Ugumu wangu
JF-Expert Member
- May 6, 2021
- 1,685
- 3,549
Kwa hiyo unataka kuniambia ukitumia web browser ndio unapata kuingia googleKama ni mlevi wa huduma za Google,hapo ni pagumu kwako labda utumie web.
Kwa hiyo unataka kuniambia ukitumia web browser ndio unapata kuingia googleKama ni mlevi wa huduma za Google,hapo ni pagumu kwako labda utumie web.
Harmony ni Android kama Android nyengine, hapo Huawei anapiga tu Watu kamba.
Apps ndio hazitafanya kazi ila unaweza access hizo huduma kwa browser kama unavyotumia computer ku access hizo huduma.Sasa kwa sisi wapenda you tube na kutumia Gmail na Google tukinunua itakuwaje
Sijafahamu taratibu zao kwa sasa. Naona YouTube unaitumia kama kawaida. Mkuu mimi ni mtupu sana kwenye mambo ya tech.Kwa hiyo unataka kuniambia ukitumia web browser ndio unapata kuingia google
Naskia zinakaa labda Google service ndio itakuwa shidaKama ni mlevi wa huduma za Google,hapo ni pagumu kwako labda utumie web.
Naskia zinakaa labda Google service ndio itakuwa shida
Ni android mkuu, ingia link Niliyo weka huko juu, ni kitu ambacho kipo proved Harmony os ni android.Sio android sema anatumia apps tumizi za android,ila mfumo endeshi ni wa Huawei na sio Google
Android inatumia Linux kernel na sio software.Mkuu mimi sio mtaalam kabisa wa IT,lakini nasikia hata Android Os kuna vitu vya linux. Na hata Windows Os pia. Kwa mtazamo wangu naona pengine ni njia ya kuwavuta wateja wajue kuwa kumbe Harmony Os ni Android tu,ili baadaye warekebishe kidogo kidogo na hatimaye kujitegemea kabisaaaaa.
Ni android mkuu, ingia link Niliyo weka huko juu, ni kitu ambacho kipo proved Harmony os ni android.
Tatizo ww unaangalia kesho,wenzako wanaangalia 2040 nani atakuwa juuHebu ngoja simu zao zianze toka kwanza...ila ni ngumu sana kupindua meza
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaTatizo ww unaangalia kesho,wenzako wanaangalia 2040 nani atakuwa juu
Mkuu kama code ni zile zile license ya kutumia katoa wapi? Tunajua Android iko huruAndroid inatumia Linux kernel na sio software.
Walichofanya Huawei almost developer yoyote anaweza fanya wame fork tu android, kuna maelfu ya Custom rom ya natumia njia hii ni halali na wala haina tatizo. Even Amazon Ana fire os kwenye TV box na tablets zake ni fork ya Android.
Tunachosema na kupinga sisi ni claim ya Huawei kwamba Harmony os imetengenezwa from scratch, na sio fork ya Android kitu ambacho ni uongo na wanadanganya.
Nimekuelewa mkuu. Ngoja simu zao zije tuone.Android inatumia Linux kernel na sio software.
Walichofanya Huawei almost developer yoyote anaweza fanya wame fork tu android, kuna maelfu ya Custom rom ya natumia njia hii ni halali na wala haina tatizo. Even Amazon Ana fire os kwenye TV box na tablets zake ni fork ya Android.
Tunachosema na kupinga sisi ni claim ya Huawei kwamba Harmony os imetengenezwa from scratch, na sio fork ya Android kitu ambacho ni uongo na wanadanganya.
Mkuu kwa kule kwao china google services haina kazi kabisa. Labda soko la dunia. Lakini hata huko nako developers wengi tu wa apps wako bize kuhakikisha apps zao zinafanya kazi kwenye harmony Os.Mimi nadhani hapa watachemka kupenya kwenye soko bila google services
Pia makampuni yao karibia yote utayaona yanatumia harmony Os kwa pale china na hata baadaye internationally. Hiyo itafanya developers kuvutiwa.Mimi nadhani hapa watachemka kupenya kwenye soko bila google services
Android ni linux based OS linafahamika kuwa android ina linux kernel.Mkuu mimi sio mtaalam kabisa wa IT,lakini nasikia hata Android Os kuna vitu vya linux. Na hata Windows Os pia. Kwa mtazamo wangu naona pengine ni njia ya kuwavuta wateja wajue kuwa kumbe Harmony Os ni Android tu,ili baadaye warekebishe kidogo kidogo na hatimaye kujitegemea kabisaaaaa.
Barikiwa sana kwa ufafanuzi mzuriAndroid ni linux based OS linafahamika kuwa android ina linux kernel.
Linux Os zingine kuna ubuntu, opensuse, fedora, debian, linux mint, sailfish, tizen ya samsung nk.
Operating system nyingi siku hizi hazitengenezwi from scratch kwa sababu ni gharama hata IOS inatumia kernel ya MacOS(Darwin kernel) ambayo kiasilia ni UNIX.
Windows hazitumii linux bali wana kernel zao weneyewe.
Kwa upande wa Huawei, walisema Harmony os haitatokana na android kabisa na itakuwa fasta kuliko android na watu waliamini sababu wana mtaji mkubwa.
Inashangaza kuwa OS inatokana na AOSP(Android Open Source Project).
Na ishu sio kuwa Huawei anatumia hiyo njia ya kuvuta watu bali hili lilitokana na developer alijaribu kutengeneza app ya hello world inayotaerget toleo la zamani la android kit kat na akagundua kuwa ujumbe wa harmony os na kit kat unafanana
Huawei's Harmony OS 2.0 beta appears to be based on Android
Early developers for Huawei's Harmony OS 2.0 beta have discovered that the underlying system is still based on Android. Read on to know more!www.xda-developers.com
Point ya Huawei kuvutia wateja kwa Huwai ni kuwa Harmony itakuwa fasta kuliko android
Kwenye Android ipo makundi mawiliMkuu kama code ni zile zile license ya kutumia katoa wapi? Tunajua Android iko huru