini simu yako inapaswa kuwa unlocked?

  • Simu ambayo ni unlocked utaweza kuitumia kwenye mitandao mingine. Pia baada ya kusafiri nje ya nchi utaweza kuitumia kwenye mitandao na nchi husika. Vile vile ili Kuongeza thamani ya simu yako
kwa sababu inaweza kutumika kwa laini za simu tofauti tofauti.

Je, ni salama ku unlock simu yako kwa kutumia code itokanayo na IMEI namba yako?

  • Kufungua(unlocking) kwa njia ya code ni salama kabisa na ndio njia ipendekezwayo zaidi. Simu yako itakuwa salama bila kuathiri muundo wake wa programu. Pia hizi code hutokana na watengenezaji wa simu husika wenyewe.
----------------------------------------------------------------

UNLOCK SASA SIMU YAKO PENDWA YA HUAWEI
Y530NA Y330 KWA TSH 20'000 TU, ILI UTUMIE LAINI YEYOTE ILE

UTAPATA CODES ZAKO NDANI YA Siku za kazi 1 - 3
---------------------
huawei_logo.jpg

----------------------------

Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.

HUDUMA NYINGINE

>>| Ninauza MPEG4, FULL HD Receiver > Click Haya Maandishi | Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver
>>| CCcam Accounts
jamiifprums_dec.jpg
Other SERVICE
>> | VPN code re seller

>>| Qsat Decoder re seller; Click here
Mkuu nisaidie jinsi ya kutoa adobe air kweny andoid phone
 
Je halotel H8401
 
Iwapo code zitagoma - Hii maana yake ni kuwa
1. IMEI namba iliyotolewa siyo sahihi
2. Au IMEI number imetolewa sahihi, ila katika kuweka kwenye database ndio makosa yanakuwa yamefanyika

Kawaida huwa kuna kuwa na unlock attempt zipatzo 10, Mfano wa simu za huawei. Huwa mteja anashauriwa aweke codes mara moja tu. iwapo kama imekataa basi atoe taarifa (feedback) ili kuangalia upya usahihi wa code au kupata ufafanuzi je simu yake inatoa ujumbe upi.

Kawaida huwa nakuwanazo codes nne (4) tofauti yaani:

NCK = SIM me lock(NP) = SIM network unlock PIN ( kwa simu inayosoma laini ya mtandao mmoja)
NSCK = SIM me lock(NS) = SIM network subnet unlock pin
SPCK = SIM me lock(SP) = SIM service provider unlock pin
RESET = SIM unblock reset key = SIMLOCK block unlock reset KEY (Kwa simu isiyosoma laini yeyote)

Asilimi 98 ya wanaotaka huduma huitaji NCK pekee na asilimia mbili hulazimika kupata RESER/SIMBLOCK code sambamba na NCK codes.

Haijawahi kutokea nikatoa codes zisizofanya kazi.
Sababu Huwa nahakiki IMEI namba kwa system mbili tofauti. Kabla ya kuitumia IMEI husika.

KARIBU
Vipi kuhusu ku update android version mkuu
 
Na nokia ya tochi pia inatumia lain moja ya voda tu ukiweka lain nyingine inaandika insert sim card je inawezekana kuunlock
cc mwl.RCT
 
Kwa remotely service, Hapana haiwezekani. Rejea maelezo post #1
 
Back
Top Bottom