Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Ku-unlock Tecno H6 imekuwa locked na Tigo ni TShs ngapi? IMEI hizi hapa
 

Attachments

  • 1424335109325.jpg
    1424335109325.jpg
    7 KB · Views: 203
Mkuu kam simu imepotea na una Imel no.unaweza kuifunga?
  • je simu yako inatumia OS ipi?
  • Kwa Android kuna app ambazo zinakuwezesha kufuta data zako, iwapo simu itakuwa online, Na wewe kwa kutumia Play store,[baada ya ku_login kwa gmail account], waweza install hiyo apps remotely , Na itaweza kufuta kila kitu.
  • Hii linawezekana iwapo tu simu yako bado haijafanyiwa Hard Resert
 
  • je simu yako inatumia OS ipi?
  • Kwa Android kuna app ambazo zinakuwezesha kufuta data zako, iwapo simu itakuwa online, Na wewe kwa kutumia Play store,[baada ya ku_login kwa gmail account], waweza install hiyo apps remotely , Na itaweza kufuta kila kitu.
  • Hii linawezekana iwapo tu simu yako bado haijafanyiwa Hard Resert

Simu yangu iliyopotea ni android huawei y530 nataka kam kuna uwezekano wa kuifunga kabisa isifanye kazi.
 
Simu yangu iliyopotea ni android huawei y530 nataka kam kuna uwezekano wa kuifunga kabisa isifanye kazi.
  • Pole sana.
  • Y530 ina built in ya hii feature ya Kufuta taarifa zako zote, Kama ungekuwa umeifahamu mapema basi ungeweza 1]Kufuta Taarifa zako zote, 2]Kubadili Screen Lock Password na 3] Kuifunga kabisa
  • Ulichotakiwa kufanya awali ni kungia SETTINGS > SECURITY > Device Administration - Hapo unaweka Check mark
Screenshot_2015_02_19_12_44_33.png

Screenshot_2015_02_19_12_46_28.png

Labda nitowe wito kwa wadau wengine wenye android - Tuwe na kawaida ya kutafiti hasa kuhusu usalama wa simu zetu. Kuna third part Apps nyingi ambazo zingeweze kausaidia katika tatizo kama hili
 
Mwl.RCT,

Shukrani kwa taarifa yako. Sasa siku nyingi ya mbinu inapatikana kwa kufungua simu. Lakini i kuwa unlocked simu yangu kwa kutumia code kufungua. I got kufungua code kutoka tovuti hii Unbblock.com basi unlcoked muziki wangu kwa urahisi.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa c muongo, leo nmemtumia pesa na IMEI ya cmu yangu amentumia code na cmu ss inasupport line zote. Asante sana Mwl. Rct
 
Mwl.RCT,

Mwl. kuna mtu nataka aniletee simu kutoka UK ziko locked iPhone 5 kwaT mobile network Na galaxy s5 mini kwaO2 network, na kazinunua hata wiki haijachukua, JE! waweza kuzitoa hizo lock? na ni bei gani?
 
Last edited by a moderator:
iPhone 5 kwaT mobile network
  • USD 132
  • Omba akupe apple/Itune ID
  • Sababu factory unlock codes huja kama updates kupitia itunes hivyo lazima uwe na email & password iliyotumika awali
galaxy s5 mini kwa O2
  • USD 35
  • IMEI number tu inatakiwa
Mwl.kuna mtu nataka aniletee simu kutoka UK ziko locked iPhone 5 kwaT mobile network Na galaxy s5 mini kwaO2 network,na kazinunua hata wiki haijachukua,JE waweza kuzitoa hizo lock?na ni bei gani?
 
mwl.mm simu yangu orange spvm 5000 imebelocked kwa orange tu imei no..355195002322450 .je itawezekana kuunlock
 
Vodafone vf 685 Mwl.RCT

Vitu viwili vinatakiwa baada ya kuwa umefanya malipo

1. IMEI number *#06#

2. PID - angalia nyuma simu baada ya kuondoa betri imeandikwa hivi V6xx-2xxxTZ1

UTAPATA unlock codes ndani ya dakika 5.

Karibu
 
Last edited by a moderator:
Mtaalamu wa simu mimi nina simu ya samsung hapa home sasa watoto wanadai walitoa line baada ya kuirudisha line haisomi na nimejaribu kuweka na line zingine inakataa kusoma tatizo ni nini?
 
hi

can you unlock my iphone 4, IMEI-01242000912662

let me know 0753055509
 
Back
Top Bottom