Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

sony xperia ST21i ku unlock bei gani?
  • Nipatie IMEI number nitakujulisha, sababu kuna matoleo mawili tofauti Xperia tipo dual na Xperia tipo.
l8f6.jpg

  • Na je imekuwa locked kwa mtandao gani. Mfano 02 ,AT&T Orange n.k
Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
Fuata hizi hatua:
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
 
View attachment 110155

  • Sawa simu yako ni Lumia 900, na IMEI # 351966050100541,locked by Rogers Canada. Gharama yake ni tsh 35,000/-
  • Karibu
mara ya mwisho tuliishia hapo na ukaniambia nilipie huduma kupitia mpesa # 0768 924 841, naomba nitajie gharama, na kama kuna information natakiwa kuongeza
 
  • Gharama
Sawa simu yako ni Lumia 900, na IMEI # 351966050100541,locked by Rogers Canada. Gharama yake ni tsh 35,000/-

Karibu
  • Hakuna info zingine. Zaidi ya IMEI, model, brand na network locked
 
Phone: HUAWEI ASCEND Y200
IMEI : 861895014520929
hebu icheki hiyo, nataka ku unlocke simu yangu. Course ina tumia Tigo pekeyake.
  • Karibu tena.
 
by:
phone:Huawei Ascend Y200
IMEI :861895014143474
mimi pia mkuu natumia tigo natakakui unlock
 
Simu yangu ni Huawei Ascend Y300
Imei: 868438012714849
 
NOKIA Model 1616-2
IMEI 355368048528402

iliua inatumika na Vodafone Australia
 
NOKIA Model 1616-2
IMEI 355368048528402

iliua inatumika na Vodafone Australia
  • Simu iliyopo kwenye system yetu ni Nokia 1616 {Pichani}, na sio Nokia 1616-2
​
t4ak.jpg



  • Ukipatikana ufumbuzi wa simu yako nokia 1616-2 Nitakujulisha.
​Karibu
 
  • Simu iliyopo kwenye system yetu ni Nokia 1616 {Pichani}, na sio Nokia 1616-2
​
t4ak.jpg



  • Ukipatikana ufumbuzi wa simu yako nokia 1616-2 Nitakujulisha.
​Karibu
ndio hyo hyo 1616 ndugu....inafanana kila kitu
 
Huawei ascend y300, imei no. 868438012728153
xfnn.png

  • Ngugu Magesa77, Order yako imeshafanyiwa kazi .
  • Unlock codes za HUAWEI ASCEND Y300 zipo tayari.
  • Ghalama ni tsh 30,000/-
Karibu
 
Hii huduma ku-unlock cm ni ya kweli na hakika nimefurahi baada ya simu yangu ya Huawei Ascend Y300 kuwa unlocked. Mwanzoni sikuwa na imani nilihisi nitatapeliwa, lakini sivyo, sasa hivi simu yangu inapokea line zote. Big up bro Mwl RCT
 
Hii huduma ku-unlock cm ni ya kweli na hakika nimefurahi baada ya simu yangu ya Huawei Ascend Y300 kuwa unlocked. Mwanzoni sikuwa na imani nilihisi nitatapeliwa, lakini sivyo, sasa hivi simu yangu inapokea line zote. Big up bro Mwl RCT
  • Wajulishe na wengine
  • Karibu tena ndugu.
 
huawei sonic
imei no 862076012039555
imelokiwa na tigo.
 
phone model; samsung GT-E1190
IMEI; 356726056518772
powered by t-mobile
 
Back
Top Bottom