Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Naomba niandalie basi code yangu ya hiyoo huawei ikiwa tayari nifanye malipo
 
Ndugu Playboy
Y530 - Unlock Code: 247 126 622 913 27xx

Ndugu STERLING2014
V685 - Unlock Code: 010244xx

Namba mbili za mwishoni "xx" nitawapa mkisha wasiliana nami.

Karibu
 
Ndugu Playboy

Huawei Ascend Y530
IMEI: 869563013603938
Unlock Codes: 247 126 622 913 2752

Washa simu ikiwa na laini Tofauti, Kisha ingiza hizo Unlock Codes

Karibu
 
Last edited by a moderator:
Ndugu Playboy

Huawei Ascend Y530
IMEI: 869563013603938
Unlock Codes: 247 126 622 913 2752

Washa simu ikiwa na laini Tofauti, Kisha ingiza hizo Unlock Codes

Karibu

Asantee sana mkuu ninekukubali kesho utapata chochote tuendelee kusaidiana now nainjoy mitandaooo yotee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mwl.RCT

Hebu nichekie hii IMEI No kama utaweza ku unlock na itanicost 15,000 pia

IMEI: 355188063995819
PHONE: Z3
LOCKED: O2
 
Mkuu Mwl.RCT

Hebu nichekie hii IMEI No kama utaweza ku unlock na itanicost 15,000 pia

IMEI: 355188063995819
PHONE: Z3
LOCKED: O2
FWTYQw_d.jpg
Model: Xperia Z3 D6603
Brand: SONY
IMEI: TAC: 355188 FAC: 06 SNR: 399581 CD: 9
Network Locked: O2
Origin Country: ???:A S check_03:
Unlock Price: USD 29 ~ ~= TSH 58'000
Waiting Time: 4 Working Days

NB: Hakikisha simu imeomba unlock codes. KARIBU { Mawasiliano na Malipo angalia Post #1 Juu }
 
Sasa niombe kwanza unlock codes ama malipo yanafata hadi codes zikija
 
Mkuu

sasa utaniombea codes ama nifanye malipo kwanza
Fanya malipo KWANZA kwa moja ya hizi namba: TiGo 0717 54 57 62 au Voda 0768 92 48 41 au Airtel 0784 496 856

Kisha nijulishe KWAMBA umefanya malipo,[a] Kupitia hii thread [b] Au kwa sms kwa namba tajwa hapo juu.

Karibu
 
Mwl. RCT
Naomba unisaidie code za Ku_unlock Huawei Y530 yenye imei hizi 869563010090477. Malipo yatafanyika soon.
ASANTE
 
Kuna mtu hapa alinipigia simu kuhusiana na Jailbreak...tukahaidiana anitafute nitamuelekeza chakufanya.

Unaweza pia kunitafuta : #WhatsApp +255787921515
# +255763323534 # +255654354583.

Skype, live:eraldius44

Eraldius, partner wa MW.RCT #=Mwanza

Karibu.
 
Mwl. RCT
Naomba unisaidie code za Ku_unlock Huawei Y530 yenye imei hizi 869563010090477. Malipo yatafanyika soon.
ASANTE
  • Unijulishe kwa sms baada ya kufanya malipo
 
Fanya malipo KWANZA kwa moja ya hizi namba: TiGo 0717 54 57 62 au Voda 0768 92 48 41 au Airtel 0784 496 856

Kisha nijulishe KWAMBA umefanya malipo,[a] Kupitia hii thread [b] Au kwa sms kwa namba tajwa hapo juu.

Karibu

Mkuu

Nimefanya malipo kwa namba hii 0717 54 57 62 kwa pesa taslim tulizokubaliana
 
Mkuu

Nimefanya malipo kwa namba hii 0717 54 57 62kwa pesa taslim tulizokubaliana
  • Nimepokea taslimu 58K
  • Rejea post #412 - Waiting time ni 4 days. Codes zikiwa tayari nitakujulisha
Model: Xperia Z3 D6603
Brand: SONY
IMEI: TAC: 355188 FAC: 06 SNR: 399581 CD: 9
Network Locked: O2
Origin Country: ???
A%20S%20check_03.gif

Unlock Price: USD 29 ~ ~= TSH 58'000
Waiting Time: 4 Working Days
 
Back
Top Bottom