HALOTEL VAS
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 276
- 37
- Thread starter
-
- #121
Hilo ni swala la simu yako mkuu.. Virus haoHalo mnazingua kinyama mie saivi nikifungua tu kifurushi zinaanza kuja application zinataka nifungue ile option ya download from unknown source
Yeah ni simu yangu na ndo naomba msaada hapa.......virus!? Sooo what to do??Hilo ni swala la simu yako mkuu.. Virus hao
Nikidial *148*55# au*148*66# haifungui kabisa it is just loading , simu yangu ni Samsung Galaxy s7edge. Nikiweka line ya mtandao mwingine inakubali.View attachment 376545
UTANGULIZI
MPE SALIO ni huduma inayowapa fursa wateja wa Halotel kuhamisha salio kutoka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine.Huduma hii inaruhusu wateja wa HALOTEL kuzawadia muda wa maongezi na marafiki wanaowapenda.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kutuma salio: Piga *101*NambayaMpokeaji*Kiasi#.
GHARAMA ZA HUDUMA
Huduma hii ni BURE!
VIGEZO NA MASHARTI
-Mteja anaetuma muda wa Maongezi
-Awe mteja wa Malipo kabla aliyewezeshwa kupiga na kupokea.
Mteja lazima awe ameongeza salio kwenye akaunti yake angalau mara moja baada ya kuwezesha.
-Mteja anaepokea
-Mteja awe amewezeshwa kupiga au kupiga na kupokea.
Kiwango cha Kutuma
-Kiwango cha chini cha kutuma muda wa maongezi ni Tsh.100
JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Nikidial *148*55# au*148*66# haifungui kabisa it is just loading , simu yangu ni Samsung Galaxy s7edge. Nikiweka line ya mtandao mwingine inakubali.
Mimi halotel mnataka kunishindaa kabisa yani nina MB100 but nikiwasha data kwa cmu yangu with halotel haikubali but nikieka line nyngn inakubali nimejarbu kucheck settings but no problems I guess it is halotel problem.... please msaada kutoka kwenu halotel coz hata cmu yangu hampokei huduma kwa wateja
kweli kabisa ukiweka vocha ukajiunga na kifurushi fastaMimi nimependa ukataji wenu wa deni unapokopa vocha mnakata kwa mapozi.