Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Hao wadada wamekomaa miguu sana, naogopa kuvunjiwa kiuno na hizo ngoko zao..
Hawajakomaa miguu wewe, hizo ni shapes tu za mafuta siyo misuli, usiogope kuvunjika baba!
Hao wadada wamekomaa miguu sana, naogopa kuvunjiwa kiuno na hizo ngoko zao..
Aliyeongelea Serikali mbili ni Pengo kwanini nihusishe viongozi wengine wa dini? Na wapi nilipomshambulia Pengo? wewe fataani mkubwa sana.
Tukianza kukumbwa na vimbunga na mafuriko wala tusishangae.
![]()
eeee bwana eee haya ndo maendeleo ya kileo leo
Are you really serious? Escort & massage services vina uhusiano gani na vimbunga na mafuriko?
Faiza kwenye mambo ya starehe unaleta habari za dini,pengo,ukimwi, serikali mbili sijui tatu. who cares? Nyie ndio hampewi invitation kwenye parties halafu mnalalamika mnatengwa.
Escort ya namna gani? Nina let say 500,000,000/-. Nataka kuzitoa ubungo to kariakoo. Je nije kwenu for escort?
Hapana. Hio unakuja kwangu nikusindikize mwebyewe...
Party? party nikafanye nini? ungeona mialiko niliyokuwa nayo na siendi ungelia machozi mpenda vya bure.
Utavijua vina uhusiano gani vikianza kuja, visubiri.
Party? party nikafanye nini? ungeona mialiko niliyokuwa nayo na siendi ungelia machozi mpenda vya bure.
Kama crew yako ya ulinzi wote mnajipaka majivu meupe Kama huyo dogo kwenye picha basi bila shaka mta m escort na ungo tu
Labda mialiko ya kitchen party na khanga party bila shaka lakini mialiko ya vijana hata getini ungefukuzwa.