AlP0L0
JF-Expert Member
- Apr 23, 2011
- 6,871
- 5,565
Haya! Mmarekani mweusi.Wachina weusi wajuaji
Haya! Mmarekani mweusi.Wachina weusi wajuaji
Hata google ni mfanyabiashara lakini linapokuja swala la national interest basi anakosa ujanja mana Taifa kama taifa kuna muda linamkingia kifua au kumpa promotion zaidi, Ninachokiona Huawei atakuja na OS yake ila developers wa Apps kubwa kubwa kama Whatsapp, Insta, Twitter, YouTube waka goma kuingia ktk Store za Os yao hio na hapo ndio inakuwa mwisho kabisa nani yupo tayari kutumia gadgets bila western appsMay be. Ila Dunia ya sasa ipo huru sana. Hao fasebuk twita, IG ni wafanya Biashara. Wanatafuta Fursa ipo wapi na wanaitumia. Sidhani kama Marekani atakuwa na say juu apps Social networks ambazo ni za US
Huawei wajitoe kwenye siasa maana hawatakuwa na mwisho mzuri walianza australia haikuwa shida sasa U S A naona ataipokea U K na wengine ila watu wamebase kwenye mobile phone hususani smartphone lakini huko sio sababu ban lilianzia kwenye telecom infrastrure hasa hii ya 5G ambayo imeonekana kuwa loophole nyingi zinazowapa nafasi ya udukuwaji hili janga limewapata nchi ya australia na walishapiga ban muda mrefu sana sema halikuwa main stream
Kuhusu huawei kuzindua 5G siyo tatizo kwa MarekaniUko sahihi apps zinatengenezwa bila Google kushirikishwa
Nacho kisema mimi ni kua kuna vuguvugu nimelisikia la marekani kumfanyia figisu mchina. Mchina ametangaza ku launch 5G na marekani hapendi atanguliwe tecnolojia hii na mchina, sasa kuna tetesi zinaenea kua kwenye Os ya huawei watapigwa ban kutumia apps zote za social media ambazo zimetengenezwa na developers wa marekani, ili watu washindwe kununua hizo simu za 5G kwasababu matumizi ya smartphone bila hizo social media si kitu kwa ulimwengu wa sasa
Wachina wakifanikiwa basi marekani itakuwa imejimaliza yenyewe hapo USA tumbo joto maana wanategemea app za android kufanya ujasusi Ila Kwa vyovyote mchina atashinda nyuma ya swala ili zipo serikali hivyo serikali ya China aiwezi kukubari kushindwa ukizingatia China ni tajiriHawa jamaa wasipo angalia hili ndo anguko lao,,Yani kama nawaona vile..Wacha tuone mtanange unakuaje..Tunaanzia kwenye P40
Kuhusu huawei kuzindua 5G siyo tatizo kwa Marekani
Tatizo ni huawei kuweka mfumo wa kiupelelezi kwenye device zao
Mengine ni stori za vijiweni tu





vipi kuhusu tecno zetu hizi nazo si za china wasije wakazuia tu hapa!

Wote wanakula hasara kubwa Sana. Mabilioni ya dollar. Wamerekani wanajadiliana kuhusu mkataba huo. Wanaona hasara watu bilioni Moja duniani. Na wanasubiri uwamuzi wa serikali ya uchina watakavyolipiza
Kujizatiti mkuu sio kujidhatiti.Katika kuonesha kweli Huawei imejidhatiti, Huawei imewahaidi wateja wake kuwa simu janja zao mpya zitaanza kupata OS yao,yaani mfumo endeshi wao kuanzia msimu wa mapukutiko, yaani Autumn.
Sio simu janja tuu zitakazopata mfumo huo wa Huawei,bali na tablets zao, computer zao, TV zao na kama kawaida,saa zao janja, yaani smart watches. Huawei inasema kuwa mfumo huo ni rafiki kwa Apps zote za Android na zile za web.Yaani ni compatible kwa Android Apps na Web Apps.
Je Huawei ataishangaza dunia?.Yetu macho na masikio.
Huawei’s self-developed operating system will be ready for the market as early as this autumn, Richard Yu, chief executive officer of Huawei’s consumer business confirmed to ThePaper.cn. According to Yu, the OS will be designed for next-generation technology. It will be able to support a range of products, including smartphones, computers, tablets, TVs, cars, and smart wear. And it will be compatible with all Android applications and web applications.
Hhh umeskia sioCompatible Kwa apps za Android wakati nimesikia wamewekewa vikwanzo kua hawaruhusiwi kutumia apps za Android kwenye os yao kama vile whatsapp facebook instagram and twitter.
Una hakika?
Yah. Umechemka mzee. Kujizatiti ndio sawa


Kiswahili cha vijana wa kileoHahah sio kweli. Sema ti umechemka. Ulihisi ukisema kujizatiti utakuwa umelosea kumbe ndio ungepatia.Kiswahili cha vijana wa kileo