How you look like?

nina pua kama uchi wa punda dume. Kulaleki.

Sweetlady na shosti mimba zenu zinaendeleaje?
 
Inaonekana sura zao ni ngumu kama avatar ya nitonye ndio mana wanakushangaa vile ulivyo!..

Achana nao hawa sweetlady. wamekosa kazi za kufanya ndio maana wanakuja kupoteza mda kwa mambo ya kipumbavu. Kama vipi twende tukapunge upepo tukapate japo juice
 
Mkuu mnaenda kugonga juice ya nn??
Mie napenda ya limao!
 
Achana nao hawa sweetlady. wamekosa kazi za kufanya ndio maana wanakuja kupoteza mda kwa mambo ya kipumbavu. Kama vipi twende tukapunge upepo tukapate japo juice

Embu shika adabu yako unamjua huyu au kwa sababu anakutetea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…