Huawei yajidhatiti

Huawei yajidhatiti

Wangefanya siku nying kweny kirin yao,mbona still iko powered na arm?
shida sio ungefanya jana, jibu where are you today!,
China’s new 8-core KaiXian x86 CPU is capable of matching Intel’s 14nm Core i5
ndio walicho nacho sasa pengine na zaidi!!!
 
Maneno mengi sana mchina..lets wait n see
 
Wangefanya siku nying kweny kirin yao,mbona still iko powered na arm?
ona hapa China began to build supercomputers without US semiconductors after the Obama administration banned the sale of high-end Intel, Nvidia and AMD chips for Chinese supercomputers in 2015. The following year, China launched its Sunway TaihuLight supercomputer, powered by a Linux-based Chinese operating system and incorporating a locally developed chip called Matrix-2000. This machine became the fastest supercomputer on the Top500 list in June 2016. haya mashindano yaache tu ndugu yangu, sisi ndio tutaumia!!!
 
nikwambie ndugu yangu kcamp, hizi project za mchina ziko financed na serikali ndio maana inakuwa shida kuziona dukani na kwenye mashindano ya soko kwa sasa. usiwabeze they are capable!!. shida itakuja kwetu kupata vitu vya bei rahisi, coz Chjina alikuwa anafanya underlicence akikosa hiyo itabidi auze kwa gharama halisi!!!
 
Sawa mkuu ngoja tuone...hatima ya game...
nikwambie ndugu yangu kcamp, hizi project za mchina ziko financed na serikali ndio maana inakuwa shida kuziona dukani na kwenye mashindano ya soko kwa sasa. usiwabeze they are capable!!. shida itakuja kwetu kupata vitu vya bei rahisi, coz Chjina alikuwa anafanya underlicence akikosa hiyo itabidi auze kwa gharama halisi!!!
 
shida sio ungefanya jana, jibu where are you today!,
China’s new 8-core KaiXian x86 CPU is capable of matching Intel’s 14nm Core i5
ndio walicho nacho sasa pengine na zaidi!!!
Mkuu unachokiandika unakifahamu lakini. Hapo naona umeweka cpu inatumia x86, unawafahamu wamiliki wa hii kitu.

umeulizwa mbona aina za processor zinazotumika duniani ni mbili tu hakuna ulichokijibu.

Halafu unasema ni rahisi tu.
 
x86 is just an instruction set(architecture) na si trade name kusema inamilikiwa na kampuni ingawa term yenyewe iko based kwa intel. hata AMD wana x86
 
Kwa hiyo unaweza kuitumia x86 bila license ya intel au AMD kwa maana x86 ni ISA?

Kwani ARM wanadili na nini na ban yao kwa huawei inahusiana na nini?
 
x86 is just an instruction set(architecture) na si trade name kusema inamilikiwa na kampuni ingawa term yenyewe iko based kwa intel. hata AMD wana x86
X86 inamilikiwa na intel, Amd ana licence kwa Intel, Na intel nae ana licence tech ya 64bit toka kwa AmD ndio maana unaona hao jamaa hawagusani.
 
Mkuu telegram si ilikuwa Russia au Mimi nimesahau
Mmiliki ni wa Russia bwana Durov na ndugu yake.Kwa sasa yupo Dubai ndiko anakoishi mara baada ya kugombana na utawala wa Russia kwa kutokukubali telegram yake kuwa na back door ili taarifa za watu zidukuliwe na utawala,hatimaye telegram kupigwa ban sio tu Russia,pia Iran.
 
ona hapa China began to build supercomputers without US semiconductors after the Obama administration banned the sale of high-end Intel, Nvidia and AMD chips for Chinese supercomputers in 2015. The following year, China launched its Sunway TaihuLight supercomputer, powered by a Linux-based Chinese operating system and incorporating a locally developed chip called Matrix-2000. This machine became the fastest supercomputer on the Top500 list in June 2016. haya mashindano yaache tu ndugu yangu, sisi ndio tutaumia!!!
Tunaumia kivipi
Mashindano yanaibua ubunifu zaidi
 
nina
Tunaumia kivipi
Mashindano yanaibua ubunifu zaidi
ninachokiona ni kwamba Mchina alkuwa anatengeneza vitu kwa underlicence anaviuza hata kwa cheap prices, ndio maana bidhaa nyingi za ki eletronic nchi hii na Afrika kwa ujumla ni from China. sasa kwa kuingiza pesa yake yeye mwenyewe kwenye uzalishaji wa vitu hivi from research, designing and manufacturing sidhani kama ataweza kuuza kwa bei za zamani zile cheap prices. hiyo ndiyo hofu yangu
 
uzi huu unanikumbusha kupotea kwa ndege ya malaysia flight H370, naanza kuunga dots nahisi kuna ukweli katika story fulani kuhusu kupotea kwa ndege hiyo. TEKNOLOJIA!!!!
 
Tumebarikiwa sana tunaoshuhudia vita hii ya kihistoria kwenye ulimwengu wa technology,
Ila leo nimeona kwenye blog fln hivi habari inasema eti "HongMeng OS (android alternative ya wachina inayotengenezwa na huawei) inazidi hii android ya Google speed kwa asilimia 60"
Sina uhakika ni hii habari japo inaweza kuwa kweli coz blog hio imeripoti kwamba "GLOBAL TIMES" ndo wametangaza hivo.

Cc CHIEF MKWAWA
 
Speed sio issue mkuu windows phone ina speed mara ngapi kushinda android?

Matatizo yanaanza pale mtu anamuona mwenzake ana snapchat akiingia store kwake haioni anachukia, kesho tena anamuona mwenzake anacheza dream league, akiingia kwake haipo siku nyengine akinunua simu hachagui tena simu kama hiyo.

Na bado mpaka leo hatujasikia habari yoyote kuhusu processor watakayotumia.
 
nashangaa hii ban imehamia mpaka kwenye searching inaleta error au kwangu tu

ukisearch huawei haitaki.
 
Back
Top Bottom