HUWAWEI yarudi kwa kishindo, jarida maarufu la Bloomberg la Marekani lakiri

Xi Jinping

JF-Expert Member
Jun 14, 2023
525
1,816
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023

Likinukukiwa jarida hilo liliandika: Huawei's smartphone comeback is set to intensify competition

Ikumbukwe Huawei Mate 60 ilizinduliwa mwezi August mwaka 2023, baaada ya kuwekewa vikwazo na Marekani vya kuuziwa chips na kutotumia OS ya Android.

Mwaka 2023 umekuwa mwaka wa ambao Huawei imeishangaza dunia ambapo walikuja na chips zao na kutengeneza Huawei Mate 60, inayotumia OS iliyotengenezwa na Huawei wenyewe ya Harmony OS badala ya android.

Jarida la Bloomberg liliendelea kusema: If 2023 is the year of breakthourgh for Huawei, 2024 will be the year of harvest. Huawei's revenues is expected to achieve significant growth in 3 directions in 2024

Watafiti wamezunguzumzia mambo matatu ambayo yatazidi kuiimarisha Huawei mwaka 2024

1. Inakadiriwa Huawei itauza units zaidi ya milioni 70 za simu, ambalo ni ongezeko la asilimia 80 ukilinganisha na mwaka huu.

2. Kwa kuwa kampuni ya NVIDIA ya Marekani ilijitoa soko la China kwenye kuuza chip za AI (Artificial Intelligence) ambapo ilikuwa inaingiza 7 billion US dollars, sasa Huawei itachukua nafasi hiyo kwani wameanza kutengeneza chip za AI.

Huawei is among a field of “very formidable” competitors to Nvidia in the race to produce the best AI chips, the US company’s CEO says

3. Huawei ina kitengo cha Huawei's AI driving system ambacho kimeingia mkataba na kampuni nyingi kubwa za China ambazo zinatengeneza magari ya umeme. Ikumbukwe kwa sasa China ndiye exporter mkubwa duniani wa magari ya umeme. Kwa hiyo Huawei anaingiza pato kwenye kila unit ya gari ya umeme inayouzwa kutoka China. Na mauzo ya magari ya umeme yenye teknolojia ya Huawei inapaa kwa kasi imeonekana ni safer na superior kuliko ya Tesla.

CEO wa Huawei Ren Zhengfei mwaka 2019 baada tu ya Marekani kuiwekea vikwazo Huawei alinukuliwa akisema:

Ren Zhengfei:“When I heard that the U.S. had put us on the entity list, I wasn’t very surprised because we were mentally prepared…but I did not believe it will endanger our survival.”

Ren Zhengfei:If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”

Ren Zhengfei:“We need to change our employees’ mindset, as we are not in peace time anymore. We are now more united and aligned than before, thanks to these external pressures.”

Ren Zhengfei:“Within two years, Huawei, our “broken plane” will be completely repaired. In three years, you will see a new plane. It would probably have more advanced engines to fly faster. I think the whole restructuring within the organization should be completed within three to five years.”

Ren Zhengfei:“We want to delegate the decision-making power to our experts. The last thing we want is to have bureaucrats or managers lead our way in technology. So we’ve decided that our managers should do administrative affairs, and leave technology-related decisions to experts.”

Miaka 3 baadaye maneneo yake yametimia.

Viva China ✌️
 
Nimependa hiyo kauli ya CEO wa Huawei

"If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”
Mimi pia nilipenda aliposema

Within two years, Huawei, our “broken plane” will be completely repaired. In three years, you will see a new plane. It would probably have more advanced engines to fly faster.

Huyu ndio CEO sasa, angekuwa ni Mkorea, Mjapani au Mhindi angeamua kusanda. Ila Mchina kichwa ngumu na busara nyingi
 
Mmarekani ni kwenda naye kibabe kama China na Russia wanayofanya huwa hapendi ushindani.

Ijapokuwa kwenye media anahubiri capitalism ina free competition na free market
 
Katika ujinga ambao marekani ataujutia ni vikwazo alivyowekea mataifa Kama China, urusi,na Iran. Vikwazo hivyo badala ya kuwazoofisha vimewafanya wawe imara na matokeo take marekani kupoteza masoko take kiujumla. Vikwazo hivyo vinaweza kuathili Tanzania ambao viongozi wao wanawaza kuweka tozo badala ya kujitegemea.
 
Mpaka inafikia hatua Wachina wanawashukuru Marekani kwa vikwazo maana vimewafanya wazidi kuwekeza kwenye R&D na kuja na new innovations
 
Katika ujinga ambao marekani ataujutia ni vikwazo alivyowekea mataifa Kama China, urusi,na Iran. Vikwazo hivyo badala ya kuwazoofisha vimewafanya wawe imara na matokeo take marekani kupoteza masoko take kiujumla. Vikwazo hivyo vinaweza kuathili Tanzania ambao viongozi wao wanawaza kuweka tozo badala ya kujitegemea.
Marekani walifikiri wataiangusha China.

Kumbe nao Wachina mapema sana walishajua akili za Mmarekani.

Ndio ule msemo ulipolala wewe wenzako ndipo walipoamkia
 
Katika blunder USA amecheza ni kuwekea vikwazo China wakati wa pesa za kufanya RD na kutengeneza products zao,
At the end zitaumia kampuni zao wenyewe wamarekani na wachina watakuwa noma zaidi na zaidi
 
Akili kisoda halafu tunaaminiwa eti hawa jamaani wanaakili kweli kutabiri madhara yatokanoyo na u

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Katika blunder USA amecheza ni kuwekea vikwazo China wakati wa pesa za kufanya RD na kutengeneza products zao,
At the end zitaumia kampuni zao wenyewe wamarekani na wachina watakuwa noma zaidi na zaidi
Akili kisoda halafu tunaaminiwa eti hawa jamaani wanaakili kweli kutabiri madhara yatokanoyo na maamuzi yao

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya miaka 3 China atakuwa supply wa chips dunia sijui za marekani atazipeleka wapi au atafunga kiwanda
Markert plan ya China ilomtoa mzungu kwenye reli ni
Copy
Innovate
Invent
And then
Make low quality product for poor
Make medium quality product for medeum income
Make high quality product for higher income.
Mzungu alifokasi kuunda vitu kwa watu daraja la juu tu. Hali hio ilipelekea umasikini kutamalaki kwa kundi kubwa sana wakati tupo zama za teknolojia

Ukiangalia hali za uchumi kabla na baada ya China ni tofauti. Mchina amesaidia kukuza chumi zetu ulimwengu wa tatu.
 
Mchina ama Huawei kwa hii mate 60 acha auze
Jamaa wametengeneza bonges moja la simu hapa
Mate 60 huawei mmeupiga mpaka mmeupiga na tena
United Shits Of Americant alidhania vikwazo vyake ndio vitaiua huawei kumbe ndio vinaifanya iwe tishio
Mtoto ukiwa unamchapa chapa kila mara anakua sugu ama mwili unakubaliana na hali anazizoea bakora halaf baadae anatfta namna ya kuziepuka
Huawei kwanza walikubali kuishi na vikwazo halaf wakatafta namna yakuvipiga kumbo
Huawei kwa mate mmeupiga wa kutosha sana iPhone samsung Google pixel nawengine kina Sony wajiandae
 
Back
Top Bottom