Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2017-2-22_17-57-15.png

UTANGULIZI
BUSY SMS
ni huduma inayo kuwezesha kuwataarifu wanao kupigia kuwa kwa wakati huo huwezi kupokea simu zao, labda ni kwasaabu ya mahali ulipo, au unaendesha gari , upo Mkutanoni au Hospitalini n.k,
JINSI YA KUTUMIA
-Tuma neno WASHA kwenda 15603 kusajili kifurushi cha siku.
-Tuma neno WASHA30 kwenda 15603 kusajili kifurushi cha mwezi..

GHARAMA

-Gharama za kujisajili:
-Ni bure kwa anaejisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha siku : Tsh 20 /Siku
-Kifurushi cha Mwezi : Tsh 500 / Mwezi
-Kubadili maandishi/ kuboresha : Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-2-24_16-44-2.png

Karibu Katika Ulimwengu wa Habari na Burudani!
Pata Taarifa Muhimu Kila Siku Ukiwa Na Huduma Ya FunSMS Kutoka HALOTEL.
Jiunge kwa Mara ya Kwanza Upate Siku Moja BURE!


UTANGULIZI
FunSMS
ni Ulimwengu wa habari na burudani unaompa fursa mteja wa Halotel kuchagua huduma mbalimbali kama vile hali ya hewa, Habari, utabiri wa nyota, rekodi za Guinness n.k kila siku kinganjani kwake !

JINSI YA KUTUMIA
Piga *148*29# kisha chagua kipengele ukipendacho.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za usajili:
- Ni BURE kwa kujisajili kwa mara ya kwanza.
- Kifurushi cha Siku: TZS 90 kwa huduma za Taarifa (Hali ya Hewa, Habari, Kiwango cha kubadili Fedha)
- TZS 120 kwa huduma za burudani (Utabiri wa Nyota, Mambo ya Dunia, Mahusiano,Dondoo za Afya, Misemo n.k)

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
 
Mimi nitajiunga na halotel permanently mara mtakapoanzisha huduma ya kutuma na kupokea pesa kutoka benki mbalimbali zilizopo nchini. Hiyo ni hudumu muhimu kwangu ndio maana bado naisubiri naamini wapo wengine pia wanasubiri jambo hilo. Piganeni muwe na huduma nyingi za msingi kama wapinzani wenu.
 
upload_2017-2-25_11-53-33.png

WATANI WA JADI LEO KUPAMBANA!

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA MICHEZO UPATE HABARI ZA MOJA KWA MOJA ZA MCHEZO WA LEO WA SIMBA VS YANGA
Leo Februari 25-SIMBA VS YANGA Saa 10:00 Jioni.


UTANGULIZI
MICHEZO
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari mpaya za michezo kama vile taarifa za moja kwa moja za mechi,matokeo pamoja na usajili wa ligi mbalimbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na Huduma:
-Kupitia SMS
Tuma neno MICHEZO kwenda 15542 kusajili huduma.

GHARAMA ZA USAJILI
-Kujisajili ni BURE
-Gharama za kifurushi cha siku: Tsh100/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

- Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel

-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-2-27_17-25-10.png

Jiunge na HALO WIN Leo Upate Zawadi Mbalimbali Kila Siku!
HONGERA SANA! BW. VITUS NTINDA MSHINDI WETU WA WIKI WA PROMOSHENI YA HALO WIN KUTOKA MBEYA BAADA YA KUJISHINDIA ZAWADI YA SMARTPHONE ITELS11 KILA WIKI.


UTANGULIZI WA HUDUMA
Halo Win
ni huduma inayokupa fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo zawadi za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii.

Punde kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu, Utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya Bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma..


JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN
- Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
- Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.

- Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.


GHARAMA ZA HUDUMA

- Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku,
- Garama za IVR ni Tsh 10/dakika

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-1_8-6-44.png

MPYA! Vumbua Ulimwengu wa Marafiki Na Uchati Bila Kikomo!
Sasa Unaweza Kuungana na Marafiki Mbalimbali Kupitia Huduma ya Halo chat.

UTANGULIZI

HALO CHAT ni huduma ya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na kupata nafasi ya kutafuta marafiki wapya sehemu mbalimbali na kuchati nao wakati wowote na bila kikwazo cha umbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Piga 090 122 4444 kufurahia huduma.

FAIDA ZA HUDUMA
- Huduma inawapa nafasi ya kufurahia na marafiki wapya na kuungana pamoja.
- Huduma inatoa ujuzi mpya wa kuchati kwa watumiaji wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA
- Kusajili kwa mara ya kwanza BURE.
- Baada ya Promosheni :
=>Kifurushi cha Siku Tsh 30/Siku
=>Gharama za Kupiga (IVR): Tsh 10/Dk

LIKE US/JOIN US
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email:
Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-1_17-53-41.png

Jiunge na HALO WIN Leo Upate Zawwadi Mbalimbali kila Siku!
-Kujiunga na Huduma ni Rahisi! Pata Siku Moja BURE kwa Kusajili Huduma kwa Mara ya Kwanza!
- Pata Zawadi Nyingi Kuanzia Tsh.10, 000 Kama Muda wa Maongezi Kila Siku, Smartphone ItelS11 kila Wiki na Samsung Galaxy J1 kila Mwezi

UTANGULIZI WA HUDUMA

Halo Win ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN

-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-2_17-27-43.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.



UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
- Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-3_17-46-56.png

UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:

Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1#
Kifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7#
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:

Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-4_10-14-38.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Liverpool VS Arsenal ukiwa na Huduma ya HALO SOKA! Tuma LIVE PL kwenda 15602 kujiunga!
Machi 04, 2017 Liverpool VS Arsenal Saa 2:30 Usiku


Klabu ya Liverpool itakuwa mwenyeji wa Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu huku timu zote zikiwa na shauku ya kumaliza katika nafasi ya nne ya msimo wa ligi kuu ya Uingereza.

Liverpool wamekutana na Arsenal mara 221 katika mashindano yote. Arsenal wameonekana kuwa bora akiwa na rekodi ya kushinda mechi 84, droo 59 na kupoteza mechi 78 tangu walipokutana mara ya mwisho mwezi Agosti wakati Liverpool alipoibuka na ushindi wa goli 4-3 katika msimu ule.

Ingawaje ubingwa unaweza kuwa changamoto kwa timu zote, Arsenal watakuwa wageni wa Liverpool katika kuamua nani kukaa katika nafasi ya nne. Arsenal yuko katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi akiwa na pointi 50, ikiwa ni pointi 1 mbele ya Liverpool. Ushindi wa leo ni muhimu kwa timu zote mbili kwani kila mmoja anataka kukaa juu.

Kupata matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo,Tuma neon LIVE PL kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-8_11-2-29.jpeg


UTANGULIZI

HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
- Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
- Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA
- Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
- Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
- Husaidia wateja kutangaza biashara.
- Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
- Husaidia wateja kujulishana hali.
- Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA
- Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
- Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
- Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
- WhatsApp: 0627 942 367
- Instagram: vas_halotel
- Email: Vas@halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-13_17-29-21.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Kombe la FA kati ya CHELSEA VS MANCHESTER UNITED ukiwa na Huduma ya HALO SOKA!
Tuma LIVE PL kwenda 15602 kujiunga!
Saa 4:45 Usiku March 13th 2017, Chelsea vs Manchester United.


Baada ya kuchezeshwa kwa droo ya Kombe la FA, Manchester United kuwakabili Chelsea katika robo fainali. Hii itakuwa ni changamoto kubwa kwa meneja Jose Mourinho kutetea ubingwa. Ikumbukwe mwanzoni mwa msimu huu wa Ligi Kuu, Manchester United ilipokea kichapo cha goli 4-0 katika uwanja wa Stamford Bridge. Hivyo mashetani wekundu wanataka kulipiza kisasi juu ya Chelsea
na kocha Mourinho na wachezaji wake wanapaswa kucheza zaidi ya asilimia 100 ya nguvu zao.
Historia inaonesha kuwa Chelsea anamatokeo mazuri walipokutana na united, Katika mechi 5 zilizopita, Chelsea hawajafungwa na wameweza kushinda mechi 2 na kudroo 3. Hata hivyo, Antonio Conte bado anaonesha kuwa mbele kwa zaidi ya pointi 10 ukilinganishwa naTottenham anaeshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu.

Je, Man United wataweza kulipiza kisasi kwa Chelsea baada ya wao kushindwa katika mechi ya Ligi Kuu msimu huu? jibu litapatikana Uwanja wa Stamford Bridge leo tarehe 13 machi saa 4:45 usiku

Kupata taarifa na matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo huu,Tuma neon LIVE PL kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-14_16-34-39.png

Karibu Katika Ulimwengu wa Habari za Burudani!
Pata Taarifa Muhimu Kila Siku Ukiwa Na Huduma Ya FunSMS Kutoka HALOTEL
Jiunge kwa Mara ya Kwanza Upate Siku Moja Bure!


UTANGULIZI
FunSMS
ni Ulimwengu wa habari na burudani unaompa fursa mteja wa Halotel kuchagua huduma mbalimbali kama vile hali ya hewa, Habari, utabiri wa nyota, rekodi za Guinness n.k kila siku kinganjani kwake !

JINSI YA KUTUMIA
Piga *148*29# kisha chagua kipengele ukipendacho.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za usajili:
-Ni BURE kwa kujisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha Siku: TZS 90 kwa huduma za Taarifa (Hali ya Hewa, Habari, Kiwango cha kubadili Fedha)
-TZS 120 kwa huduma za burudani (Utabiri wa Nyota, Mambo ya Dunia, Mahusiano,Dondoo za Afya, Misemo n.k)


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-15_16-28-3.png

Jiunge na HALO WIN Leo Upate Zawadi Mbalimbali Kila Siku!
HONGERA SANA! BW. DEUSDEDIT ILEMBO KUTOKA TANGA KUWA MSHINDI WETU WA WIKI WA PROMOSHENI YA HALO WIN YA KUJISHINDIA ZAWADI YA SMARTPHONE ITELS11 KILA WIKI.


UTANGULIZI WA HUDUMA
Halo Win
ni huduma inayokupa fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo zawadi za siku, wiki na Mwezi.Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii. Punde uongezapo salio kwenye akaunti yako, Utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya Bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma..

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN
- Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
- Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
- Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.


GHARAMA ZA HUDUMA

- Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku,
- Garama za IVR ni Tsh 10/dakika

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-16_17-18-46.png

UTANGULIZI
SIMUCLIP
ni huduma inayowarapa fursa wateja wa HALOTEL kufurahia video mbalimbali za kuchekkesha, mambo muhimu ya soka, dondoo za mapishi, vikatuni, n.k kupitia simu zao.

JINSI YA KUTUMIA SIMU

-Piga *15738*1# kujiunga na Kifurushi cha siku
-Piga *15738*7# Kujiunga Kifurush cha Wiki.
-Piga *15738*30# Kujiunga kifurushi cha Mwezi.
-Jinsi ya kutumia huduma: Kutazama/kupakua/zawadi video kupitiahttp://simu.co.tz/

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha Siku: Tsh:180/Siku
-Kifurushi cha Wiki: Tsh: 900/Wiki
-Kifurushi cha Mwezi: Tsh: 3,000/Mwezi
-Gharama za video
-Mteja aliyejiunga: Bure kutazama video zote.
-Mteja asiyejiunga: Kutazama kwa demo za video sekunde 30 tu.
-Kupakua/Zawadi: Tsh:300/Video.
-Gharama za Data: Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-17_17-21-9.png

Welcome To New Entertainment World Of HALO REDIO Service! Let’s Join Together!
-Call 09 0122 0122 To Get A Day FREE For 1st Subscription!
-Joining HALO REDIO Club For Entertainment And Chill Out
-Subscription Fee After Promotion: Tsh 30/Day

INTRODUCTION
HALO REDIO
HALO REDIO: This is the interesting service that gives the HALOTEL subscribers a chance to listen both the best information and entertainment Radio stations from all over the world anytime and anywhere without the need of FM/AM signals or even an Internet connection.

Through the service, HALOTEL subscribers can enjoy a lot of attractive music content like R&B, Rock, Pop, Reggae and others lovely music genre also news and sports from different international media channels
Through this service the subscribers can save their favorite radio station and listen gain later.

HOW TO USE HALO REDIO SERVICE?

-Call 09 0122 0122 for registering the service.

SERVICE FEE

-Daily Package: Tsh 30/Day
-Calling Fee: Tsh 20/Minute

LIKE US/JOIN US

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-18_11-56-48.png


MPYA! Vumbua Ulimwengu wa Marafiki Na Uchati Bila Kikomo!
Sasa Unaweza Kuungana na Marafiki Mbalimbali Kupitia Huduma ya Halo chat.

UTANGULIZI

HALO CHAT ni huduma ya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na kupata nafasi ya kutafuta marafiki wapya sehemu mbalimbali na kuchati nao wakati wowote na bila kikwazo cha umbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

Piga 090 122 4444 kufurahia huduma.

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inawapa nafasi ya kufurahia na marafiki wapya na kuungana pamoja.
-Huduma inatoa ujuzi mpya wa kuchati kwa watumiaji wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kusajili kwa mara ya kwanza BURE.
-Baada ya Promosheni :
-Kifurushi cha Siku Tsh 30/Siku
-Gharama za Kupiga (IVR): Tsh 10/Dk

LIKE US/JOIN US

Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@HALOTEL.co.tz
Jamiiforum: HALOTEL VAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom