Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Asante MwL RCT. But naomba nisaidie, nimeloki simu yangu na nimesahau phonelock nifanyeje? Ili niifungue kwa namna yeyote nikiwa hapa nilipo?
 
Asante MwL RCT. But naomba nisaidie, nimeloki simu yangu na nimesahau phonelock nifanyeje? Ili niifungue kwa namna yeyote nikiwa hapa nilipo?

Je simu yako ni ipi?

Sema model ya sinu yako itakuwa rahisi.
 
vodafone 875 locked to Vodacom tanzania bei gani mkuu?
 
[h=1]Sony Ericsson Xperia ray locked to 3 Sweden unafanya Tshs ngapi? ipo Dar hapo IMEI 358343043756214[/h]
 
Sony Ericsson Xperia ray locked to 3 Sweden unafanya Tshs ngapi? ipo Dar hapo IMEI 358343043756214
Model: Xperia Ray ST18i SO-03C
Brand: SONY ERICSSON
IMEI: TAC: 358343 FAC: 04 SNR: 375621 CD: 4
Price: USD 35
Waiting Time: 2-3 Days

Mawasiliano: Skype: mw1rct ; Whatsapp: +255 784 496 856 ; Call: 0717 54 57 62
 
Huawei y530
Locked by tigo
IMEI: 353059029129326
 
Napenda kujua nikisha pata hixo code nazitumiaje kuunlock Mwl.RCT
 
Last edited by a moderator:
Mimi natumia Huawei Ascend Y530 imei:869563013603938
 
MWL. RCT mbona umepotea ckupati kabisa ukinijibu kama vodafone yangu inawezekana ku unlock nimekutumia imei na id
 
Kwa huduma ya haraka, Tumia haya mawasiliano yangu.
  • Skype: mw1rct
  • Whatsapp: +255 784 496 856
  • Call/Sms: 0717 54 57 62 au 0768 92 48 41 au 0784 496 856
MWL. RCT mbona umepotea ckupati kabisa ukinijibu kama vodafone yangu inawezekana ku unlock nimekutumia imei na id
Nipo, Tumia mawasiliano yangu hapo juu.
Mimi natumia Huawei Ascend Y530 imei:869563013603938
Utapata Unlock codes ndani ya dakika 15 baada ya kupokea malipo yako
Napenda kujua nikisha pata hixo code nazitumiaje kuunlock Mwl.RCT
1. Utawasha simu ikiwa na laini ya mtandao tofauti
2. Kitajitokeza sehemu ya kuindza codes nitakzo kuwa nimekupa
3. Baada ya kuingiza utagusa Ok / Done

Hapo simu yako iko tayari kutumia laini yeyote
imei: 354459062032198
id: v685-2BVDTZ1
Unlock codes zako ziko tayari, Tumia namba hizo hapo juu kufanya malipo
 
Back
Top Bottom