UTANGULIZI
HALO SAINI ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.
FAIDA ZA HUDUMA
-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutangaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook:
VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email:
Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS