Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,165
- 123,285
Soma post namba 19Karudie kusikiliza alafu uje uedit hii coment yako
Soma post namba 19Karudie kusikiliza alafu uje uedit hii coment yako
Uko sahihi apps zinatengenezwa bila Google kushirikishwa
Nacho kisema mimi ni kua kuna vuguvugu nimelisikia la marekani kumfanyia figisu mchina. Mchina ametangaza ku launch 5G na marekani hapendi atanguliwe tecnolojia hii na mchina, sasa kuna tetesi zinaenea kua kwenye Os ya huawei watapigwa ban kutumia apps zote za social media ambazo zimetengenezwa na developers wa marekani, ili watu washindwe kununua hizo simu za 5G kwasababu matumizi ya smartphone bila hizo social media si kitu kwa ulimwengu wa sasa
Uko sahihi apps zinatengenezwa bila Google kushirikishwa
Nacho kisema mimi ni kua kuna vuguvugu nimelisikia la marekani kumfanyia figisu mchina. Mchina ametangaza ku launch 5G na marekani hapendi atanguliwe tecnolojia hii na mchina, sasa kuna tetesi zinaenea kua kwenye Os ya huawei watapigwa ban kutumia apps zote za social media ambazo zimetengenezwa na developers wa marekani, ili watu washindwe kununua hizo simu za 5G kwasababu matumizi ya smartphone bila hizo social media si kitu kwa ulimwengu wa sasa
Mkuu ni tetesi bado haijawa taarifa official, kuna mdau alifungua uzi alielezeaHiyo kauli imetolewa lini mkuu?
Yule mzee CEO wao alisema kuwa Marekani isiwa underestimate.Yaani isiwadharau.Nahisi kuna kitu wanacho.
Marekani alipandisha kodi kwenye bidhaa za kichina zenye thamani ya 200 bilion. Mchina naye akaja ku resoond kuzipandishia bei bidhaa za marekani zenye thamani ya bilion 50 hivi,Full hila kutoka kwa USA.No fair trade.Balaaaaaa
Marekani alipandisha kodi kwenye bidhaa za kichina zenye thamani ya 200 bilion. Mchina naye akaja ku resoond kuzipandishia bei bidhaa za marekani zenye thamani ya bilion 50 hivi,
marekani aka panic akamtaka mchina aondoe izo kodi otherwise marekani itamuwekea kikwazo, nahisi hii ndio ilichochea mpaka google apige ban huawei
Hahahaha...! Even Google ni wafanyabiashara pia..May be. Ila Dunia ya sasa ipo huru sana. Hao fasebuk twita, IG ni wafanya Biashara. Wanatafuta Fursa ipo wapi na wanaitumia. Sidhani kama Marekani atakuwa na say juu apps Social networks ambazo ni za US
Apk ni extension ya application zinazofanya kazi kwenye OS ya android. kama ilivyo .exe kwa windows au .sh/.deb kwa linux mfano ubuntu kwa nilicho kielewa kwa huawei sio kwamba application zao zitakua za .apk bali wakati unacompile application ya android unaweza kucompile ili kutengeneza application ya huawei ambayo huenda ikawa labda ni .tzn hivyo hautahitajika kutengeneza system mpya bali kufanya maboresho machache na kufanya ifanye kazi kwenye huawei pia.Sasa kama App ya JF ya android ( apk) ita run kwenye Huawei OS huoni kama bado watakuwa wanatumia Android kwenye OS yao
Unakumbuka Blackberry walichofanya. Baada ya kuona OS yao ya BB inaenda kufa walichofanya ni kuifanya OS yao ya BB kupokea Android apps.
Hadi leo kuna BB phones zinapata Apps za Android
Wanayo ya siku nyingi tu mbona.... Inaitwa HiSilicon Kirin inafanya kazi vizuri tu ani na wanaitumia sana kwenye simu zao za kisasa, Qualcomm, Snapdragon washachana nayo muda sana...Na kwenye Processor napo wanatokaje?
Hahahaha...! Even Google ni wafanyabiashara pia..
Na kwa hii mess Google wanaloose($ billionns) sana tu, sabb hii huduma waliyositisha kuitoa kwa Huawei haikua for free...
It is not abt being a business man mkuu, ishu ni sheria za nchi zinasemaje.. As long uko kwa nchi hiyo your full binded..
So far Huawei has been blacklisted na US kwenye mahusiano ya kibiashara implying hakuna mfanyabiashara wa US anaruhusiwa kuwa na mahusiano yeyote ya kibiashara na Huawei...!
Hapana mkuu,Hiyo kirin,huawei anapata ARM's architecture license, ndio anafanya modifications kwa ajili ya platform zakeWanayo ya siku nyingi tu mbona.... Inaitwa HiSilicon Kirin inafanya kazi vizuri tu ani na wanaitumia sana kwenye simu zao za kisasa, Qualcomm, Snapdragon washachana nayo muda sana...
Hapana mkuu,Hiyo kirin,huawei anapata ARM's architecture license, ndio anafanya modifications kwa ajili ya platform zake
Sasa ArM wamekata deal na huawei,inamaana hakuna support tena..
Chukulia huawei p30 pro iko powered na kirin 980 ambayo ni ARM's Cortex A76 na A55 core.
Kwaiyo pasipo ARM architecture license huawei hawezi tengeneza simu.
Duh! Kazi ipo sasa...Hapana mkuu,Hiyo kirin,huawei anapata ARM's architecture license, ndio anafanya modifications kwa ajili ya platform zake
Sasa ArM wamekata deal na huawei,inamaana hakuna support tena..
Chukulia huawei p30 pro iko powered na kirin 980 ambayo ni ARM's Cortex A76 na A55 core.
Kwaiyo pasipo ARM architecture license huawei hawezi tengeneza simu.
Mkuu tatizo sio la Google na Huawei, Ni tatizo la serikali ya Marekani na Huawei. Google yeye anafuata tu maelekezo.Sidhani kama unaelewa hii vita ipoje. Hii sio ya Apps wala wamiliki/ Developers. Ni vita ya Goooooogle ( Android OS developers/ owner) na kampuni ya Huawei.
Google hawataki huawei watumie OS yao ya Android kwenye simu zao.
Sooo Huawei They have to develop their own OS or otherwise Watumie MS Windows, au OS nyinginezo lakini sio Android.
Hao Developers Wa apps kama Facebook, Twitter, Whatsapp They will opt kutengeneza izo apps kwa ajili ya hiyo OS ya Huawei au wasitengeneze.
Lakini hawana uhusiano wowote na hii vita