Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,852
- 40,242
Vipi huawei P8 unaonaje specification zake n its boxing?
Same problem
-processor yake ni cortex a53 ambayo ni ya chini compare na a57 au a72 zinazotumiwa na kina samsung
-camera yake hata 4k haina, japo kibongo bongo hatutumii video za 4k ila inasaidia sana kutoa picha toka kwenye video sababu ndani ya video ya 4k unapata pic za 8mp.
Ni simu nzuri kwa bei zao wanazouza. Mimi naona inafaa kununua kama bei yake ni rahisi kwa laki 4 compare na s6.
Ila pia uangalie alternative kama note 3, au s5 ambazo zinapatikana kwa bei rahisi kuliko p8