How you look like?

Kuna mzushi alinambie eti klorokwini kajitoa jf, nikapata mshtuko ikatoka!.
Itakuwa alikosea spelling ni kweli nimejitoa fesbuku ili nipate muda mwingi wa kumpigia misele husninyo apa JF.
 
Itakuwa alikosea spelling ni kweli nimejitoa fesbuku ili nipate muda mwingi wa kumpigia misele husninyo apa JF.
Ukimtaja husninyo unazidi kunletea mshituko, mabaki ya mimba nayo yatatoka bana...
 
Unaniangusha sasa Y_M, kumbe wewe mwepesi kukata tamaa! Umesahau kuna binadamu kazi yao kubwa ni kushusha na kukatisha tamaa wenzao? Potezea bana!

Wengine mioyo yetu midogo kama piritoni. Hatuchelewi kuumia
 
Unaniangusha sasa Y_M, kumbe wewe mwepesi kukata tamaa! Umesahau kuna binadamu kazi yao kubwa ni kushusha na kukatisha tamaa wenzao? Potezea bana!
We sweetlady....kwa nn unamsaidia kujitetea????mwache apambane,yeye si kasema tumemwaga mboga yeye kamwaga ugali????sasa mwache auzoe ugali kwanza!!!
 
We sweetlady....kwa nn unamsaidia kujitetea????mwache apambane,yeye si kasema tumemwaga mboga yeye kamwaga ugali????sasa mwache auzoe ugali kwanza!!!
Wewe dudu jeusi inaonekana hata roho yako ni nyeusi, unapenda uchokozi sana wewe, na vile Y_M sio bingwa wa kucheza na maneno kama wewe ndio mana unamwonea! Mwache mwenzio, hajawahi kutofautiana na yeyote kwa ubaya why mnamfanya akose raha? Sio vizuri hata Mungu hapendi!
 
Ok, potezea vile ushagundua havina msingi wala mantiki!

Tututututuuuuuuuu...eeeeeee kidedeaaa,
Tututututuuuuuuuu...eeeeeee kidedeaaa,
Tututututuuuuuuuu...eeeeeee kidedeaaa,
Dk ya 88 Y_M anapigwa bao la 4,ndg msikilizaji kama matokeo yatabaki hv.......!!!!
 
Basi sweetlady ngoja nimuache,
Basi mwambie asalimu amri kwanza basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…