- Yes, It Can be unlocked, But
- Invalid IMEI # , Pls recheck
- KARIBU
Nauliza kama inawezekana , nina ascend y330-u11 IMEI 866698023974391 iko locked na mtn uganda, kingine nikiwasha ina start na kuonyesha mtn logo sijui inawezekana kuichange na kuanza normaly kama simu ambayo haiko network locked ?? Na ni bei gani??
Inawezekana kupata Inlock codes
Fanya malipo ya TSH 10'000 kwa namba mojawapo kati ya hizi: 0717 54 57 62 au 0784 496 856
Ndani ya dakika Tano (5) utapata codes, na utakuwa huru kutumia Laini yoyote.
Washa simu ikiwa na laini tofauti.Nauliza kama inawezekana , nina ascend y330-u11 IMEI 866698023974391 iko locked na mtn uganda, kingine nikiwasha ina start na kuonyesha mtn logo sijui inawezekana kuichange na kuanza normaly kama simu ambayo haiko network locked ?? Na ni bei gani??
Washa simu ikiwa na laini tofauti.
Kisha ingiza hizi namba 172 141 238 203 2353
Karibu