Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,581
Ameshasahau kwamba waafrika na latin America walikua wakitumika kulima mashamba ya miwa huko.
Mkumbushe kuhusu triangular slave trade.
Hususan red indies walikua wanatumika kingono .
Halafu mkumbushe kuwa abolishen of slave trade waliifanya baada ya kuona kuwa machines zime replace watu Kwahiyo haina haja ya watumwa hvyo inahitajika waafrika waachwe huru ili wanunue manufactured goods toka ulaya.Na waweze kuwa coloniZed ili wawalimie wazungu raw materials yote hayo kayasahau

Ngudu sina sababu ya kukutukana,
Ila wale wahindi weusi au waarabu weusi ni wanatoka wapi?
embu nionyeshe ni wapi china alaifanya biashara ya utumwa ?