Huawei Conference live muda huu

Huawei Conference live muda huu

Lazima tukubali kuwa mchina sio muafrika kivyovyote anawekeza katika njia ya kujitegemea zaidi na ukweli atafika sababu anajituma sana
Wachina na wahindi wana mentality Fulani kwamba vitu vya west Ni Bora zaidi na wanapenda Sana kuvicopy, na Wala hawaoni aibu wapo proud kabisa,

China Ili simu iuze Sana inabidi iige shepu Fulani Hivi ya iPhone, ama Samsung etc nadra Sana kukuta wanafanya vitu vyao original, hata hio os ya Huawei subiri ianze kuonekana kwenye simu utaona.

Huwezi ukawa na Technology imara Bila kufanya tafiti za ukweli.

Leo hii Japan akikohoa Kidogo tu mataifa kibao yanatetemeka kutokana na technologies anazomiliki. Hana waandishi wa habari wanaompamba, Hana Mashabiki wanaomsifia Kila sehemu online, ila ana technology ya kuitingisha nchi yotote duniani.

Bila China kufikiria out of box na kugundua vitu vipya ataendelea kuburuzwa Kila siku.
 
Asante kwa kutushirikisha, but mwishoni umemaliza kishabiki zaidi
Sivyo mkuu, niliyemnukuu aliandika kishabiki, ndipo nikasema wameanza kugawana pande, team wetern tech na team China tech.
 
Nimetumia Tecno, Samsung na Huawei ila nashawishika kusema kabisa kwamba huawei wapo vizuri sana.
Mkuu, nashangaa wajuvi wa mambo humu jukwaani wanaponda bila ushahidi. Kwa sasa Huawei wako juu kwa teknolojia na ndio sababu ya Trump kujaribu kuwaangusha
 
mjanja 'chipset' anatengeneza mwenyewe sio 'kununua'
processor zote za simu za Huawei ni ARM based, ambazo ni za UK
UK akikata supply za izo ARM, Huawei anakufa kifo cha mende

HW kwanza ndipo SW inafata
ukiwa na OS yako then still HW (chipsets) unaagiza ni ujinga wa kiwango cha lami
Basi hujui tech inavyofanya kazi. Kwa mtazamo qako unadhani ukienda boeing utakuta wamejitosheleza kwa kila parts!! Au ukienda samsung basi wako kamili!! Think again!!
 
Wachina na wahindi wana mentality Fulani kwamba vitu vya west Ni Bora zaidi na wanapenda Sana kuvicopy, na Wala hawaoni aibu wapo proud kabisa,

China Ili simu iuze Sana inabidi iige shepu Fulani Hivi ya iPhone, ama Samsung etc nadra Sana kukuta wanafanya vitu vyao original, hata hio os ya Huawei subiri ianze kuonekana kwenye simu utaona.

Huwezi ukawa na Technology imara Bila kufanya tafiti za ukweli.

Leo hii Japan akikohoa Kidogo tu mataifa kibao yanatetemeka kutokana na technologies anazomiliki. Hana waandishi wa habari wanaompamba, Hana Mashabiki wanaomsifia Kila sehemu online, ila ana technology ya kuitingisha nchi yotote duniani.

Bila China kufikiria out of box na kugundua vitu vipya ataendelea kuburuzwa Kila siku.
Mkuu sikutegemea uko nyuma ya wakati kiasi hiki. Ni dhahiri kwenye tech ya AI China imeipita USA. Hata kwenye tech za simu China iko mbele ya US companies. Sasa liko swali linaulizwa :

Kama China iko mbele ya US, iweje ituhumiwe kuwa wanaiga teknolojia? Mfano Huawei ni waasisi wa 5G wakati makaampuni ya Ulaya na Marekani hayajavumbua bado, wameiga wapi?

Je, unajua kuwa tangu 2012 Huawei ilitenga budget kwa ajili ya kufanya research ya OS mpya?
 
Basi hujui tech inavyofanya kazi. Kwa mtazamo qako unadhani ukienda boeing utakuta wamejitosheleza kwa kila parts!! Au ukienda samsung basi wako kamili!! Think again!!
Huawei walishuka kimauzo pale US alipositisha supplies za chipset , iyo ina maansha nini?
inamaanisha bila chipset za US/UK, Huawei amna kitu,

inamaanisha wanachoweza kutengeneza ni chipset za hali ya chini za mediatek(mtk)

US wakawaonea huruma na kusupply tena,
China (Huawei) bado sana, still nitawaona kama slaves wa tech so long as wataendelea kuanunua izo chip kutoka West
Yaani Bila West, Huawei is just one mean piece of crap,
 
Kwa taarifa tu, hiyo OS mpya itakuwa na support kwa android apps zote na web apps.
 
Mkuu sikutegemea uko nyuma ya wakati kiasi hiki. Ni dhahiri kwenye tech ya AI China imeipita USA. Hata kwenye tech za simu China iko mbele ya US companies. Sasa liko swali linaulizwa :

Kama China iko mbele ya US, iweje ituhumiwe kuwa wanaiga teknolojia? Mfano Huawei ni waasisi wa 5G wakati makaampuni ya Ulaya na Marekani hayajavumbua bado, wameiga wapi?
hahaha eti wako mbele ki tech wakati chipset zinatoka ukouko wanakotupia jeuri,
 
Huawei walishuka kimauzo pale US alipositisha supplies za chipset , iyo ina maansha nini?
inamaanisha bila chipset za US/UK, Huawei amna kitu,

inamaanisha wanachoweza kutengeneza ni chipset za hali ya chini za mediatek(mtk)

US wakawaonea huruma na kusupply tena,
China (Huawei) bado sana, still nitawaona kama slaves wa tech so long as wataendelea kuanunua izo chip kutoka West
Yaani Bila West, Huawei is just one mean piece of crap,
Mkuu, naomba sources zako. Baada ya ujinga wa Trump mauzo ya Huawei yamepanda kwa 30% kiasi kwamba CEO wa Huawei amemshukuru Trump kwa kuwafanyia marketing.

Pili elewa kuwa waliolalamikia ban ya Huawei ni Google na Silicon Valley. Goigle alikuwa anajiandaa kwenda mahakamani kupinga zuio la Trump kufanya biashara na Huawei kwa sababu lilikuwa linakwenda kuangusha kampuni yao, Silicon Valley kadhalika walikuwa kwenye hatihati. Mwaka jana pekee Huawei iliingizia Silicon Valley zaidi ya dollar bilioni 11.

Tatu kulikuwa na kampeni sya kususia bidhaa za kimarekani za simu, hasa Samsung na Iphone huko China na Asia yote. Kama wewe kweli ni mfuatiliaji wa mambo ya Tech utajua madhara ya hili
 
Huu hapa ushahidi toka Bloomberg.

Sasa mkuu umeleta mada hata ww hauijui,haijulikani ni conference ya nini,hakuna link,

Alaf umeongea kishabik,yani kifo cha android kiletwe na hyo hongmeng? Sio Leo
Yaani kuna watu wameptiliza katika ( ) hapo natafuta neno sahihi.

Yaani Huawei hajaingia sokoni tujue ana ofa gani tayari blablaj kibaaaao.

Hivi baada ya ma confrence yooote ikionekana si chochote watatafuta shimo la kujichimbia. Mambo ya kiufundi naona watu wanafanya kama beting za sport pesa
 
Mkuu sikutegemea uko nyuma ya wakati kiasi hiki. Ni dhahiri kwenye tech ya AI China imeipita USA. Hata kwenye tech za simu China iko mbele ya US companies. Sasa liko swali linaulizwa :

Kama China iko mbele ya US, iweje ituhumiwe kuwa wanaiga teknolojia? Mfano Huawei ni waasisi wa 5G wakati makaampuni ya Ulaya na Marekani hayajavumbua bado, wameiga wapi?

Je, unajua kuwa tangu 2012 Huawei ilitenga budget kwa ajili ya kufanya research ya OS mpya?
Mkuu 5G haijagunduliwa na Huawei, wenye technology zao wameshaanza kula hela

Nokia, Ericson na Qualcomm kwa pamoja Wana Kama 90% ya Royalities za 5G (according to strategy analytics) source

Huawei Ni muuzaji wa vifaa vya Bei rahisi vya 5G (infrastructure), hivyo utofautishe baina ya 5G infrastructure (vifaa ambavyo mitandao ya simu wanafunga) na technology ya 5G. Huawei mwenyewe mpaka leo anategemea Technology ya Qualcomm kwenye modem za simu zake.

Anachohofia Trump Ni hizo infrastructure za Huawei kutumika marekani, na Kama unaoona Marekani Sasa Hivi Wana roll 5G kipitia Nokia na Ericson.

Mfano wake Ni Kama Simu, Apple ama Huawei si wagunduzi wa simu Ila wanauza Sana simu, ili watengeneze hizo simu wanahitaji kununua Modem kwa Qualcomm, ram kwa Samsung, connectors kwa Texas Instruments, WiFi broadcom etc

Na kwenye simu si kweli kwamba China ipo mbele, Kama una muda tunaweza kuifungua simu kifaa kimoja kimoja tuangalie kinapotengenezwa na utakuwa surprised Sana kukuta almost asilimia 99 Ni vitu nje ya China, wanachofanya kina Foxconn Ni kupachika tu vifaa sababu Wana wafanyakazi wa Bei rahisi ila sio kwamba Ni tech za China.

Huawei yenyewe Kama Kila kifaa kwenye simu kingefungwa spika kinataja kilopotengenezwa basi ingekua inalia tu "Samsung", kampuni ilioathirika na ban ya Huawei Ni Samsung zaidi.
 
Asante, ila mimi siongei kishabiki kama wewe. Nimekuwa nikifuatilia msugusno ulioo kati ya Trump na Huawei na let me tell you, tangu Trump ajichanganye kuifungia Huawei, mauzo yake yamepaa. Watu wengi huko ulaya na Marekani walishauri huawei waznzishe OS yao kumaliza monopoly ya android. Bahati njem kwa huawei walishaona kuwa siku moja hili litatokea, wakawa wameshajiandaa.

Sasa wewe unayejadili ushabiki endelea, huna unalojua zaidi ya kutaja components za simu. Hujui hata siasa iliuopo kwenye hivi vits. Hujui kama huawei inashambuliwa kwa kuwazidi technology Samsung na Iphone. Hujui kuwa mnunuzi mkubwa wa chip toka Silcon Valley ni nani. Hujui lolote kuhusu soko kubwa la Samsung ni wapi. Hujui kuwa Google wanategemea wapi kuendelea kudumu sokoni.

Endelea kutaja ram, chip, memory, camera n.k. Ndio upeo wako ulipoishia
Una data mauzo ya Huawei ? Nitakuletea hapa baada ya 2 weeks Huawei iko bei gani dukani UK Manchester huko. Dogo anaisbo huko. Nitaenda baada ya wiki 2 . Ziko chini sana bei mdio maana zinauzika lama vitochi sasa

Acha kudanganya watu. Nitakupa bei ya dukani. Huaei bado saaaana.

Nikama mpira mnatangaza usbindi hata ligi haijaaanza. Ai gize sokoni hiyo OS tuonne in ni i.
 
Mkuu, naomba sources zako. Baada ya ujinga wa Trump mauzo ya Huawei yamepanda kwa 30% kiasi kwamba CEO wa Huawei amemshukuru Trump kwa kuwafanyia marketing.

Pili elewa kuwa waliolalamikia ban ya Huawei ni Google na Silicon Valley. Goigle alikuwa anajiandaa kwenda mahakamani kupinga zuio la Trump kufanya biashara na Huawei kwa sababu lilikuwa linakwenda kuangusha kampuni yao, Silicon Valley kadhalika walikuwa kwenye hatihati. Mwaka jana pekee Huawei iliingizia Silicon Valley zaidi ya dollar bilioni 11.

Tatu kulikuwa na kampeni sya kususia bidhaa za kimarekani za simu, hasa Samsung na Iphone huko China na Asia yote. Kama wewe kweli ni mfuatiliaji wa mambo ya Tech utajua madhara ya hili
shabiki maandazi wewe, wafanyakazi wote wa Huawei wanatumia iPhone,
eti wako mbele ki tech, wakati huohuo Huawei anatumia resource za marekani upande wa HW (chip set) na SW (android)
au mchina wewe ?

anachofanya Huawei ni assembling tu, resources zote zinatoka US/UK, phase 1 ya manufacturing yote ina happen US/UK

ni sawa na kumtukana baba yako aliekulisha

SoCs/SoBs zote anazotumia mchina kwenye miundombinu ya 5G zinatoka US/UK, hadi hii nikuwekee na source pia ?
 
1.JAPAN IS THE SUPERIOR OF TECHNOLOGY.
2.The United States of America, more specifically, Silicon Valley, is the reason why the world has an internet to access.
had medicinal science, war science, science relating universe and what not from the ages where other countries don't know how to get their basic needs

4.South Korea is voted on the list of countries with the fastest internet speed in the world
5. Germany should be number one if you think about it. The first computer, the first, car, the first rocket and even the first jet engine. They are still nowadays the most high tech in the world. 80% of Japans and usa's high tech things are first developed and designed in Germany
6. China has really surprised the world with the major developments its made. I would say that without a doubt China will be the worlds most developed country in the next 10-20 years
7. The UK produces the second most-cited scientific papers in the world - the first, if you note the huge population gap between the UK and the USA.

England made many of the famous scientists that lead to the Scientific Revolution, and Industrial, if you want that to count.
8.
Israel is the second most important center for high-tech and innovation in the world after Silicon Valley.+116
Israel has developed Intel chips, they have invented the flash drive, they have developed a massive amount of treatments to an incalculable number of diseases and conditions (Cancer, AIDS, etc.). They developed a large number of software, such as firewall and defense software and have contributed to the creation of many operating systems. They have developed the algorithm of sending emails. The technology of mobile phones was developed in Israel. Without Israel, the consumer lifestyle that many people enjoy that includes advanced technology and healthcare would not exist.
 
Mkuu ukiingia deep kwenye hio silicon utaona pia ili kampuni Kama Intel, Samsung na wengineo wanaotumia zaidi silicon wanategemea Japan.

Mchanga ambao upo purified zaidi kwa ajili ya wafers unatoka Japan, hivyo ili kampuni za kimarekani zitengeneze chip zinahitaji mchanga toka Japan, wao hawana technology ya kupurify huo mchanga.

Same ukienda kwa Korea nao ili watengeneze displays plate zinatoka Japan na chemicals muhimu, ndio maana juzi ugomvi wa Japan na South Korea uliwatetemesha Sana Samsung na LG.

Japan Ndio mababa wa technology Ngumu duniani.
 
Back
Top Bottom