pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,534
- 4,943
Samsung now is the world's best manufacturer of Smartphones and Smart TVs.
WMkuu ukiingia deep kwenye hio silicon utaona pia ili kampuni Kama Intel, Samsung na wengineo wanaotumia zaidi silicon wanategemea Japan.
Mchanga ambao upo purified zaidi kwa ajili ya wafers unatoka Japan, hivyo ili kampuni za kimarekani zitengeneze chip zinahitaji mchanga toka Japan, wao hawana technology ya kupurify huo mchanga.
Same ukienda kwa Korea nao ili watengeneze displays plate zinatoka Japan na chemicals muhimu, ndio maana juzi ugomvi wa Japan na South Korea uliwatetemesha Sana Samsung na LG.
Japan Ndio mababa wa technology Ngumu duniani.
Mkuu ukiingia deep kwenye hio silicon utaona pia ili kampuni Kama Intel, Samsung na wengineo wanaotumia zaidi silicon wanategemea Japan.
Mchanga ambao upo purified zaidi kwa ajili ya wafers unatoka Japan, hivyo ili kampuni za kimarekani zitengeneze chip zinahitaji mchanga toka Japan, wao hawana technology ya kupurify huo mchanga.
Same ukienda kwa Korea nao ili watengeneze displays plate zinatoka Japan na chemicals muhimu, ndio maana juzi ugomvi wa Japan na South Korea uliwatetemesha Sana Samsung na LG.
Japan Ndio mababa wa technology Ngumu duniani.
Eeshabiki maandazi wewe, wafanyakazi wote wa Huawei wanatumia iPhone,
eti wako mbele ki tech, wakati huohuo Huawei anatumia resource za marekani upande wa HW (chip set) na SW (android)
au mchina wewe ?
anachofanya Huawei ni assembling tu, resources zote zinatoka US/UK, phase 1 ya manufacturing yote ina happen US/UK
ni sawa na kumtukana baba yako aliekulisha
SoCs/SoBs zote anazotumia mchina kwenye miundombinu ya 5G zinatoka US/UK, hadi hii nikuwekee na source pia ?
Una data mauzo ya Huawei ? Nitakuletea hapa baada ya 2 weeks Huawei iko bei gani dukani UK Manchester huko. Dogo anaisbo huko. Nitaenda baada ya wiki 2 . Ziko chini sana bei mdio maana zinauzika lama vitochi sasa
Acha kudanganya watu. Nitakupa bei ya dukani. Huaei bado saaaana.
Nikama mpira mnatangaza usbindi hata ligi haijaaanza. Ai gize sokoni hiyo OS tuonne in ni i.
Pamoja na hayo mtoto wa mmiliki wa huawei anatumia iphone
1.JAPAN IS THE SUPERIOR OF TECHNOLOGY.
2.The United States of America, more specifically, Silicon Valley, is the reason why the world has an internet to access.
had medicinal science, war science, science relating universe and what not from the ages where other countries don't know how to get their basic needs
4.South Korea is voted on the list of countries with the fastest internet speed in the world
5. Germany should be number one if you think about it. The first computer, the first, car, the first rocket and even the first jet engine. They are still nowadays the most high tech in the world. 80% of Japans and usa's high tech things are first developed and designed in Germany
6. China has really surprised the world with the major developments its made. I would say that without a doubt China will be the worlds most developed country in the next 10-20 years
7. The UK produces the second most-cited scientific papers in the world - the first, if you note the huge population gap between the UK and the USA.
England made many of the famous scientists that lead to the Scientific Revolution, and Industrial, if you want that to count.
8.
Israel is the second most important center for high-tech and innovation in the world after Silicon Valley.+116
Israel has developed Intel chips, they have invented the flash drive, they have developed a massive amount of treatments to an incalculable number of diseases and conditions (Cancer, AIDS, etc.). They developed a large number of software, such as firewall and defense software and have contributed to the creation of many operating systems. They have developed the algorithm of sending emails. The technology of mobile phones was developed in Israel. Without Israel, the consumer lifestyle that many people enjoy that includes advanced technology and healthcare would not exist.
Sawa kabisa Japan ndyo SUPERIORMkuu ukiingia deep kwenye hio silicon utaona pia ili kampuni Kama Intel, Samsung na wengineo wanaotumia zaidi silicon wanategemea Japan.
Mchanga ambao upo purified zaidi kwa ajili ya wafers unatoka Japan, hivyo ili kampuni za kimarekani zitengeneze chip zinahitaji mchanga toka Japan, wao hawana technology ya kupurify huo mchanga.
Same ukienda kwa Korea nao ili watengeneze displays plate zinatoka Japan na chemicals muhimu, ndio maana juzi ugomvi wa Japan na South Korea uliwatetemesha Sana Samsung na LG.
Japan Ndio mababa wa technology Ngumu duniani.
Nimeifuma wakati natafuta jambo fupani kama research. Wakati mwingine mjifunze kuappreciate taarifa, hii sio tukio lililopita, nimeonyesha kuwa linaendelea na nikaeleza jinsi ya kuingia, lakini bado tu kwako ikawa ni vibaya. Unataka nikae kumyampaka kikao koishe ndio mije kukutaarifu? Niliwalenga walio na shauku kufuatilia kinachoendelea na sio wanaosubiri masimulizi.
Samahani kwamba hukunielewa, ila next time kuwa makini, kama tukio ni live, nenda mwenyewe kajionee. Nilikuandikia type: android central utawapata. Wakati mwingine sio lazima uwekewe link, hilo ni jina la channel yao.
Meng Wenzhou - Finance ChiefMtaje. Hizi story za vijiwe vya kahawa ni hatari kwa afya za wafuatiliaji wa teknolojia!!
Hahah haya mambo haya, ila hata kwenye maabara za Apple kuna windows PC!Pamoja na hayo mtoto wa mmiliki wa huawei anatumia iphone
hii mara ya pili wanazindua Ha ha.Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,
Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
ulaya gani unazungumzia mmAsante, ila mimi siongei kishabiki kama wewe. Nimekuwa nikifuatilia msugusno ulioo kati ya Trump na Huawei na let me tell you, tangu Trump ajichanganye kuifungia Huawei, mauzo yake yamepaa. Watu wengi huko ulaya na Marekani walishauri huawei waznzishe OS yao kumaliza monopoly ya android. Bahati njem kwa huawei walishaona kuwa siku moja hili litatokea, wakawa wameshajiandaa.
Sasa wewe unayejadili ushabiki endelea, huna unalojua zaidi ya kutaja components za simu. Hujui hata siasa iliuopo kwenye hivi vits. Hujui kama huawei inashambuliwa kwa kuwazidi technology Samsung na Iphone. Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley ni nani. Hujui lolote kuhusu soko kubwa la Samsung ni wapi. Hujui kuwa Google wanategemea wapi kuendelea kudumu sokoni.
Endelea kutaja ram, chip, memory, camera n.k. Ndio upeo wako ulipoishia
ulaya gani unazungumzia mm
Tumetoka Manchster UK Huawei haipo dukani kabisa unaambia kama unataka agiza online Simu nyingine kibao zimejaa dukan. Manchester sio mji mdogo
Labda unaongelea ulaya ya v mtandaon
au zipo kibao NY kwa Trump
Naona watuvlbwanasoma opinion za google halafu wanabandika hapa.
Kitu kizuri hupati shida. Mpaka sasa Simu nyinginevbado zinatikisa wachina wenyewe wana wanapanga foleni kununuam Umesikia kuna foleni kwenye hizo Huawei wanazozipigia kelele.

Huawei imeripoti mauzo yake kupanda kwa zaidi ya 30% tangu Trump kujipa jukumu la kuipigia kampeni. Ukweli mchungu.Huawei and other Chinese brands are dellusional...
Kibaya zaidi ni hawa my fellow Africans who are Chinese dick riders...
Ila nikuonye tu matusi si jambo jema, lete hoja sio habari za kashfa. Ficha upumbavu wako mkuu.
Huawei imeripoti mauzo yake kupanda kwa zaidi ya 30% tangu Trump kujipa jukumu la kuipigia kampeni. Ukweli mchungu.
Kama mwana jf, hujatumia lugha nzuri. Si jambo la kiungwana hata kidogo, jaribu kuwa unajadili mada sio matusi. Hiyo habari ya dick suckers ni nini?