Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

.... nchi yake ndiyo iliyoanza kuipiga ban iPhone kutumika China huku mkidukua taarifa za wenzenu! Hayo mambo fanyeni Afrika kwa wajinga na sio kwa wajanja wanaowapatieni hadi hizo teknolojia mnazotumia kutengeneza pesa tena free of charge.
acha upotoshaji
 
Hata kama hawata pata hasara lazima waseme hivyo ili kuwaweka wana nchi wao na makampuni mengine ya nchini nyingine ili wawe macho na bidhaa za marekani kuwa ipo siku ukifanya nao biashara utapata hasara kubwa!
Hili jambo ni la vita!
Acha porojo wewe, aliyekuzidi kakuzidi tu!
Historia ya marekani ni tata sana na sioni taifa litakalotia mguu pale hata karne ya 40!!
 
Aliyajua yote haya na naamini alishajiandaa huyo mwanzilishi
View attachment 1129778

Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hiawei, amesema kampuni yake itapata hasara hiyo huku akiilaumu Marekani kwa kupinga biashara yake

Ren Zhengfei amesema mauzo ya nje ya bidhaa za kampuni hiyo yameshuka kwa asilimia 40

Kampuni za Facebook na Google zimesitisha kufanya biashara ya Huawei kwa shinikizo la Serikali ya Marekani na siku mpya zinategemewa kutokuwa na uwezo wa kutumika kwa ajili ya Facebook na Google

Huawei ni kampuni ya China iliyoathirika zaidi katika vita ya kiuchumi kati ya Taifa hilo na Marekani


=======

Shenzhen, China (CNN Business) The founder and CEO of Chinese tech giant Huawei said the company will miss revenue forecasts by about $30 billion over the next couple of years and he blamed a US campaign against its business.

"In the next two years, I think we will reduce our capacity, our revenue will be down by about $30 billion compared to the forecast, so our sales revenue this year and next year will be about $100 billion," Ren Zhengfei said Monday during a panel discussion at Huawei's headquarters in Shenzhen.

The embattled Chinese tech firm has become a flashpoint in the US-China trade war. The Trump administration delivered a huge blow on May 16, when it added Huawei to a blacklist that bars US companies from selling it technology without first obtaining a license to do so.

Huawei became the world's largest telecommunications equipment maker and the No. 2 smartphone brand, despite being locked out of the US market for nearly a decade.

But just four weeks on the US trade blacklist is hitting the company hard, hurting its smartphone business and eroding its dominance in 5G equipment.

So far this year, overseas smartphone unit sales have "dropped by 40%," Ren said.

Mobile networks in countries like Japan and the United Kingdom have delayed the launch of Huawei smartphones, and companies like Google (GOOGL) and Facebook (FB) have been forced to suspend access to some of their services from the Chinese firm's new devices.
 
Reuters
SUN JUN 16, 2019 / 4:19 AM EDT
China prepared for long trade fight with the U.S.: party journal
(Reuters) - The United States has underestimated the Chinese people's will to fight a trade war and Beijing is prepared for a long economic battle, an influential Chinese Communist Party journal said on Sunday.


China would not give way on major principles in its negotiations with the United States on ending the dispute, the commentary in the ideological journal Qiushi, or Seeking Truth, said.


In an era of economic globalization, trade protectionism is poison, not panacea," the article said, adding that higher tariffs would increase manufacturing costs for U.S. businesses and push up U.S. consumer inflation.


"As a result of the trade frictions, only a very few Americans will benefit, but the majority of Americans will suffer."


The U.S. Trade Representative's Office on Monday will kick off seven days of testimony from U.S. retailers, manufacturers and other businesses about Trump's plan to hit another $300 billion worth of Chinese goods with tariffs.
 
Tuambie wewe unajua nini...

nachijua ni kuwa WEATUMWA WA KIAFRICA HUKO ULAYA NA AMERICA ndio unaona huo ni undugu.
Huko ASIA hakuna weusi kwa sababu hawajawahi kushiriki BIASHARA YA UTUMWA na hawana hata huo muda.
Ukitaka kujua china ni nani jifunze kuhusu TAZARA. hapo hakika utajua kuwa china ndiuo ndugu yako wa kweli.
 
Back
Top Bottom