Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Huawei tayari wamekamilisha Operating System (OS) yao

Ni kweli. Hapa natumia computer ya Acer kwa kuwa ina Windows ya Mmarekani. Isingekuwa ni Windows ya Mmarekani, nisingeinunua... Pia natumia simu ya kichina kwa kuwa ina operating system ya Android. Isingekuwa na Android nisingeinunua...

Nisinge, hili neno ni rahisi sana kulitamka kwa mbantu, ila likimtokea la kumtokea hana budi kulitekeleza.
 
Usicheze na waChina a.k.a Vimacho vidogo, Google wameanza kujuta huko, Inaonyeshea Plan B ya hawa vimacho itafanikiwa kwa kiasi kikubwa ndani ya mda mfupi tu, waafrica na Asia watatumia tu bidhaa ya vimacho hamna namna coz ni rahisi sana, Ulaya wote sasaivi wanatumia 5G ya mchina, Marekani anaanza kubwabwaja na kulalamikia nchi za ulaya kuwa zinamsaliti, Yaani mpaka UK anasema hawawezi kuhairisha mfumo wa 5G wa huawei coz taari mkataba umeshafanyika
View attachment 1176635View attachment 1176636

Watoto wa trump wanaweweseka 🤣🤣🤣 jitu zima na akili zake timamu linakuja humu kuponda bidhaa za mchina alafu hapo hapo linatumia.
 
Dalmine, akijibu hio hoja yako niite mkuu,
Kwanini unaponda bidhaa za china na kuziita fake product wakati huo huo unazitumia? Si ununue basi hizo original na kwa bei ghali from US! inaonekana bado mchanga sana kwenye haya mambo.

Piki piki za kufanyia biashara na matumizi ya nyumbani mnatumia za kwake.

Baadhi ya Bajaji pamoja na zile zinazobeba mizigo mnatumia za kwake.

Baiskeli mnatumia za kwake.

Magari chungu nzima mnatumia ya kwake.

Mashine za juice ya miwa

Mashine za ice cream

Mashine za kusagiaa karanga

Mashine za tofali

Mashine za mabati

Mashine plastic

Mashine za vinywaji mbali mbali n.k

Simu mnatumia za kwake.

Si ajabu hata chupi/nguo unazovaa made in china.

Muwe mnauliza kwanza, Sio kila bidhaa from China ni fake
,wenzetu wanaenda na grades, ukitaka original watakutengenezea kulingana na uwezo wako wa kifedha,,na ukitaka medium watakutengenezea, na ukitaka ya kawaida ambazo wengi wetu tunazimudu huku bongo wanatengeneza pia. Nchi kama Tanzania sio wote wenye uwezo wa kumiliki simu za mamilioni.

Ukienda kwenye magari pia, atakutengenezea kulingana na uchumi wako, ukitaka benzi original atatengeneza tena ikawa nzuri kuriko ata ya mjerumani, ukitaka ya bei nafuu atatengeneza ni wewe na hela yako tu babaaa.
 
Sio kuisoma nimetumia blackberry os nimetumia Microsoft mobile os zote zimefail kwenye soko mkuu usiangalie unauwezo wa kutumia vitu tofauti africa wengi maisha wamekariri maisha kwenye android na ukwel android wamefanya kaz kubwa sana tena mno kwa muda kidg inabidi huawei ajipange vizur najua vita hii mmarekani dhidi ya technologia nae ajiangalie amesomesha maadui zake wengi hunaweza kuona huawei amefanya kitu hammony os alafu ikija wekwa kwenye devices features zinafanana na android we angalia tu huawei p series muonekano wa iphone x means wanajua soko likoje watulize akili vizur lkn wanaweza kupiga atua
Watu wanadhani mafanikio yanaishia kwenye ku launch tu.
 
Google mwenyewe saivi yuko bize na Fuschia... Android uhai wake una utata

Android ndio google wenyewe uzi acha product iliyo juu ulimwenguni kisa mgogoro china juzi tu ndo ameacha ujinga ila china alikua anatumia os yao ambayo ilikua na lugha yao kabs zilipoanza fanya vizur devices zao na kuanza kutoka nje ya taifa lao wakaona waingie deal na android leo devices za china zinafanya vizur sababu hiyo sasa uwezi kusifia kitu ambacho akipo sokoni izo ni sarakasi kama mpira kabla amjacheza mtajisifu mmejiandaa na mtashinda alafu ukifungwa unaanza tafuta sababu ila mmarekani nae sio kama anataka huawei afe mana zaid ya 70% ya chips set za huawei ni za viwanda vya kimarekani china wana assemble tu na few chip set mana vingine vinatika korea na ndo mana leo new updates kwenye huawei inapatikana
 
Wabongo bana full uchawi sijui lini tutasapoti watu wanaotaka kujiinua kiuchumi kwa kuepuka kutegemea taifa lingine...
Katika vita hii China itamkalia pabaya tuu. Marekani ndio nchi yenye uchumi mkubwa Dunia na pia rare earth metals hata Marekani anazo sema China alikuwa anauza Kwa bei ndogo ndio maana Marekani ikaacha kuchimba na sahizi Mchina ana wakati mgumu kwasababu Hongkong pale maandamano Yanaendelea na Kwahiyo na Muingereza kamkalia pabaya suala China Kwa internal interference. akikosea treatment Kwa Hongkong ndio kwisha yake . Tianam square, Uighur Muslims na sahivi Hongkong
 
Unawaza negative tu....acha uchawi
Sawa imekamilika ngoja tuwasubiri sokoni ndo kila kitu linux ni open source free 100% ila kwa akili za muafrica amezoea Microsoft os yuko tayari kutumia cracked os ila iwe os ya geti ila tuisubiri sokoni
 
Uchawi hautaisha bara giza
Akili za watu zimefinywa zikafinyika. Wanachodhani wao it's all about kutengeneza na kuuza, hizo other factors wala hawaziangalii. Nakumbuka tangu miaka ya katikati ya tisini katika report yao, CIA walisema kwa hali ilivyo kama mchina hatapigana vita yoyote ile basi itamchukua miaka nane (8) kuwa namba tatu kiuchumi Duniani. Then, miaka ya elfu mbili CIA walisema kabla ya 2016 kama hali itabaki hivi basi China atakua namba 2 kiuchumi duniani.
Hii najaribu kuonyesha jinsi watu wanavyofuatilia mambo, mbinu na mikakati ya mchina watu wanaijua, yote ipp mikononi maana wanajua exactly pale itakapo mfikisha. Hivyo hawakuwa mafala, walitengeneza nikakati ya kufaidika naye halafu baadaye waje ku m contain na kumfifisha kabisa. China hataweza kufika anakodhani anaelekea, Uingereza hakuwa fala alipomkabidhi Hong Kong ambao hadi leo hawataki kujiona kuwa wao ni sehemu ya China.
Kuna Macau, kuna Taiwan kuna Tibet. Hizi zote ni special projects dhidi ya Mchina, ni timing bombs.
Mchina amesha kuwa contained, hana tena ujanja.
Watu si wajinga wanapo invest heavily kwenye maswala ya Research and Intelligence, si wajinga hata
 
Unawaza mabaya tu wabongo sijui tukoje tumejawa na roho mbaya......
Hakuna simu nilikua naziheshimu kama iphone lakini leo hii mpaka usiemdhania anaimiliki
Mkuu Ila tambuwa hesabu moja inaweza kuwa na njia zaidi ya mbili za kupata jbu sawa!! HK ipo under control ya china 100%
Tujipe muda watasagwa na hakuna atakaye ongea!
 
Mabadiliko huja taratibu ndio maana hiyo os yao inatumika kama android ikiwa na maana hata company zingine nje ya huawei zitaweza tumia maana yake company zote za china badae zitatumia hiyo operation. Kumbuka kuwa inatumika kwenye cm, saa, speaker, tv na magar
China alishakua nayo ila soko la biashara liko kwa android mkuu hapo unazungumzia huawei tu ila bado china ina product nyingi za android matv na simu zinazofanya vizur kama xiaomi
Chunguza utaona watu wengi wanatumia smart tv nyingi za china ambazo wanafurahia ubora wa picha na ukubwa wa screen. aza na bar iliyo jiran nawe. China ni homa ya dunia wana production capacity ya hali ya juu sana
 
Kujiona huku na cha ajabu kwwnye watu kumi wew peke yako ndio unatumia vifaa vya mmarekani wote tisa kwa mchina...
Ni kweli. Hapa natumia computer ya Acer kwa kuwa ina Windows ya Mmarekani. Isingekuwa ni Windows ya Mmarekani, nisingeinunua... Pia natumia simu ya kichina kwa kuwa ina operating system ya Android. Isingekuwa na Android nisingeinunua...
 
Uwezo wa China kupambana na US kwa muda mrefu ni mdogo. Wakienda hivi say kwa miaka mitano, China will collapse.
Sasa nani atanunua simu yenye OS ya mchina kwa mfano?
Collapse how ? Wachina wameweza kuishi miaka na miaka kwa ukoministi bila kutegemea material things.., wananchi wao wanaweza kuishi kimasikini kwa kubana mikanda.., wachina wana rasilimali watu wa kutosha kwahio wataendelea tu mdogo mdogo issue ni USA wananchi wengi waliozoea vya kunyonga.., when push comes to shove wataandamana na kupigana risasi mpaka basi..., that's how empires collapse..., China ni nchi yenye historia tangu enzi na enzi achana na hii marekani iliyokuja juzi...
 
Back
Top Bottom