Asante, ila mimi siongei kishabiki kama wewe. Nimekuwa nikifuatilia msugusno ulioo kati ya Trump na Huawei na let me tell you, tangu Trump ajichanganye kuifungia Huawei, mauzo yake yamepaa. Watu wengi huko ulaya na Marekani walishauri huawei waznzishe OS yao kumaliza monopoly ya android. Bahati njem kwa huawei walishaona kuwa siku moja hili litatokea, wakawa wameshajiandaa.
Sasa wewe unayejadili ushabiki endelea, huna unalojua zaidi ya kutaja components za simu. Hujui hata siasa iliuopo kwenye hivi vits. Hujui kama huawei inashambuliwa kwa kuwazidi technology Samsung na Iphone. Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley ni nani. Hujui lolote kuhusu soko kubwa la Samsung ni wapi. Hujui kuwa Google wanategemea wapi kuendelea kudumu sokoni.
Endelea kutaja ram, chip, memory, camera n.k. Ndio upeo wako ulipoishia