Tunatoa huduma ya sheria, biashara, kodi, uhasibu, udalali na stationary

Brojust

Member
Sep 17, 2016
61
92
Baada ya kupitia changamoto za kimaisha na Biashara, sasa tumeinuka tena na tayari tumefungua ofisi zetu maeneo ya Ukonga Banana, mkabala na jengo jipya.

Huduma zetu;
  • SHERIA (WANASHERIA NA MAWAKILI)
  • BIASHARA (kusajili jina la Biashara, kampuni na Taasisi,
  • KODI (Ushauri kuhusu kodi, makadirio na returns)
  • UHASIBU ( Audited financial statements)
  • UDALALI ( Viwanja, Nyumba, mashamba na Magari tu )
  • STATIONARY ( Huduma zote za stationery )

Pia tunatoa huduma kwa Packages:
1. FANIKIWA PACKAGE
Tunasajili jina la biashara yako, tin, number, tax clearance pamoja na leseni.

2. FANIKIWA PACKAGE PLUS
Tunasajili kampuni yako, tunakufanyia makadirio ya biashara yako, TIN, Tax clearance na leseni

3. TUISHI PACKAGE
Tunakutafutia nyumba, kiwanja, au shamba, tunakufanyia search tunakuandikia mikataba pamoja na document zote.

3. TUISHI PACKAGE PLUS
Tunakutafutia nyumba, kiwanja au shamba, tunakufanyia search, tunakuandikia mikataba pamoja na kuandaa document za transfer.

Ahsanteni sana: (Kuhusu Bei ni maelewano tu pale utakapo tupigia simu na kuja ofisini kama utakuwa na Muda )

Mawasiliano; 0710 782874 / 0693784003
 
Back
Top Bottom