Huawei wako juu

Vipi huawei P8 unaonaje specification zake n its boxing?

Same problem
-processor yake ni cortex a53 ambayo ni ya chini compare na a57 au a72 zinazotumiwa na kina samsung
-camera yake hata 4k haina, japo kibongo bongo hatutumii video za 4k ila inasaidia sana kutoa picha toka kwenye video sababu ndani ya video ya 4k unapata pic za 8mp.

Ni simu nzuri kwa bei zao wanazouza. Mimi naona inafaa kununua kama bei yake ni rahisi kwa laki 4 compare na s6.

Ila pia uangalie alternative kama note 3, au s5 ambazo zinapatikana kwa bei rahisi kuliko p8
 
1. Hawana processor ambazo ni top notch, kama exynos za samsung au A series za apple

2. Camera zao ni average hawana contract ambayo inawafanya wawe kipekee kama nokia pureview (toshiba na zeiss), apple (sony), samsung na isocell, nk

3.hawana display ambazo ni quality kubwa kama apple na retina, samsung na amoled, lg na oled nk wanatumia ips display za kawaida au tft

Ukija kwenye mic, speaker, na vyenginevyo yupo nyuma.

Hapo namba 3 nikubali ila 1,2 ni mbwembwe tu
 
Processor yao ya kirin mpya (930 kama sjakosea) imepitwa na snapdragon 810 na 808.

Tunaziita snapdragon ni failure mwaka huu je huawei anakuwa nani?

Kuna simu mbili tu zenye hadhi ya flagship ambazo ni s6 na iphone 6 zilizobakia chip zake ni weak sana.

Kwenye kirin huawei ame opt overclocked cortex a53 kama mediatek. Mimi naona huawei yupo vizuri kwenye low end simu kama y550 ni nzuri sana.



Mkuu, hizi simu za huawei y550 naweza kuzipata wapi kwa hapa Tz?!

Na price yake ikoje mkuu?!


#ChiefMkwawa
 
Mkuu Huawei hashindwi kitu! Hivi sasa kampuni hiyo ni moja ya makampuni makubwa Duniani ambayo ni best sellers wa 4G Network systems zinazo tumiwa na makampuni makubwa ya mitandao (network) za mawasiliano ya simu, wana branches nyingi Ulaya na Merikani, wamefanikiwa kuwauzia vifaa vya mawasiliano makampuni mengi Duniani mfano Africa Tanzania ikiwemo, British Telecoms na makampuni mengine ya Ulaya na Latin Amerika, kampuni za mawasiliano za Merikani zilitaka kununua/tumia vifaa vya 4G vinavyo hundwa na Huawei lakini Serikali ya Merikani ikakataa kwa kuofia kwamba Wachina wanaweza kuinstall an embedded programs kwenye vifaa hivyo ili viwe na kazi mbili: Kazi ya kwanza ni kusambaza mawasiliano ya simu, kazi ya pili ni kutumika katika mambo ya ujasusi bila ya Merikani kujua kinacho endelea, hii ina maana Wamerikani wanakubari umahili wa makampuni ya Kichina ikiwemo Huawei na ZTE hasa zaidi Huawei - kampuni hizo ni moto wa kuotea mbali katika masuala mawasiliano.

Kampuni ya kichina hii si mchezo hata kidogo, kama wana uwezo wa ku-manufacture sophisticated systems kama hizo watashindwaje ku-design vijisimu vya mkononi vya kufa mtu si wanatumia hardware zinazo patikani kwenye open market tu i.e processor ya core ngapi sijui, open source operating system(Android) au proprietary OS, Chipsets kutoka makampuni ambayo yanaweza kukidhi specification za ma designer wa simu, memories zenye ukubwa upi kwanza na zina uwezo gani wa kuimiri speed ya front side bila kuhadhilika je memories zinaweza kuwa clocked by ย–ve going pulse au +ve going pulse au both, Display za ukubwa wa kiasi gani zenye resolution hipi kama ni za kawaida au ni full hd amoled touchscreen, camera yenye megapixel ngapi na kutoka kampuni hipi and what have you ย– Ninacho taka kusema hapa ni kwamba cha muhimu ni design team kujua how to assemble such primitives na kuhunda/pata a very sophisticated phone kama kuna ulazima wa kufanya hivyo. Nasisitiza Huawei awashindwi kitu wale.
 
Naomba kwa anayejua zinakopatikana huawei y550 anijulishe please! Nimezitafuta sana bila mafanikio, natanguliza shukrani
 
Simu zote ni nzuri inategemea na level yako wewe Huawei kali na bei kali lakini kama ya kawaida inaweza kupitwa na simu za makampuni madogo hivyo mfuko wako ndio unaokupa simu bora
 
Msaada wa hiz huawei
Mm natumia y700 bt self camera yake haiko clear .nisaidien coz niliambiwa eti settng ya camera haiko oky na mm sjui
 
Back
Top Bottom