Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Salama mkuu nilichomaanisha gharama mmezifanya kubwa mno .
Je unalipi la kusema kwa wadau wanaotokea USA wakiwa na locked iPHONE ambayo cost yake ya kutoa network lock inafika hadi 330'000 kwa iphone 5 ( sijakosea ni LAKI TATU NA THELETHINI ELFU TU)
Karibu
 
Mkuu nami nina y530 hembu nisaidie ku-unlock

IMEI:869563011451546

Hatua ya kwanza ni kufanya malipo tsh 25'000. Na hatua inayofuata ni kufanyiwa kazi order yako.

Karibu
 
Je unalipi la kusema kwa wadau wanaotokea USA wakiwa na locked iPHONE ambayo cost yake ya kutoa network lock inafika hadi 330'000 kwa iphone 5 ( sijakosea ni LAKI TATU NA THELETHINI ELFU TU)
Karibu

Du ! ni zaidi ya thamani ya simu.

ila tunatofautiana kiuchumi mkuu
 
Ntarudi hapa muda si mrefu.. nina huawei y530..
 
Ntarudi hapa muda si mrefu.. nina huawei y530..
  • Karibu
XWPok8
 
Vodacom smart kicka 354459061631503 ni shilingi ngap? Ukinijulisha pia kweny PM ntafurahi zaid
 
Ni vema kutumia quickbooks kwaajili ya kutunza kumbukumbu zako za kifedha ili ujue kilichotoka na kuingia.
Kwa wale wanaohitaji QUICKBOOKS PRO 2014 (U.S.A) inapatikana sasa kwa laki moja na ishirini tu (120,000 TZS). Kwa walio nje ya Dar es Salaam tunawatumia kwa gharama zetu, mkiungana na kununua zaidi ya tatu bei inakuwa 100,000 tu. Hii ni quickbooks original utapewa CD ikiwa na keys zake. Wasiliana na huyu kwa taarifa zaidi: tonyhaule@hotmail.com
 
Naihitaji hii huduma kwa haraka mno ila nahitaji assurance for my money. nina huawei y530
  • Ondoa shaka juu ya usalama wa fedha yako
  • Utapata huduma utakayoilipia kwa wakati
Pitia hizi thread uoene huduma zingine ninazo toa zinazohusiasha maswala ya fedha, na kumbuka nahudumia wateja Walio TANZANIA na nje ya Tanzani, kupitia hii JAMIIFORUMS
  1. https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/723413-jipatie-qsat-q23g-hd-satellite-fta-receiver.html [ Kwenye hii thread mtu hakujui humjui anakuamini na kukutumia TSH 450'000 ili kununua DISH + RECEIVER ya QSAT + ACCOUNT na yupo MWANZA na anapata mzigo wake kwa wakati na kutoa feedback hapo]
  2. https://www.jamiiforums.com/matanga...ouchers-for-only-6500-each-8.html#post8965269
  3. https://www.jamiiforums.com/matanga...e-pd-proxy-premium-account-7.html#post8741942 [ #2 na #3 ni huduma ya VPN ninayo itoa kwa customers toka mikoani, Kenya, Congo, Uganda nk, wanapata huduma na hakuna malalamiko yeyote kuhusu fedha zao ]
  4. Hii thread yenyewe pia inajidhihilisha wazi juu ya usalama wa fedha na uaminifu uliopo, Mfano Unlocking ya iPHONE si chini ya 160'000 , na mtu anakuwa tayari kulipia na kufuata taratibu na hakuna malalamiko yeyote.
Kumbuka

  • KANUNI YA KWANZA YA ONLINE BUSINESS NI UAMINIFU KWA WATAJE WAKO
NB: Nimetoa maelezo mengi kwa manufaa ya wengine pia ili wasiwe na hofu juu ya huduma yangu hapa JF
 
***** WAHI SASA ! UNLOCK SIMU YAKO PEDWA KWA TSH 20'000 TU ******

Kwa wale walionunua simu za Tigo, Airtel, Vodacom au kutoka mtandao mwingine wowote wanaotoa offer ya simu aina ya Huawei Ascend Y300 Y301 Y330 Y511 na Y530 nazifungua ziweze kutumia line zote.



icos1.png
SERVICE FEATURES:


  • Code calculation kwa njia ya IMEI
  • Ni njia salama aslimia 100 ya ku-unlock simu yako
  • Unlock hii haitoathiri warranty yako na kampuni husika
  • Huduma ni 24/6 (Jumatatu - Jumamosi)
  • Huduma hii ni kwa ulimwengu mzima
  • Baada ya kuwa unlocked, simu yako itatumia mtandao wa kampuni yoyote ile uipendayo
icos2.png
SUPPORTED OPERATORS/NETWORKS:


  • Huduma hii iko valid kwa mitandao yote Tanzania na nje ya Tanzania
icos3.png
SUPPORTED MODELS & EXCLUSIONS:

icos4.png
Supported Models


  • Modeli zote za simu tunafungua kasoro zilizoorodheshwa hapo chini
icos5.png
Not Supported Models/Network - DO NOT ORDER - NO REFUND


  • All LTE CDMA phones (zenye simcard slot) IMEI inayoanzia na: 99xxxxxxxxxxxxx
  • All CDMA phones (zisizo na simcard slot)
  • Simu zote kutoka Tracefone/Net10/Straight talk USA
  • Simu zote kutoka Sprint USA
  • G510, U8951, Orange Daytona - 86849xxxxxxx
icos6.png
Siku zote andika *# 06# katika simu yako ili kupata IMEI (nambari 15), pia unaweza kuangalia IMEI namba nyuma ya simu baada ya kuondoa betri na uangalie kwa umakini kabla ya kutuma kwangu.

GHARAMA YANGU:-

TSHS 20,000/= TU

MAWASILIANO:
0784 496 856 / 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41

Karibuni sana.
 
Ya ukweli... ukweli na uhakika bongounlock.com
 

Attachments

  • 1415223850328.jpg
    1415223850328.jpg
    44.1 KB · Views: 147
Kwa simu za vodacom/Vodafone v685 NCK CODES ndani ya DAKIKA 30 TU.

Na cost yake ni TSH 20'000 tu
 
Back
Top Bottom