mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,789
Acheni wizi wa MB.
500/= mb 200 naanza kucontemplate kuamia voda siku si nying we ngoja tudaa kwenye bundle mnatuua siku hizi
nilichogundua hii mitandao dawa yao ni kuwa na line zote kukizingua huku unasepea kule maana wanajisahau muda mwingine500/= mb 200 naanza kucontemplate kuamia voda siku si nying we ngoja tu
Sijaielewa hii huduma.View attachment 459845
UTANGULIZI
HALO MOVIE ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za Kimataifa zenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet.
Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia popote.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki Mwanzo.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000; Bila kikomo
-Gharama za Data: Bure
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
- WhatsApp: 0627 942 367
- Instagram: vas_halotel
- Email: Vas@Halotel.co.tz
- JamiiForums: HALOTEL VAS
Huduma ipi hujaielewa ndugu mteja...naomba kukufahamishaSijaielewa hii huduma.
Hiyo ya movies?Huduma ipi hujaielewa ndugu mteja...naomba kukufahamisha