Huawei wako juu

Huawei wako juu

Nitakudanganya kukwambia ninamiliki simu zote ila member wa family yangu wapo wenye iphone 6, note 4, p7, htc one nk na kama huyo mwenye p7 ndio kila kitu namfanyia mimi.

Hebu siku shika p7 halafu compare display na htc one au note 4. Njia rahisi ni kudownload picha moja kwenye simu zote tatu na nivizuri iwe picha ya ua au inayoonyesha anga ili ujue ni display ipi inaonyesha quality then mwenyewe utajua. Si kila kitu hadi uwe mtaalam wa simu ili kujua.
Je kuna uwezo wa kuiflash huko mitaani Samsung Galaxy Edge 6 iliyotoka hivi karibuni?
 
Nitakudanganya kukwambia ninamiliki simu zote ila member wa family yangu wapo wenye iphone 6, note 4, p7, htc one nk na kama huyo mwenye p7 ndio kila kitu namfanyia mimi.

Hebu siku shika p7 halafu compare display na htc one au note 4. Njia rahisi ni kudownload picha moja kwenye simu zote tatu na nivizuri iwe picha ya ua au inayoonyesha anga ili ujue ni display ipi inaonyesha quality then mwenyewe utajua. Si kila kitu hadi uwe mtaalam wa simu ili kujua.
Je kuna uwezo wa kuiflash/unlock huko mitaani Samsung Galaxy Edge 6 iliyotoka hivi karibuni?
 
Processor yao ya kirin mpya (930 kama sjakosea) imepitwa na snapdragon 810 na 808.

Tunaziita snapdragon ni failure mwaka huu je huawei anakuwa nani?

Kuna simu mbili tu zenye hadhi ya flagship ambazo ni s6 na iphone 6 zilizobakia chip zake ni weak sana.

Kwenye kirin huawei ame opt overclocked cortex a53 kama mediatek. Mimi naona huawei yupo vizuri kwenye low end simu kama y550 ni nzuri sana.

umeongea kitaalam zaidi. Ahsante.
 
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple

2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk

3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft

Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.

Umenifungua macho, nataka kinunua smart 4ne ambayo inakaa na charge n in processor ambayo no fast somehow. My budget is 1m and bellow.Thanx.
 
Do u know huawei z the one of largest technology company in the world? Tell me wat z so special in sumsung o lg that huawei doesn't have. Nimetumia Samsung n iPhone , juc ni mind set yako kwani lg ana ukongwe gani kwenye smart phone.

jibu hili hapa chini....

1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple

2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk

3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft

Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.
 
Huawei ni simu average hawajafika level za kina samsung sony lg htc ila wanajitahidi. Kitu kizuri nilichopenda kwa hawa jamaa ni emotion ui (user interface yake) imekaa kidunia yetu zaidi jamaa wamemodify mambo mengi sana kama vile kuieka mobile network juu kabisa kwenye settings.

Kwenye ubora wa betri wamewapita HTC, Samsung, Apple, Sony, LG nk.
 
Kaka kwenye simu huwezi kutoa jibu general kuwa kampuni fulani simu zake zinakaa na charge kuliko nyengine. Kila kampuni ina simu zinazokaa na chaji na ambazo hazikai na chaji.

Mfano huawei ascend mate 2 inakaa sana na chaji kuliko simu nyingi sana wakati simu kama y530 ni kimeo cha chaji. Sony, nokia, lg pia wana simu ambazo ni za ukweli kwenye battery life.
 
Umenifungua macho, nataka kinunua smart 4ne ambayo inakaa na charge n in processor ambayo no fast somehow. My budget is 1m and bellow.Thanx.

Kama upo comfortable na simu kubwa ambayo ni nzuri all around basi nakushauri galaxy note 4. Utapata warranty ya miaka 2 utatengenezewa na kioo kikiharibika. Simu inakaa na battery kiasi kwamba utashinda nayo siku nzima bila kuchaji (inategemea na matumizi).

Ipo pia xperia z3 compact hii nayo inakaa na chaji sana na ni nzuri pia kwenye vitu vyengine kama processor nzuri na camera ya maana.

Huawei pia wanayo simu ambayo inakaa na chaji sana inaitwa ascend mate 2 sema ni low end smartphone inauzwa bei rahisi na processor yake sio fast sana.
 
Ongeza na huawei mate 7 inakaa na charge kuliko hizo ulizozitaja
 
Kama upo comfortable na simu kubwa ambayo ni nzuri all around basi nakushauri galaxy note 4. Utapata warranty ya miaka 2 utatengenezewa na kioo kikiharibika. Simu inakaa na battery kiasi kwamba utashinda nayo siku nzima bila kuchaji (inategemea na matumizi).

Ipo pia xperia z3 compact hii nayo inakaa na chaji sana na ni nzuri pia kwenye vitu vyengine kama processor nzuri na camera ya maana.

Huawei pia wanayo simu ambayo inakaa na chaji sana inaitwa ascend mate 2 sema ni low end smartphone inauzwa bei rahisi na processor yake sio fast sana.

Dah Samsung note 4 in nzuri but bei 1.4 m na ushee
 
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple

2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk

3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft

Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.

Nitofautishie ubora wa tecno H6 na Boom j7 kama hutaona shida ingawa najua si mpenzi wa izi tecno zetu
 
Huawei ni simu average hawajafika level za kina samsung sony lg htc ila wanajitahidi. Kitu kizuri nilichopenda kwa hawa jamaa ni emotion ui (user interface yake) imekaa kidunia yetu zaidi jamaa wamemodify mambo mengi sana kama vile kuieka mobile network juu kabisa kwenye settings.
Kwa upande wa user interface sijui kwa nini mi siwakubali OEM wote wa simu za android, ndo maana huwa napenda stock android
 
Yap hata mimi napenda stock, ila kwa mtu wa kawaida kumwambia abdadili apn tu ni shughuli
 
Nitofautishie ubora wa tecno H6 na Boom j7 kama hutaona shida ingawa najua si mpenzi wa izi tecno zetu

Processor
-zote zinatumia same processor quadcore 1.3ghz cortex a7

-internal memory
Boom 7 ipo juu 16gb compare na h6 8gb

-battery
H6 ipo juu na 2350mah compare na 2020mah ya j7

Vyengine almost vipo sawa. Hivyo hapo cha kuchagua ni internal na battery. Na hilo jina boom maybe wamelenga audio so huwenda ikawa na speaker nzuri za kuplay sound
 
Umeona huawei P8 specification chief-mkwawa? Unaionaje?
 
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple

2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk

3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft

Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.

Vipi huawei P8 unaonaje specification zake n its boxing?
 
Back
Top Bottom