Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2016-8-9_18-26-0.png

UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:
-Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1# au tuma ON1 au MI kwenda 15574
Kifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7# au tuma ON7 au M7 kwenda 15574
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:

Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA
Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Mtandao huu uzur wake kwangu upo kwenye Internet tofaut na hapo ni upumbavu mtupu SMS kumfikia mtu inachukua masaa customer care ni vilaza
 
HALOTEL ni mtandao mpya wa simu Tanzania Uliosambaa Sehemu Kubwa, Huduma Nzuri, Bora na Bei Nafuu.
Huu ni utambulisho wa Huduma na Bidhaa za HALOTEL.
Matangazo ya mtandao huu kabla haujaanza kufanya kazi, ilitangazwa kuwa minimum internet service itakuwa ni 3g lakini maeneo mengi hayana 3g bali 2g sijajua kwa nini hili.
 
upload_2016-8-10_18-3-7.png

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku

UTANGULIZI WA HUDUMA
HALO REDIO:
Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

UNGANA NASI

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Matangazo ya mtandao huu kabla haujaanza kufanya kazi, ilitangazwa kuwa minimum internet service itakuwa ni 3g lakini maeneo mengi hayana 3g bali 2g sijajua kwa nini hili.
Ni maeneo gani hupati 3G tafadhali tunaomba utufahamishe.Ahsante kwa kutufikishia taarifa
 
Mtandao huu uzur wake kwangu upo kwenye Internet tofaut na hapo ni upumbavu mtupu SMS kumfikia mtu inachukua masaa customer care ni ******
Tunashukuru kwa kutoa taarifa kwetu...tutayafikisha idara husika kwa ajili ya uboreshaji.Ahsante
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hiki kifurushi cha gb2 kwa 1500 nadhani ni masihara maana kinaisha haraka tofauti na kile cha gb1 ya airtel
 
upload_2016-8-11_18-7-40.png

Mpya!!! Pata Ushauri wa Daktari Kiganjani Mwako Ukiwa na Huduma ya mDoctor Kutoka HALOTEL!
-Piga *149*62# Sasa Upate Wiki Moja Bure Ukijiunga na Huduma
-Gharama Baada ya Promosheni: Tsh 150/Siku

UTANGULIZI
mDOCTOR
ni huduma inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kupata taarifa za afya kwenye simu kulingana na orodha ya matatizo kama vile afya kiujumla,uzito, kujiweka sawa,mpangilio wa mlo na matatizo yatokanayo na hali ya hewa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kusajili Huduma.
-Unaweza kusajili huduma kwa:
-Kupiga *149*62# kisha jaza taarifa zako.

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inamsaidia mteja kupata taarifa sahihi zinazo husu afya
-Inatoa fursa ya kuboresha taarifa panapohitajika mfano uzito.
-Huduma inahusisha matatizo yote yanayohusu afya.
-Huduma inapatikana muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kujiunga:
-Kifurushi cha Siku: Tsh.150/Siku baada ya Promosheni.

JIUNGE NASI

Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Hiki kifurushi cha gb2 kwa 1500 nadhani ni masihara maana kinaisha haraka tofauti na kile cha gb1 ya airtel
mkuu nashauri ubaki airtel ili MB zisiwe zinakata fasta huku ukienjoy kasi ya Kobe.
 
upload_2016-8-12_18-36-11.png

UTANGULIZI
BUSY SMS ni huduma inayo kuwezesha kuwataarifu wanao kupigia kuwa kwa wakati huo huwezi kupokea simu zao, labda ni kwasaabu ya mahali ulipo, au unaendesha gari , upo Mkutanoni au Hospitalini n.k,

JINSI YA KUTUMIA
-Tuma neno WASHA kwenda 15603 kusajili kifurushi cha siku.
-Tuma neno WASHA30 kwenda 15603 kusajili kifurushi cha mwezi..
Gharama:

-Gharama za kujisajili:
-Ni bure kwa anaejisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha siku : Tsh 20 /Siku
-Kifurushi cha Mwezi : Tsh 500 / Mwezi
-Kubadili maandishi/ kuboresha : Bure

JIUNGE NASI

-Like page yetu : Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram: vas_halotel
 
upload_2016-8-15_18-44-29.png

UTANGULIZI.
HALO MOVIE ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hikiMwanzo.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000;Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Jamii:HALOTEL VAS
 
upload_2016-8-16_18-23-51.png

UTANGULIZI
DINI ni huduma inayowawezesha wateja wa Halotel kupata mistari ya maneno matakatifu ya dini kama vile Kuraan, Injili na Biblia.Huduma hii inakuwezesha kujua Mungu ni nani na ana malengo gani kwenye maisha yako.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kutuma neno INJILI au KURAAN au BIBLIA kwenda 15608 kusajili huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 120/Siku

JIUNGE NASI:
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Instagram: vas_halotel
 
Hiv nyie watu WA halotel Kuna uhusiano wowote mnara kutumia jenereta na kushindwa kushika 3g au mnara unakuwa umefungwaa Bila 3g?
Maana Kuna minara ya halotel huku kjjn haikamat 3g......
 
upload_2016-8-17_16-39-8.png

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku

UTANGULIZI WA HUDUMA
HALO REDIO:
Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO

-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 383306

Halotel mnakuja lini na 4G?
 
upload_2016-8-18_17-21-50.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 400/Mwezi.

UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Tuma ON kwenda 15579 au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi.

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom