Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Teh teh teh hilo nimeliona kwa Wachina wengi wawekazaji wakubwa hapa Bongo karibu wote ninaowafahamu wanatumia iPhone na Mimi siwakopeshagi nawaulizaga inakuwaje mnatumia iPhone wakati nyie mna makampuni yenu makubwa ya simu kama Huawei na wakina Oppo wanaishia kucheka tuu bila kutoa majibu.
Itakua wanaogopa kudukuliwa na serikali ya kikomunisti,siunajua kule vitanzi nje nje
 
Hata kama hawata pata hasara lazima waseme hivyo ili kuwaweka wana nchi wao na makampuni mengine ya nchini nyingine ili wawe macho na bidhaa za marekani kuwa ipo siku ukifanya nao biashara utapata hasara kubwa!
Hili jambo ni la vita!
Na usipofanya nao biashara ndo hutoboi kabisa yani hahaaa, waseee.nge wana roho mbaya wale.
Ila bora marekani kuliko wale jamaa wa vimacho vidogo.
 
Walijisahau wakapata kibri sasa inakula kwao hata uchumi umetetereka kidogo. Ngoja tuone nini wataamua ili kuondoa hivi vikwazo vya kiuchumi kati ya nchi hizi mbili.
Kinachofuata kwa China ni maamuzi mawili tu na wanapaswa kuchagua moja.
Kukubaliana na masharti ya biashara na mahusiano ya USA.
Kufataa mkondo wake na sera zaka za kikomunisti ili afirisike kabisa.

Binafsi nililiona tatizo la wachina walipopitisha sheria kumruhusu Rais wao aendelee kukaa madarakani bila kikomo, wakijua wazi kabisa huko ni kukandamiza demokrasia na ukifanya hivyo basi huwezi kaa meza moja ya majadiliano na maelewana na USA zaidi ya kuwa adui kwake.
 
Acha porojo wewe, aliyekuzidi kakuzidi tu!
Historia ya marekani ni tata sana na sioni taifa litakalotia mguu pale hata karne ya 40!!
Bora umemwambia ukweli.....wale jamaa ni super power kwa miaka zaidi ya 150, ni ngumu sana kupambana nao zaidi uwachome utambi wapigane wenyewe kwa wenyewe.
 
nachijua ni kuwa WEATUMWA WA KIAFRICA HUKO ULAYA NA AMERICA ndio unaona huo ni undugu.
Huko ASIA hakuna weusi kwa sababu hawajawahi kushiriki BIASHARA YA UTUMWA na hawana hata huo muda.
Ukitaka kujua china ni nani jifunze kuhusu TAZARA. hapo hakika utajua kuwa china ndiuo ndugu yako wa kweli.
Amekuongopea nani jamaa hawakufanya biashara za watumwa?....au kwako wewe mtumwa lazima awe mtu mweusi sio?
 
Bora umemwambia ukweli.....wale jamaa ni super power kwa miaka zaidi ya 150, ni ngumu sana kupambana nao zaidi uwachome utambi wapigane wenyewe kwa wenyewe.
Huyo mrusi toka kaporwa alaska kwa mikataba ya ujanja ujanja mpaka Leo kabaki na Maumivu yake!
Na hakuna shirika la kijasusi linaloeneza propaganda kama CIA na ni ngumu sana kuwatambua wanajitokezaga feki tu tena kwa kupangwa na hao hao!
 
Hahaaa yaani ukisoma historia namna gani Urusi ilikuwa na nguvu lakini ikasambaratishwa huwezi shabikia upande wowote unaopingana na USA mana you will only be a loser.
 
Ukimwi, Kansa, Ebola,Ushoga,Vita vya wenyewe kwa wenyewe (Kongo,Sudan,Libya,Somalia n.k) Bado mnaishabikia Marekani? Na hapo anawaita manyani.
 
Kampuni inayotengeneza iphone ni foxconn, kampuni ya kichina imeajiri maelfu ya wachina na inalipa mamilioni ya kodi
Teh teh teh foxconn ni ya kichina sio Taiwan sio? By the way kinachoangaliwa technology na parent right ni ya nani sio inapotengenezwa.
 
nachijua ni kuwa WEATUMWA WA KIAFRICA HUKO ULAYA NA AMERICA ndio unaona huo ni undugu.
Huko ASIA hakuna weusi kwa sababu hawajawahi kushiriki BIASHARA YA UTUMWA na hawana hata huo muda.
Ukitaka kujua china ni nani jifunze kuhusu TAZARA. hapo hakika utajua kuwa china ndiuo ndugu yako wa kweli.
Jana kwenye kipindi cha agenda 2020 star tv mzee mkinga alielezea kuhusu wachina na ujenzi wa reli ya TAZARA.
Wachina walikuwa wanabeba mchanga kupeleka kwao, serikali ilikuja kushtuka baadaye sana walikuwa wanatorosha madini. Hakuna ndugu hapo awe mchina au mmarekani wote wanaangalia maslahi yao
Kuhusu utumwa ASIA, hujasoma historia?
 
Kinachofuata kwa China ni maamuzi mawili tu na wanapaswa kuchagua moja.
Kukubaliana na masharti ya biashara na mahusiano ya USA.
Kufataa mkondo wake na sera zaka za kikomunisti ili afirisike kabisa.
Binafsi nililiona tatizo la wachina walipopitisha sheria kumruhusu Rais wao aendelee kukaa madarakani bila kikomo, wakijua wazi kabisa huko ni kukandamiza demokrasia na ukifanya hivyo basi huwezi kaa meza moja ya majadiliano na maelewana na USA zaidi ya kuwa adui kwake.
Hata wangekuwa wanabadili rais kila mwezi bado isingefanya kila mchina kuupata urais,sasa hata mtu mmoja akiwa rais milele hakuna tofauti.
 
Wapi Mrusi aliporwa Alaska? History inasema aliliuza mwaka 1867 kwa Us, na kipindi hicho walikuwa hawana uhasama kwa nchi hizo mbili. Uhasama ulikuja baada ya US kubinafsishwa kwa matajiri wa Kiyahudi.

Mwaka 1863 Amerika ilikumbwa na Civil war. Uingereza na Ufaransa ziliweka njama ya kuivamia Amerika. Russia ndiyo Taifa pekee lililojitolea kumsaidia Amerika. September 24, 1863 Russia Walipeleka meli jeshi zenye wanajeshi ili kuilinda Amerika dhidi ya uvamizi kutoka kwa Ufaransa na Uingereza. Ni kipindi cha Abraham Lincoln na Tsar Alexander ii wa Urusi.

Mwaka 1867 Alaska iliuzwa kwa Amerika! Sasa umeshapata picha? Haya tuambie wewe! ni lini Mrusi aliporwa alaska?

Back
Top Bottom