Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Inawezekana iwapo tu una account yake ya itune/icloud kwa maana utapata unlock codes kama updates kupitia itunes

Karibu
Mkuu hivyo vyote sina ni simu nimetumiwa na ndugu yangu kutoka ulaya. Msaada wako plse
 
Mkuu hivyo vyote sina ni simu nimetumiwa na ndugu yangu kutoka ulaya. Msaada wako plse
  • Hapo ndipo lilipo tatizo la simu hizi za iPhone
  • Wasiliana na ndugu yako, Ili akupatie username(Email) na Password, ndipo itawezekana kupata update kupitia itunes
  • Ni vigumu ku_bypass security ya hizi simu za iPhone
KARIBU
 
Niangalizie hii Huawei ascend y330
imei # 863963027225700
Natanguliza shukrani zangu.
 
Niangalizie hii Huawei ascend y330
imei # 863963027225700
Natanguliza shukrani zangu.
  • Habari yako ndugu
  • Fanya malipo ya tsh 20'000 kupitia namba zangu hapo juu, ili nikupatie NCK CODES
  • Pia hakikisha hiyo IMEI number ni ile ya kwanza, sababu hujitokeza IMEI mbili pindi ukipiga *#06#
KARIBU
 
Mwli.RCT cm yangu ni nokia XL nadhani wazijua je nifanye nn?
  • Nipe IMEI number, hii utaipata baada ya kubonyeza *#06#
  • Je ipo locked kwa mtandao upi?
  • Hii taarifa ya pili ndio itadetermine cost ya code zake
  • Karibu
 
Inatumia tigo

Sawa, Fanya malipo ili nikupe NCK codes, na kuifanya simu yako itumie laini yoyote.
Namba za malipo:-
Tigopesa ni 0717 54 57 62 airtel money ni 0784 496 856
 
Sorry aisee.. Code unazituma kwenye namba nilokutumia pesa au sio
 
Huawei y530 imei 869563011452254
Hi,
please find below your unlock codes -


IMEI: 869563011452254


NCK: 2091228015360121


How to enter code...
1.
Turn on phone with different network sim card
2.
According to lock level type code from above
3.
DONE -Phone unlocked.
 
Hi,
please find below your unlock codes -


IMEI: 869563011452254


NCK: 2091228015360121


How to enter code...
1.
Turn on phone with different network sim card
2.
According to lock level type code from above
3.
DONE -Phone unlocked.

Kaka imeshafunguka aisee.. Shukran
 
Back
Top Bottom