Huawei yajidhatiti

Kibumbula

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
3,681
3,346
Katika kuonesha kweli Huawei imejidhatiti, Huawei imewahaidi wateja wake kuwa simu janja zao mpya zitaanza kupata OS yao,yaani mfumo endeshi wao kuanzia msimu wa mapukutiko, yaani Autumn.

Sio simu janja tuu zitakazopata mfumo huo wa Huawei,bali na tablets zao, computer zao, TV zao na kama kawaida,saa zao janja, yaani smart watches. Huawei inasema kuwa mfumo huo ni rafiki kwa Apps zote za Android na zile za web.Yaani ni compatible kwa Android Apps na Web Apps.

Je Huawei ataishangaza dunia?.Yetu macho na masikio.

Huawei’s self-developed operating system will be ready for the market as early as this autumn, Richard Yu, chief executive officer of Huawei’s consumer business confirmed to ThePaper.cn. According to Yu, the OS will be designed for next-generation technology. It will be able to support a range of products, including smartphones, computers, tablets, TVs, cars, and smart wear. And it will be compatible with all Android applications and web applications.
 
Apps zinatengenezwa na developers wala hazina uhusiano na google Mimi na wewe
kwa kutumia programming language mbalimbali tunaweza kuunda apps
Sijasema hizo apps zina uhusiano na Google..

Nimesema nimesikia kua hizo apps hazitakiwi kutumika kwenye Os ya Huawei endapo itajitengenezea operation system yake
 
Kuwa compatible maana yake ukiunda app kwa ajili ya android basi itaweza kurun pia kwenye hiyo os yao.mfano application kama ya jf haitahitajika kutengenezwa upya bali utabidili vitu vichache na kutumia kama ilivyo kwenye os yao
 
Sidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.

Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.

Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.

Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.

Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita

Sasa kama App ya JF ya android ( apk) ita run kwenye Huawei OS huoni kama bado watakuwa wanatumia Android kwenye OS yao

Unakumbuka Blackberry walichofanya. Baada ya kuona OS yao ya BB inaenda kufa walichofanya ni kuifanya OS yao ya BB kupokea Android apps.

Hadi leo kuna BB phones zinapata Apps za Android
Kuwa compatible maana yake ukiunda app kwa ajili ya android basi itaweza kurun pia kwenye hiyo os yao.mfano application kama ya jf haitahitajika kutengenezwa upya bali utabidili vitu vichache na kutumia kama ilivyo kwenye os yao
 
Pia Huawei wamesema kuwa kwa simu zilizouzwa na zilizopo sokoni, zitaendelea kutumia android Os lakini version mpya hawatapata.Yaani kuanzia Android Q.
Sidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.

Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.

Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.

Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.

Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita
 
Sidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.

Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.

Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.

Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.

Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita
Uko sahihi apps zinatengenezwa bila Google kushirikishwa

Nacho kisema mimi ni kua kuna vuguvugu nimelisikia la marekani kumfanyia figisu mchina. Mchina ametangaza ku launch 5G na marekani hapendi atanguliwe tecnolojia hii na mchina, sasa kuna tetesi zinaenea kua kwenye Os ya huawei watapigwa ban kutumia apps zote za social media ambazo zimetengenezwa na developers wa marekani, ili watu washindwe kununua hizo simu za 5G kwasababu matumizi ya smartphone bila hizo social media si kitu kwa ulimwengu wa sasa
 
Back
Top Bottom