Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Tuzidi kuwaombea ndugu zetu wa Marekani.
Taifa lenye Waafrika wengi kuliko nchi nyingi za bara la Afrika.

Mafanikio ya Amerika ni mafanikio ya Afrika.

Tunategemea miaka mia moja ijayo Amerika itakua ni bara la watu weusi.

China akiihujumu Marekani ni kama kulihujumu bara lote la Afrika.

Wachina wamejazana Afrika kwa hisani ya watawala madikteta na vyama vyao.

Kaza sana Trump babaaaaa mpaka wanyoooke hao watu wa mashariki ya mbali mana hatuna faida nao mana hatuna ndugu zetu huko zaidi ya wanasiasa wanakwenda huko kujipendekeza kwa watu wenye roho mbaya wenzao.
We ndio baadoo upo usingizini unaota tuu. KUNA NCHI HAPA DUNIAN WATU WAKE WENYE ASILI YA WEUSI WANABAGULIWA NA KUNYANYASWA WAKATI MWINGINE NA ASKARI KABISA WA SERIKALI KULIKO MAREKANI??

HALAFU NI NANI ALIEKUPA HIZO TAKWIMU UNAZOTANGAZA KWAMBA ETI MIAKA 100 IJAYO AMERIKA ITAKUWA TAIFA LA WATU WEUSI?!!

Then unasema eti mafanikio ya Marekani ndio mafanikio ya AFRICA! Hiyo ni kuanzia lini wewe??

SISI tuwe wazalendo tulinde rasimali zetu kutokana na makucha yao hebu zinduka ndg
 
Tuzidi kuwaombea ndugu zetu wa Marekani.
Taifa lenye Waafrika wengi kuliko nchi nyingi za bara la Afrika.

Mafanikio ya Amerika ni mafanikio ya Afrika.

Tunategemea miaka mia moja ijayo Amerika itakua ni bara la watu weusi.

China akiihujumu Marekani ni kama kulihujumu bara lote la Afrika.

Wachina wamejazana Afrika kwa hisani ya watawala madikteta na vyama vyao.

Kaza sana Trump babaaaaa mpaka wanyoooke hao watu wa mashariki ya mbali mana hatuna faida nao mana hatuna ndugu zetu huko zaidi ya wanasiasa wanakwenda huko kujipendekeza kwa watu wenye roho mbaya wenzao.

Maneno ya kijinga sana, hivi weusi waliopo Amerika wamekusaidia nini wewe mtu mweusi wa Afrika??

Wao wenyewe siku zote wanapambana na hali zao huko Marekani watapata wapi muda wa kufikiria shida zenu?!?!.
 
Ile OS (hongmeng os) yao hawatarajii kufanya maajabu kama baadhi ya wanaJF wanavyodai?

maana jamaa anasema anatarajia hasara "next couple of years" maana si mwaka mmoja au miwili.
Hongmeng ni ya China Mainland pekee. Internationally bado hawajakamilisha mipango maana hata kama walijua kuwa watazuiliwa kutumia Teknojia za Marekani, bado imekuwa ni Unexpected sana kwao.
 
.... nchi yake ndiyo iliyoanza kuipiga ban iPhone kutumika China huku mkidukua taarifa za wenzenu! Hayo mambo fanyeni Afrika kwa wajinga na sio kwa wajanja wanaowapatieni hadi hizo teknolojia mnazotumia kutengeneza pesa tena free of charge.
Una ushahidi? We source.
 
Hao HUAWEI watakuwa na shida kweli.
kwani kama ni commercial entity na wameamua kuwa global Communication power house kwanini wasichukue hatua za kuprove kwamba hawako chini ya President Xi.

wafloat shares zao, say 60% (20% Northen America, 20% EU, 10% Asia, 5% China na 2% Africa and 3% Middle East).

Done.
Hawawezi! China mwaka 2017 ilipitisha sheria ambayo inazitaka kampuni zake au mtu binafsi kutoa taarifa kwa serikali pale inapotakiwa kufanya hivyo.Mfano Huawei afunge mitambo ya 5G kwenye sehemu nyeti nchini Marekani akitakiwa kutoa taarifa kuhusu Marekani kwa serikali ya Uchina hana namna tofauti na kampuni za wamagharibi nadhani wote tunakumbuka lile sakata la serikali ya Marekani (FBI) na Apple

Pia kingine ni mahusiano ya kutilia shaka Kati ya Huawei na serikali ya China. Kumbuka muanzilishi wa Huawei alikua mhudumu wa jeshi la China.
Pia ni mwanachama wa Chama Cha kikomunisti Cha China
 
Cha ajabu alivyodakwa alikutwa anatumia iPhone sio Huawei
Yaani CFO wa kampuni hatumii bidhaa za kampuni yake
Teh teh teh hilo nimeliona kwa Wachina wengi wawekazaji wakubwa hapa Bongo karibu wote ninaowafahamu wanatumia iPhone na Mimi siwakopeshagi nawaulizaga inakuwaje mnatumia iPhone wakati nyie mna makampuni yenu makubwa ya simu kama Huawei na wakina Oppo wanaishia kucheka tuu bila kutoa majibu.
 
.... nchi yake ndiyo iliyoanza kuipiga ban iPhone kutumika China huku mkidukua taarifa za wenzenu! Hayo mambo fanyeni Afrika kwa wajinga na sio kwa wajanja wanaowapatieni hadi hizo teknolojia mnazotumia kutengeneza pesa tena free of charge.
Iphone haijapigwa ban China
Labda google na facebook
 
Teh teh teh hilo nimeliona kwa Wachina wengi wawekazaji wakubwa hapa Bongo karibu wote ninaowafahamu wanatumia iPhone na Mimi siwakopeshagi nawaulizaga inakuwaje mnatumia iPhone wakati nyie mna makampuni yenu makubwa ya simu kama Huawei na wakina Oppo wanaishia kucheka tuu bila kutoa majibu.
Hata iphone zinatengenezwa China
 
Teh teh teh hilo nimeliona kwa Wachina wengi wawekazaji wakubwa hapa Bongo karibu wote ninaowafahamu wanatumia iPhone na Mimi siwakopeshagi nawaulizaga inakuwaje mnatumia iPhone wakati nyie mna makampuni yenu makubwa ya simu kama Huawei na wakina Oppo wanaishia kucheka tuu bila kutoa majibu.
Kwahiyo ulitaka wachina wote watumie huawei tu au vp sijakuelewa?
 
Back
Top Bottom