Huduma bora ya masaji & escort jijini Dar es salaam

Huduma bora ya masaji & escort jijini Dar es salaam

Du! Haya, hatuna Budi kukubaliana na mabadiriko ya Dunia.
 
Mbona hakuna Wanaume wakutufanyia massage sie vibinti?Mtoa tangazo umetubagua.
 
Mkuu ITEGAMATWI hata ukienda mbagala inaonyesha watakupa escort. Inaonyesha sasa kutembea njiani au kujificha peke yako ni kujitakia. Ewe mwenyezi mungu tunusuru sisi waja wako wema
 
ingependeza kama ungesema viongozi wetu wa dini badala ya kumshambulia mtumishi wa Mungu huyu bila sababu ya msingi
Pia kwa kufanya hivyo ungekuwa umesaidia kuondoa fikra potofu za udini ambazo mala nyingi huibuka mala kwa mala hasa tunapokuwa tunajadili mambo ya msingi kama haya
Ni ushauri tu

Aliyeongelea Serikali mbili ni Pengo kwanini nihusishe viongozi wengine wa dini? Na wapi nilipomshambulia Pengo? wewe fataani mkubwa sana.
 
we mama kalale mambo haya tuachie vijana

Vijana mharibikiwe, sisi tukalale, kesho mje kutulaumu kuwa hata tahadhari hatujawapa?

Haya mambo ya massage sijui escort, hayana maana vijana, fikiri huyo anaewafanyia massage anawafanyia wangapi kwa siku na hao ma escort-er wana escort wangapi kwa wiki? mtajikuta mnaambukizana magonjwa yasiyotibika.

Msiseme hatuja-wa-tanabahisha.
 
Me nipo Sumbawanga, vipi unaweza kumleta muescort huku:eyebrows:?
Gharama zake je...:A S-frusty2:
 
Escort ndo nini?massage i really need that,gongo laniuma kweli
 
Nashangazwa na watu kama Pengowanaongelea tuwe na Serikali mbili lakini mambo kama haya wanayafumbia macho.

Serikali haina dini.

Ningeshangaa umalize bila kujikuna ugonjwa wako hapo kwenye blue sasa mzee wa watu kaingiaje hapa ivi unajua kuna uhusiano mkubwa kati ya vidole vyako unavyotumia kuandikia kwa kugusa key-board na ubongo wako basi usiruhusu vidole kuandika bila kushirikisha ubongo hamna kitu kibaya kama kupenda kuingiza udini kwenye kila jambo.
 
Dar siyo ile ya Makamba tena mambo yame change kama Miami. Aha aha aha .hayo pia maendeleo jamani.
 
Aliyeongelea Serikali mbili ni Pengo kwanini nihusishe viongozi wengine wa dini? Na wapi nilipomshambulia Pengo? wewe fataani mkubwa sana.

povu la nini sasa mi nimekwambia niushauri tu kwamba si kila wakati maada hizi zikaingizwa kwenye mambo ya udini na ndo maana nikakushauri kuwa hukuwa na haja ya kumtaja mtu kwa jina lake ili kuepusha kuwakwaza wengine kwa kumtaja kiongozi huyo
Narudia tena ni ushauri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom