1993? Are you for really bruh???Niliwahi kuwa teja wa diazepam way back 1993 thanks God I managed to make it...!
Jr[emoji769]
Ukijichoma unasikiaje?Niliwahi kuwa teja wa diazepam way back 1993 thanks God I managed to make it...!
Jr[emoji769]
Nilikuwa nina shida ya kichwa daktari akawa ananiandikia diazepam daily ikafika mahali siwezi kulala bila kupata hiyo dawa.... Nilianza na kimoja nikafika mahali nikawa nakula tatu... Halafu nikaanza cocaine....! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]its a true revelation1993? Are you for really bruh???
Ulikuwa na shida gani miaka hiyo hata mastress nadhani hayakuwa makubwa kama hivi leo?
[emoji15][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenigusa sana , ila kinachonisaidia ni uamuzi wangu wa kusubiri kifo kama ninavyosubiri X - mas na mwaka mpya . Ni roho tu inabadili maskani yake , ila ninaogopa kuchukuliwa msukule .
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu Mungu akutie nguvuKuondokewa na mama yangu kunaniumiza sana mama alikuwa mtu wa watu sana aiseee
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu Mungu akutie nguvu
Pole sana ndugu,anayejua Mungu tu!Pole sana huu ndo mwaka baba na mama walifariki kwa kutofautiana miezi miwili tu nikawa yatima ghafla sitosahau.
Cocaine tena mkuu, were you still a teenager miaka hiyo? Mbona mapema hivyo kuanza mihadarati?Nilikuwa nina shida ya kichwa daktari akawa ananiandikia diazepam daily ikafika mahali siwezi kulala bila kupata hiyo dawa.... Nilianza na kimoja nikafika mahali nikawa nakula tatu... Halafu nikaanza cocaine....! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]its a true revelation
Jr[emoji769]