Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

Soma hiyo article uielewe ndio uje kuchangia. Drop in Revenue is not equal to Loss sana sana faida mliobudget kupata itapungua wale wahasibu watakuwa wamenielewa.
Atakuwa ameshaelewa huyu kijana wa Trump ni mbishi Ila nimuelewa !!
 
Wakati huo unapost hii kitu kwa kutumia simu ya kichina dah
Nimeinunua sijapewa bure.
Tena nimeinunua mana muuzaji ni mfanyabiashara Mtanzania mwenzangu na nchi imepata kodi take basi .
Sina urafiki na mchina .
 
Dah!! Naziangalia dola bilion 30 kwa jicho la pilj.

Yaani sisi tz tuna safar ndefu mnoo, hiyo inakidhi kabisa bajeti yetu kibongo bongo, halafu eti ni hasara ya kampuni, sina hakika ila nadhani tz nzima hatuna kampuni yenye walau mtaji robo wa hiyo hasara ya huawei, shabash!!
 
We ndio baadoo upo usingizini unaota tuu. KUNA NCHI HAPA DUNIAN WATU WAKE WENYE ASILI YA WEUSI WANABAGULIWA NA KUNYANYASWA WAKATI MWINGINE NA ASKARI KABISA WA SERIKALI KULIKO MAREKANI??

HALAFU NI NANI ALIEKUPA HIZO TAKWIMU UNAZOTANGAZA KWAMBA ETI MIAKA 100 IJAYO AMERIKA ITAKUWA TAIFA LA WATU WEUSI?!!

Then unasema eti mafanikio ya Marekani ndio mafanikio ya AFRICA! Hiyo ni kuanzia lini wewe??

SISI tuwe wazalendo tulinde rasimali zetu kutokana na makucha yao hebu zinduka ndg
Marekani kuna wanajeshi ,polisi,uhamiaji,madaktari,Itelijensia ,wafanyabiashara,wamamzikiabilionea, wanasiasa, Wavuta nangi,walevi,wahuni,wavuvi,wakulimarubani, madereva, mawakili, majaji,mashekhe,wachungaji na watu wa kila fani ambao ni waafrika Pure. Na hakuna mtu tena wa kuwatoa pale leo wala kesho ,na wanazaliana na kuoa wanavyotaka bila kuzuiliwa. Hilo hamulioni .

Ibaguzi hata askari wa Tanzania wanawabagua Wanachama wa Vyama vya upinzani.

Kula Zanzibar kuna ubaguzi mkubwa tu tena wa Kiitikadi tu unaosababishwa na wale tunaowalipa mabilioni kama viongozi na watawala.
Hata Tanzania watu tunaowalipa kwa kodi zetu wanasema hadharani kuwa hatutaleta maendeleo maeneo waliochagua wapinzani.

Ubaguzi ni roho ya mtu lakini Katiba na sheria za Marekani ni nzuri kwa binadamu yeyote kuishi kwa imani yake na rangi yake tofauti na China hata Rangi wao ni wabaguzi kwa karne hii,hata Uhuru wa kuabudu hakuna.Wana roho mbaya kama mashetani.

Ndio maana wamewekewa sheria ngumu sana kule kwao lakini wakiwa kwenye nchi za watu wengine ni kama mbwa koko aliyefunguliwa Mchana na kukimbilia banda la kuku la nyumba ya jirani.
Wachina Wanatoa rushwa sana wakiwa nchi nyingine lakini wakiwa kwao wanaogopa kunyongwa. Wanatengeneza mpaka mayai ya bandia kwa ajili ya watu wengine lakini kwao wanatii sheria, wanatengenezea watu wengine madawa feki mpaka ya kuongeza makalio .

Waafrika wenzetu walioko Marekani wananifanya niione America ni bora kuliko China.
Ikatokea vita ya Tatu ya dunia Afrika itapona mbele ya Marekani kuliko Zimwi lisilokujua linaloitwa China.
 
Maneno ya kijinga sana, hivi weusi waliopo Amerika wamekusaidia nini wewe mtu mweusi wa Afrika??

Wao wenyewe siku zote wanapambana na hali zao huko Marekani watapata wapi muda wa kufikiria shida zenu?!?!.
Wewe ndio una maneno ya kijinga Kabisa na roho mbaya.
Waafrika popote walipo ni ndugu zetu.
Afrika tunakua maskaini kwa sababu ya kujali misaada toka kwa binadam wenzetu bila kujali utu.

Hivi wewe kwenye ukoo wenu hakuna ndugu anayeishi Marekani,au aliyeoa mzungu wa America au aliyezaa na Mmarekani au aliyehamia na kuishi Marekani kama Raia?
Ni Mara ngapi watu wametembelea ndugu zao Kule marekani na wakazamia huko huko na sasa ni RAIA na wanaishi kwa amani kabisa bila kutishwa alimradi wanafuata sheria za nchi na kuepukana na vitendo vya kihalifu.
Huoni kila Mwaka Kanada na Marekani wanaajiri wataalam toka Dunia nzima na hasa Afrika?
Hayo yapo China?
Mtu anaweza kwenda America na Akapata kazi nzuri na mshahara mnono tu na akaendesha maisha yake sasa hiyo ya kusema kuwa wanatusaidia nini hao waafrika sijui inatoka wapi ?
Mimi Mndengereko sisaidiwi Chochote na Mnyamwezi lakini haisababishi kuwa sio ndugu yangu,mtanzania mwenzangu na Mwafrika Mwenzangu.

Hapo ndipo tulipobugu waafrika tunauana na kutesana wenyewe kwa sababu ya kiwathamini wenye misaada walioko nje.
Leo hii viongozi wa Afrika ni jeuri sana na wanaua watu wao kwa misaada ya silaha na ujenzi wa miundo mbinu toka China badala ya kuwaunganisha Wananchi wao na kukaa kwa pamoja na kupanga namna ya kujiletea maendeleo yao wenyewe!.
 
Wachina wanalia hasara wewe mchina wa pangani tanga unajifariji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Wewe ndio una maneno ya kijinga Kabisa na roho mbaya.
Waafrika popote walipo ni ndugu zetu.
Afrika tunakua maskaini kwa sababu ya kujali misaada toka kwa binadam wenzetu bila kujali utu.

Hivi wewe kwenye ukoo wenu hakuna ndugu anayeishi Marekani,au aliyeoa mzungu wa America au aliyezaa na Mmarekani au aliyehamia na kuishi Marekani kama Raia?
Ni Mara ngapi watu wametembelea ndugu zao Kule marekani na wakazamia huko huko na sasa ni RAIA na wanaishi kwa amani kabisa bila kutishwa alimradi wanafuata sheria za nchi na kuepukana na vitendo vya kihalifu.
Huoni kila Mwaka Kanada na Marekani wanaajiri wataalam toka Dunia nzima na hasa Afrika?
Hayo yapo China?
Mtu anaweza kwenda America na Akapata kazi nzuri na mshahara mnono tu na akaendesha maisha yake sasa hiyo ya kusema kuwa wanatusaidia nini hao waafrika sijui inatoka wapi ?
Mimi Mndengereko sisaidiwi Chochote na Mnyamwezi lakini haisababishi kuwa sio ndugu yangu,mtanzania mwenzangu na Mwafrika Mwenzangu.

Hapo ndipo tulipobugu waafrika tunauana na kutesana wenyewe kwa sababu ya kiwathamini wenye misaada walioko nje.
Leo hii viongozi wa Afrika ni jeuri sana na wanaua watu wao kwa misaada ya silaha na ujenzi wa miundo mbinu toka China badala ya kuwaunganisha Wananchi wao na kukaa kwa pamoja na kupanga namna ya kujiletea maendeleo yao wenyewe!.

Mkuu mimi sijazungumzia juu ya African diaspora katika America, mimi nimezungumzia juu ya (African American/Black American/Niggaz/Negroes )-- hawa wamekuwa watumwa na wakakombolewa kutoka katika makucha ya utumwa baadaye wakaingia katika kubaguliwa na Wazungu na wakanyimwa haki kama binadamu, ndiyo maana wakatokea activists kama Dr Martin luther, Malcom x na wengineo wengi kabla ya hapo akina W, Dubois, na Harvey nk.

Leo watu weusi (Negroes) wengi wamo magerezani (by proportion) ni wengi sana, wao ndiye Race ya pili kwa wingi huko Marekani ya kwanza ni Hispanic bado hadi leo wanabaguliwa katika kila nyanja ingawa sio kama ilivyokuwa huko nyuma.

Kipindi sisi tunatawaliwa huku Afritka tayarii waamerika weusi walishakuwa utumwani.

Leo nenda Marekani na muulize Mniga mtaani juu ya Afrika, bora hata mzungu anaweza kurespond positive lakini Nigga zni wachache sana wanaoweza kurespond positive, wanayo tabia ya kujiona kwamba wao sio waafrika licha ya kuwa na asili ya Afrika ndiyo maana hawapendi kuitwa African Americans bali wanapenda kujiita " Niggaz" wanasema wao sio Waafrika.

Kwahiyo niliposema Weusi wa America nilikuwa na maana ya NIGGAZ na wala sio wale diaspora ambao ni Waafrika.
Wewe ndio una maneno ya kijinga Kabisa na roho mbaya.
Waafrika popote walipo ni ndugu zetu.
Afrika tunakua maskaini kwa sababu ya kujali misaada toka kwa binadam wenzetu bila kujali utu.

Hivi wewe kwenye ukoo wenu hakuna ndugu anayeishi Marekani,au aliyeoa mzungu wa America au aliyezaa na Mmarekani au aliyehamia na kuishi Marekani kama Raia?
Ni Mara ngapi watu wametembelea ndugu zao Kule marekani na wakazamia huko huko na sasa ni RAIA na wanaishi kwa amani kabisa bila kutishwa alimradi wanafuata sheria za nchi na kuepukana na vitendo vya kihalifu.
Huoni kila Mwaka Kanada na Marekani wanaajiri wataalam toka Dunia nzima na hasa Afrika?
Hayo yapo China?
Mtu anaweza kwenda America na Akapata kazi nzuri na mshahara mnono tu na akaendesha maisha yake sasa hiyo ya kusema kuwa wanatusaidia nini hao waafrika sijui inatoka wapi ?
Mimi Mndengereko sisaidiwi Chochote na Mnyamwezi lakini haisababishi kuwa sio ndugu yangu,mtanzania mwenzangu na Mwafrika Mwenzangu.

Hapo ndipo tulipobugu waafrika tunauana na kutesana wenyewe kwa sababu ya kiwathamini wenye misaada walioko nje.
Leo hii viongozi wa Afrika ni jeuri sana na wanaua watu wao kwa misaada ya silaha na ujenzi wa miundo mbinu toka China badala ya kuwaunganisha Wananchi wao na kukaa kwa pamoja na kupanga namna ya kujiletea maendeleo yao wenyewe!.
 
Ebola, Ukimwi, Kansa,Vita vya wenyewe kwa wenyewe(Kongo,Sudan, Somalia, n.k) Mzungu waafrika anatuita nyani.
Bado unasema Americans ndugu yako.
Waafrika tumekuwa specimens (viumbe vya majaribio uko maabara za wazungu) bado unasema mwamerika atatukomboa kwa lipi?
 
Usipende sana kuziamini Conspiracy Theories ndugu!
 
Pole sana mkuu hadi Ukimwi conspiracy theories mkuu wakati umu kuna Uzi kabisa na ushahidi wa USA walitengeneza vimelea vya Ukimwi na Rais wa Korea kaskazini Mheshimiwa Kim Un Jung alitoa ushahidi kabisa.
Utafute huo Uzi umejadiliwa umu JF.
 
Hakuna kitu kama hicho ndugu! Hizo ni hadithi tu za kusadikika na wala hazina Evidence yeyote. Usiziamini!
 
Pole sana mkuu hadi Ukimwi conspiracy theories mkuu wakati umu kuna Uzi kabisa na ushahidi wa USA walitengeneza vimelea vya Ukimwi na Rais wa Korea kaskazini Mheshimiwa Kim Un Jung alitoa ushahidi kabisa.
Utafute huo Uzi umejadiliwa umu JF.
muathirika wa jf hata wakileta uzi mkewe ni mbaha atakubali ndio huyu
 
Vipi kuhusu hii generally mkuu.?!

View attachment 1129778

Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Hiawei, amesema kampuni yake itapata hasara hiyo huku akiilaumu Marekani kwa kupinga biashara yake

Ren Zhengfei amesema mauzo ya nje ya bidhaa za kampuni hiyo yameshuka kwa asilimia 40

Kampuni za Facebook na Google zimesitisha kufanya biashara ya Huawei kwa shinikizo la Serikali ya Marekani na siku mpya zinategemewa kutokuwa na uwezo wa kutumika kwa ajili ya Facebook na Google

Huawei ni kampuni ya China iliyoathirika zaidi katika vita ya kiuchumi kati ya Taifa hilo na Marekani

=======

Shenzhen, China (CNN Business) The founder and CEO of Chinese tech giant Huawei said the company will miss revenue forecasts by about $30 billion over the next couple of years and he blamed a US campaign against its business.

"In the next two years, I think we will reduce our capacity, our revenue will be down by about $30 billion compared to the forecast, so our sales revenue this year and next year will be about $100 billion," Ren Zhengfei said Monday during a panel discussion at Huawei's headquarters in Shenzhen.

The embattled Chinese tech firm has become a flashpoint in the US-China trade war. The Trump administration delivered a huge blow on May 16, when it added Huawei to a blacklist that bars US companies from selling it technology without first obtaining a license to do so.

Huawei became the world's largest telecommunications equipment maker and the No. 2 smartphone brand, despite being locked out of the US market for nearly a decade.

But just four weeks on the US trade blacklist is hitting the company hard, hurting its smartphone business and eroding its dominance in 5G equipment.

So far this year, overseas smartphone unit sales have "dropped by 40%," Ren said.

Mobile networks in countries like Japan and the United Kingdom have delayed the launch of Huawei smartphones, and companies like Google (GOOGL) and Facebook (FB) have been forced to suspend access to some of their services from the Chinese firm's new devices.
 
Kwa hapo embu tutazame nini kitatokea na nani anamuhitaji nani?

Back
Top Bottom