😂 😂 😂 😂rudi mirembe ulipotorokaJe, kifo cha android kimewadia?
Kwani wanaongea kichina?Wako live yoitube, andika Huawei Central. Nahisi wanatambulisha OS mpya, ARK OS au HONGMENG. Je, kifo cha android kimewadia?View attachment 1176436View attachment 1176437
Huyu ni team chinaSasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,
Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
kuna watu bado wanatumia Huawei?
Asante, ila mimi siongei kishabiki kama wewe. Nimekuwa nikifuatilia msugusno ulioo kati ya Trump na Huawei na let me tell you, tangu Trump ajichanganye kuifungia Huawei, mauzo yake yamepaa. Watu wengi huko ulaya na Marekani walishauri huawei waznzishe OS yao kumaliza monopoly ya android. Bahati njem kwa huawei walishaona kuwa siku moja hili litatokea, wakawa wameshajiandaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]rudi mirembe ulipotoroka
Nope, niliona niwashirikishe muelewe, nami niliifuma tu hiyo conference nikiwa kwenye majukumu mengine. Wenye upeo wameelewa maana yangu, wenye udhindani usiotija (kama kawaida ya wabongo) wametoka kapa na kuanza kugawana upandeHuyu ni team china
Nimeifuma wakati natafuta jambo fupani kama research. Wakati mwingine mjifunze kuappreciate taarifa, hii sio tukio lililopita, nimeonyesha kuwa linaendelea na nikaeleza jinsi ya kuingia, lakini bado tu kwako ikawa ni vibaya. Unataka nikae kumyampaka kikao koishe ndio mije kukutaarifu? Niliwalenga walio na shauku kufuatilia kinachoendelea na sio wanaosubiri masimulizi.Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,
Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
Asante kwa kutushirikisha, but mwishoni umemaliza kishabiki zaidiNope, niliona niwashirikishe muelewe, nami niliifuma tu hiyo conference nikiwa kwenye majukumu mengine. Wenye upeo wameelewa maana yangu, wenye udhindani usiotija (kama kawaida ya wabongo) wametoka kapa na kuanza kugawana upande
mjanja 'chipset' anatengeneza mwenyewe sio 'kununua'Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley