Huduma bora ya masaji & escort jijini Dar es salaam

Huduma bora ya masaji & escort jijini Dar es salaam

Duh, hebu tuwekee gharama mkuu. kwa mfno escort una tozwa kwa masaa, siku au umbali? masaji una tozwa kwa aina, muda au umbali uliopo? na je shemu ya masaji inaweza kufanyika nyumba ya wageni?
Mwisho kuna mashrti gani kwenye huduma hii, na diclameir yoyote?, mteja anaweza kurioti wapi endapo hata rizika na huduma yoyote?
Ni hayo tu
 
Laana zitaiandama hii nchi. Kwa nn serikali inafumbia macho upuuzi huo ambao sasa unatangazwa hadharani?

Nashangazwa na watu kama Pengo wanaongelea tuwe na Serikali mbili lakini mambo kama haya wanayafumbia macho.

Serikali haina dini.
 
Okay tuseme huyu mdau anatoa offer ya kupeleka experts kutoa massage au wale watu wapweke, wasio na company kuwapa company utaona kwamba Ukahaba is not part of that service, ingawa wanaweza wakakubaliana kufanya extra baina yao wawili na vilevile yule mtoa huduma halazimishwi kukubali.

What I mean the contract / makubaliano ni ya massage na escort tu..., hayo mengine yakifanyika ni kwa makubaliano mengine


Umewahi kutongoza???!!!
Siku ya kwanza tu ulisema wazi kuwa unataka kufanya mapenzi na muhusika na hutamuoa???!!!!

Contract my foot!!!!
 
Zipo sana hizi hata kwa majirani zetu..ndio matunda haya ya utandawazi
 

Oooops Christ if you don't get back soon man,your sheep are going to be driven mad!

Kila la kheri,jitahidini kuajiri na midume ya kuwamasaji mabinti as well.
 
bora wewe umekuwa mkwel

Watu tunaandika mengine halafu tunafanya mengine, ndio maana ukimbwi hautakaa uishe, tumejificha katika miamvuli ya uongo uongo tu.

Mi ninaomba kuhakikishiwa kwamba hizo picha ninazoziona ndio zaoooo au ni geresha, ili nijue kabisa mana duh!
 
Nashangazwa na watu kama Pengo wanaongelea tuwe na Serikali mbili lakini mambo kama haya wanayafumbia macho.

Serikali haina dini.

ingependeza kama ungesema viongozi wetu wa dini badala ya kumshambulia mtumishi wa Mungu huyu bila sababu ya msingi
Pia kwa kufanya hivyo ungekuwa umesaidia kuondoa fikra potofu za udini ambazo mala nyingi huibuka mala kwa mala hasa tunapokuwa tunajadili mambo ya msingi kama haya
Ni ushauri tu
 
Umewahi kutongoza???!!!
Siku ya kwanza tu ulisema wazi kuwa unataka kufanya mapenzi na muhusika na hutamuoa???!!!!

Contract my foot!!!!
Hivi umesoma nilichokiandika au ? na Je unajua mleta Uzi kaleta information kuhusu nini?

Hapa kuna wadau wameongelea mleta uzi anafanya biashara ya ukahaba na wengine wakadiriki kusema serikali iingilie kati, sasa mimi nikaelezea kutokana na service mdau aliyesema anatoa ni ya escort na massage, kwahio hata mtoa service akifika kwako akakataa kukupa sex yupo right na wala hajavunja makubaliano.., ila kama mtakubaliana kufanya mengine pia hayo ni makubaliano yenu. Kwahio hii service sio illegal in any way or form sababu haijakiuka chochote na wala hawajasema wanaoffer sex.
 
darescort.jpg


eeee bwana eee haya ndo maendeleo ya kileo leo

Hao wadada wamekomaa miguu sana, naogopa kuvunjiwa kiuno na hizo ngoko zao..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom