Hivi sehemu unapopeleka vitu fake na wanavipokea unapiga hela zako kuna haja ya kuhangaika kuwapelekea bidhaa original?!Kama zinafanya kazi ina maana bidhaa bora kutoka china zinaenda Europe
Swali la kujiuliza kwa nini hizo bidhaa haziji na Tanzania ukipata jibu njoo nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.Mpasuko ni kote mkuu hapa hakuna win-win situation
Hata USA yenyewe itapata mpasuko sana.
Kibaya zaidi USA ana trade deficit sio na China tu ni karibia na nchi zote kubwa hii inaashiria aliua sana viwanda kwake
Ndio maana Trump hataki kabisa kusikia umoja wa ulaya anatamani uvunjike hata kesho.
View attachment 1043897
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuna import mpaka panadol halafu unasema ni weweBidhaa muhimu haziwezi kupotea hata siku moja. Hizo fakelo za mchina zina umuhimu gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fake tumetaka wenyewe,leo hii mfani tukipiga marufuku pikipiki za china watu wangapi wana kosa ajiraBidhaa muhimu haziwezi kupotea hata siku moja. Hizo fakelo za mchina zina umuhimu gani?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia maelezo ya hawa Forbes,raia wa china wenyewe wanasema kwamba hakuna kilicho ongezwa kwenye smartphone kwenye miaka hii ya karibuni yani ina maana watu huko hawanunui simy kutokana na majina wananunua kutokana na price na vile vile new featureshii sikubaliani nayo
Sasa usilalamike maana hata ukiletewa bidhaa original hununuiHivi sehemu unapopeleka vitu fake na wanavipokea unapiga hela zako kuna haja ya kuhangaika kuwapelekea bidhaa original?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na europe bado hawaja settleDuh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.
Sent using Jamii Forums mobile app
haaaah,mkuu acha utani basi ile ni temporary sababu ile Boeing max ina mapungufu kwenye software ndio airlines nyingi zime suspend kama vile Indonesia's lion,ethiopia airline,aeromexico na mashirika mengine yatafuata ila Boeing wameahidi kufix hiyo software malfunction ndani ya week kadhaaChina wamelipa kisasi Kwenye Boeng
haaaah,mkuu acha utani basi ile ni temporary sababu ile Boeing max ina mapungufu kwenye software ndio airlines nyingi zime suspend kama vile Indonesia's lion,ethiopia airline,aeromexico na mashirika mengine yatafuata ila Boeing wameahidi kufix hiyo software malfunction ndani ya week kadhaa
Wame ban temporary kwenye fleet ya boeing max sio zote mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kwa marekani wenyewe hivi walikua na trade deficit mpaka na Mexico ina maana walizubaa mnoDuh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna simu inayotengenezwa china mkuu...unajua maana ya phone assembling...?? china anatengeneza simu zenye silcon materiols kidogo sana ...
Transistor na motherboard zinatoka singapore na South korea kwa hiyo mchina kaingia tenda ya kufanya electronic assembling tu na kupiga chapa kwenye simu....
Ni components ndogo sana anazotengeneza mchina ukilinganisha na simu yote kukamilika...
Nchi zenye uchumi mkubwa duniani ni kama Singapore ambae anapiga pesa kimya kimya kwa kuwatengenezea motherboard pamoja na transistor za kutosha kisha anaziuza kwa nchi ambazo zimeingia ubia wa kufanya assembling ya electronic processors ...unakuta Simu ya Nokia imetengenezwa China lakini sio kuwa imetengenezewa kule ila imefanyiwa assembling na chapa nchini China..ukiangalia ndani ya vifaa vyake utakuta transistor inachapa ya south korea ,RAM ina chapa ya Singapore au Finland, mpaka motherboard inakamilika imehusisha kampuni kama 6 kutoka nchi tofauti ambazo zinatengeneza components tofauti..
Naomba ufuatilie kwa ukaribu sana mnunuzi mkubwa wa madini ya Silicon na germanium ,na mara nyingi utakuta ni Singapore na South korea ..manake nini...Vifaa bora vya kielectronics tunaangalia muundo wa electronic diode system pamoja na transistor component formation yake katika materials...kinachoifanya simu kuwa na kasi kubwa na ufasta wake ni asilimia ya silicon components ilizonazo ...kuna kiwango gani cha silicon katika conduction ya umeme kwenye simu!!?? hicho ndo kitaipa simu bei kubwa....Silicon smartee ipo Singapore na South korea ,kidogo na Finland na marekani .
Silicon ndo madini ghali duniani kwenye system za umeme ndo vifaaa vyenye transistor za silicon vina ghalama sana...
Ndo mana utakuta iPhone inauzwa bei tofauti tofauti lakini jina ni moja na ukubwa ni moja pamoja na Android Operating System( OS) pamoja na Kennelly version pamoja na Android version kuwa sawa ila bei inatofautiana kabisa...
Kuna iPhone ya laki 5 na kuna iPhone ya laki 8 na kuna iPhone ya milion 1.6 lakini zote ni toleo jipya...
Utofauti unakuja kwenye transistor zimetengenezwa kwa aina gani ya madini...je ni silicon au ..! kwa hiyo unakuta motherboard ya iPhone ya milion 1.5 imeundwa na 80% ya silicon components transistors ila iPhone ya laki 5 ina transistor ambazo zina 30% silicon materials ...kwa hiyo kasi ya operation lazima iwe tofauti..mwenye ya milioni moja na laki 5 lazima itakuwa na speed kubwa sana kuliko ya laki 5..
Kwa hiyo nchi za south korea na singapore zinapiga pesa ndefu sana kwenye haya mambo na zimefikia hatua ya kuwalipa watu hata ambao hawana kazi yoyote nchini mwao...manake kazi ya kuuza electronic components za hali nzuri inaingiza pesa nene sana...
Mwaka jana Rais Trump na rais wa European commission Juncker walitangaza kuhusu majadiliano ya kibiashara baina ya US na EU. So muda wowote dili litasainiwa. Kumbuka EU ni nchi nyingi bila shaka lazima wakubaliane kwanza wao ndani ya EU.
Ukichukulia nchi kwa nchi US top 3 trading partiner ni china, Canada na Mexico, na ndo kaanza nao
Kuhusu hilo hakuna wa kulaumiwa, deficit ipo na sasa partiner mmoja anataka marekebisho ili iwepo balance, ajabu huyu mmoja anataka kugoma waendelee hivyo hivyo ili deficit iendelee kuwepo azidi kunyonya. Hapo ndo lawama zinaanzaTatizo lipo kwa marekani wenyewe hivi walikua na trade deficit mpaka na Mexico ina maana walizubaa mno
Ina maana mexico walikua wana export zaidi marekani kuliko wanavyo import kutoka USA
USA alikua na deficit karibia na kila nchi kubwa,je tatizo lilikua lipo wapi na wasiwalaumu china kabisa wenyewe walizembea kwenye biashara walikua busy topple government za nchi zingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
European unaiacha wapi na hao nao ana deficit nao kubwa tuUkichukulia nchi kwa nchi US top 3 trading partiner ni china, Canada na Mexico, na ndo kaanza nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Balance kwa sasa ni ngumu mno mpaka warudishe viwanda kwao ila sio hivi viwanda viwe nje ya marekani kumbuka European union tu ina deficit kubwa tu na USAKuhusu hilo hakuna wa kulaumiwa, deficit ipo na sasa partiner mmoja anataka marekebisho ili iwepo balance, ajabu huyu mmoja anataka kugoma waendelee hivyo hivyo ili deficit iendelee kuwepo azidi kunyonya. Hapo ndo lawama zinaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri tuone hiyo dealMwaka jana Rais Trump na rais wa European commission Juncker walitangaza kuhusu majadiliano ya kibiashara baina ya US na EU. So muda wowote dili litasainiwa. Kumbuka EU ni nchi nyingi bila shaka lazima wakubaliane kwanza wao ndani ya EU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri tuone hiyo deal maana hata na China nao watafikia tu mahala japo USA illegal means za ku negotiate kwa kumkamata CFO wa huawei awe kama bargaining chipMwaka jana Rais Trump na rais wa European commission Juncker walitangaza kuhusu majadiliano ya kibiashara baina ya US na EU. So muda wowote dili litasainiwa. Kumbuka EU ni nchi nyingi bila shaka lazima wakubaliane kwanza wao ndani ya EU.
Sent using Jamii Forums mobile app