Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2017-3-20_17-56-21.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.



UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kusajili huduma: Piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA

-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-21_17-56-57.png

UTANGULIZI
Hadithi za ajabu
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

LIKE US/JOIN US
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-22_17-39-12.png

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku

UTANGULIZI
HALO REDIO:
Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO

Kujiunga 😛iga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 10/Dadika.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel

-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-23_17-7-33.png

UTANGULIZI
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki http://halomovie.co.tz/.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000; Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-24_16-51-28.png

Karibu Katika Ulimwengu wa Habari za Burudani!
Pata Taarifa Muhimu Kila Siku Ukiwa Na Huduma Ya FunSMS Kutoka HALOTEL
Jiunge kwa Mara ya Kwanza Upate Siku Moja Bure!

UTANGULIZI
FunSMS
ni Ulimwengu wa habari na burudani unaompa fursa mteja wa Halotel kuchagua huduma mbalimbali kama vile hali ya hewa, Habari, utabiri wa nyota, rekodi za Guinness n.k kila siku kinganjani kwake !

JINSI YA KUTUMIA

Piga *148*29# kisha chagua kipengele ukipendacho.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za usajili:
-Ni BURE kwa kujisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha Siku: TZS 90 kwa huduma za Taarifa (Hali ya Hewa, Habari, Kiwango cha kubadili Fedha)
-TZS 120 kwa huduma za burudani (Utabiri wa Nyota, Mambo ya Dunia, Mahusiano,Dondoo za Afya, Misemo n.k)


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-25_12-16-50.png

Cheza, burudika, Jifunze na Ujishindie zawadi nyingi za thamani kutoka katika Huduma ya Halo Quiz
-Piga 0901220 1111 na Ujiunge bure kwa mara ya Kwanza
-Jiunge na timu ya Halo quiz ujifunze, uburudike na Ujishindie Zawadi nyingi za Thamani
-Gharama za kujiunga na huduma ni Tsh 100/kwa kila mara 2 za kucheza Halo Quiz


UTANGULIZI
HALO QUIZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kushinda zawadi nyingi. Kwa kujibu idadi ya maswali kadhaa kwa usahihi kwa muda mchache.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kujisajili: Mteja wa HALOTEL anaweza kujiunga na kuanza kutumia huduma hii nzuri kwa kupiga 0901221111.
-Mtumiaji atapokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa kusajili huduma na kupewa nafasi ya kucheza HALO QUIZ.
-Kisha mtumiaji ana nafasi ya kuchagua kifurushi cha maswali na kuanza kujibu maswali.
-Huduma ina vifurushi 3 vya maswali
-Kifurushi cha maswali kumi: Maswali 10; Zawadi: Tsh 2,000
-Kifurushi cha maswali ishirini: Maswali 20; Zawadi: Tsh 4,000
-Kifurushi cha maswali thelathini: Maswali 30; Zawadi: Tsh 8,000

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za huduma ni Tsh100 kwa siku. Baada ya kujiunga utapata nafasi mbili za kucheza HALO QUIZ bure.
-Kisha mtumiaji atapaswa kulipia Tsh.100 kwa kila nafasi mbili za ziada kucheza HALO QUIZ.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 486743
Cheza, burudika, Jifunze na Ujishindie zawadi nyingi za thamani kutoka katika Huduma ya Halo Quiz
-Piga 0901220 1111 na Ujiunge bure kwa mara ya Kwanza
-Jiunge na timu ya Halo quiz ujifunze, uburudike na Ujishindie Zawadi nyingi za Thamani
-Gharama za kujiunga na huduma ni Tsh 100/kwa kila mara 2 za kucheza Halo Quiz


UTANGULIZI
HALO QUIZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kushinda zawadi nyingi. Kwa kujibu idadi ya maswali kadhaa kwa usahihi kwa muda mchache.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kujisajili: Mteja wa HALOTEL anaweza kujiunga na kuanza kutumia huduma hii nzuri kwa kupiga 0901221111.
-Mtumiaji atapokea taarifa ya ujumbe wa kufanikiwa kusajili huduma na kupewa nafasi ya kucheza HALO QUIZ.
-Kisha mtumiaji ana nafasi ya kuchagua kifurushi cha maswali na kuanza kujibu maswali.
-Huduma ina vifurushi 3 vya maswali
-Kifurushi cha maswali kumi: Maswali 10; Zawadi: Tsh 2,000
-Kifurushi cha maswali ishirini: Maswali 20; Zawadi: Tsh 4,000
-Kifurushi cha maswali thelathini: Maswali 30; Zawadi: Tsh 8,000

GHARAMA ZA HUDUMA

-Gharama za huduma ni Tsh100 kwa siku. Baada ya kujiunga utapata nafasi mbili za kucheza HALO QUIZ bure.
-Kisha mtumiaji atapaswa kulipia Tsh.100 kwa kila nafasi mbili za ziada kucheza HALO QUIZ.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
Mnaibia wateja MB kama mnaona tunafaidi sana Semeni tuwachangie pesa mkalewe bar.

Hamna hata aibu kuiba MB za wateja wenu !!! Sasa mnafanya kazi kwa ajili ya nani?

Mnatia aibu sana .
 
  • Thanks
Reactions: SDG
upload_2017-3-27_17-35-40.png

Pata Mwezi Mmoja BURE Kujiunga Mara ya Kwanza katika Huduma ya BUSY SMS na Ufurahie Msimu huu wa Siku ya Wanawake Duniani.

UTANGULIZI
BUSY SMS
ni huduma inayo kuwezesha kuwataarifu wanao kupigia kuwa kwa wakati huo huwezi kupokea simu zao, labda ni kwasaabu ya mahali ulipo, au unaendesha gari , upo Mkutanoni au Hospitalini n.k,
JINSI YA KUTUMIA
-Tuma neno WASHA kwenda 15603 kusajili kifurushi cha siku.
-Tuma neno WASHA30 kwenda 15603 kusajili kifurushi cha mwezi..

GHARAMA

-Gharama za kujisajili:
-Ni bure kwa anaejisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha siku : Tsh 20 /Siku
-Kubadili maandishi/ kuboresha : Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-28_17-33-11.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Mechi kati ya Uholanzi VS Italia ukiwa na Huduma ya HALO SOKA!

Tuma EURO kwenda 15602 kujiunga!

Saa 3:45 Usiku March 28th 2017, Uholanzi vs Italia.


Mechi kati ya timu ya Uholanzi na Italia wanapokutana daima mchezo wao huleta burudani nzuri kwa mashabiki walio wengi. Kwahiyo leo katika uwanja wa Amsterdam Arena Uholanzi watakuwa wanawakaribisha Italy katika mechi ya kirafiki. Mechi hii itakuwa maadhimisho ya miaka 20 ya Azzurri na Oranje. Katika mechi 19 zilizopita, Italia wameshinda 9, wamedroo mechi 7 na kupoteza mechi 3. Hata hivyo, endapo Italy watapata ushindi katika mechi ya kirafiki, Uholanzi mara nyingi amekuwa akishinda katika mashindano makubwa (2 mwaka 1974 na Euro 2008, 1 Kombe la Dunia mwaka 1978).
Mara ya mwisho timu hizi mbili zilikutana mwaka 2014, Italia aliibuka na ushindi wa goli 2-0 kwenye mechi ya kirafiki. Italia wapo katika kiwango kizuri kwa sasa ambapo wameshinda mechi 4, wametoa droo mechi 2 katika mechi sita zilizopita. Kwa upande wa Uholanzi nao wameshinda mechi 2, droo 2 na wamepoteza 2.

Achilia mbali kukutana kwao, Italia wamekuwa wakifanya vizuri. Hivyo inaweza isiwe jambo la kushangaza endapo timu Azzurri atashinda mchezo wa leo. Pamoja na Uholanzi kuwa katika uwanja wake, wanapaswa kupigana kuondoa droo na kupoteza kwa mechi za kirafiki walizokutana na Italia

Kupata taarifa na matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo huu,Tuma neon UERO kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-29_17-57-1.jpeg

UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz/ kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz/ ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
Nataka router inayotumia lain kutoka mtandao wenu au hata iweze kutumia lain yyte..bei zenu na speed za hizo router zikoje
 
  • Thanks
Reactions: SDG
upload_2017-3-30_17-34-15.png

MPYA! Vumbua Ulimwengu wa Marafiki Na Uchati Bila Kikomo!
Sasa Unaweza Kuungana na Marafiki Mbalimbali Kupitia Huduma ya Halo chat.


UTANGULIZI
HALO CHAT
ni huduma ya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na kupata nafasi ya kutafuta marafiki wapya sehemu mbalimbali na kuchati nao wakati wowote na bila kikwazo cha umbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

Piga 090 122 4444 kufurahia huduma.
FAIDA ZA HUDUMA
-Huduma inawapa nafasi ya kufurahia na marafiki wapya na kuungana pamoja.
-Huduma inatoa ujuzi mpya wa kuchati kwa watumiaji wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kusajili kwa mara ya kwanza BURE.
-Baada ya Promosheni :
-Kifurushi cha Siku Tsh 30/Siku
-Gharama za Kupiga (IVR): Tsh 10/Dk

-LIKE US/JOIN US

-Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2017-3-31_17-43-35.png

UTANGULIZI
HADITHI ZA AJABU
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL nafasi ya kufurahia hadithi mbalimbali nzuri za kushangaza,kusimumua na kukufahamisha mambo mbalimbali yanayotea ulimwenguni.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Kujiunga na Huduma:
-Tuma AJABU kwenda 15608

FAIDA AZA HUDUMA

-Huduma inampa mteja nafasi ya kupata kujua matukio mbalimbali.
-Huduma inampa mteja nafasi ya kufurahia pamoja na mafunzo ndani yake.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh.80/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2017-4-1_11-44-20.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Kombe la FA kati ya ARSENAL VS MANCHESTER CITY ukiwa na Huduma ya HALO SOKA!
Tuma LIVE PL kwenda 15602 kujiunga!
Saa 12:00 Jioni April 02, 2017, Arsenal vs Manchester City.


Arsenal wamekua na wakati ngumu zaidi katika msimu huu kwa kufungwa mechi kadhaa mfululizo na watacheza dhidi ya Manchester City kwishoni mwa wiki hii katika uwanja wa Emirates.
kufungwa mfululizo kumepelekea Arsenal kushuka hadi nafasi ya sita katika Ligi ikiwa na pointi 50 tu. Arsene Wenger hawezi kushindania ubingwa lakini pia anashindwa kuendelea kuwa katika nafasi nne za juu. Mwishoni mwa wiki hii, ikiwa hawataifunga Manchester City basi watakua katika wakati mgumu kuifikia tena nafasi ya nne. Hata hivyo, Arsenal wanafaida ya kuchezea mechi hii katika uwanja wao wa nyumbani wa Emirates hivyo wana matumaini ya ushindi, katika mara 5 ambazo Arsenal amekutana na Manchester City Arsenal amashinda mara 3 na kudroo mara 1 pia kufungwa mara 1.Hata hivyo arsenal amepoteza mchezo mmoja tu kati ya michezo 19 aliyocheza nyumbani dhidi ya manchester city.
Manchester City sasa wapo katika nafasi ya 3 kwa alama 1 zaidi dhidi ya Liverpool na kama hawatashinda dhidi ya Arsenal Manchester City wanaweza kutolewa katika nafasi nne za juu baada ya mechi za mzunguko wa 30.

Kupata taarifa na matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo huu,Tuma neon LIVE PL kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Nina Line ya Halotel Nilikuwa sijaitumia Ndani ya miez mitatu ikafungiwa. Je ninaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaifungua au mpaka nisajiri Line nyingine
 
upload_2017-4-3_17-19-40.png

UTANGULIZI

HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
-Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA
-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutangaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

Huduma ni BURE kwa siku 30 za kwanza.


-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom