How will you spend your weekend?

Saturday- Nitakuwa home na my big n small kaboy .... .. Asubuhi usafi kidogo, then take care of my boys. Jion live band na wine kidogo.

Sunday: church, then najiandaa kwa ajili ya ofisi (blue monday).

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ratiba yangu ita alternate between kufua, kupika na kumuangalia baby wangu. Kazi zingine dada atafanya. Jioni nitatafuta muda baby akiwa amelala nifanye mazoezi. Halafu nitasoma vitabu, nitaperuse JF na kucheki movies. I will be very happy. Wewe je?
Wine na kucheza mziki na mume wangu (making love all night long in front of a fireplace ) wanangu wanakwenda kwenda kuona hockey game na babu Yao .uhh I can't wait
 
Mutoto ya fisadi angalia msianguke kwenye Moto

Wine na kucheza mziki na mume wangu (making love all night long in front of a fireplace ) wanangu wanakwenda kwenda kuona hockey game na babu Yao .uhh I can't wait
 
Have a lovely and enjoyable weekend

AH MI MAGUVU GUVU NA MAMISULI !UNAFIKIRI NATAKA!?ah wapi wish like nipate mp3 ya nyimbo za michael bolton tu!nisikilize mwanzo mwisho! BAK hebu do ze nidful!
japo nipatia ka wimbo ka moja ka dream husky voice wangu!lol
 
Last edited by a moderator:
Kesho, nitafanya kazi ya kumfundisha new maid kutengeneza juice, na kupika; baadaye kama weather ikiruhusu, nitaenda swimming na my son ambaye amekuja likizo. Jumapili ni church, then watching emmanuel TV na kumalizia viporo vya ufisini!

wifi, mwanangu anaendeleaje? Ile kesi iliisha salama eeh? Hebu mlete bwana uncle wake Paw amfundishe kung fu na mie nimpe busara zangu huku tunaswim. Wewe nenda spa leo ama saluni.
 
wifi, mwanangu anaendeleaje? Ile kesi iliisha salama eeh? Hebu mlete bwana uncle wake Paw amfundishe kung fu na mie nimpe busara zangu huku tunaswim. Wewe nenda spa leo ama saluni.

Anaendelea vyema, amekuja juzi tu kwa likizo.
Great idea; ni bora apewe tizi na uncle Paw; ila spa Kigoma ni sawa na barafu kudondoka Dar pamoja na kwamba 'tunatigita'. LOL

Ningependa massage hasa ya miguu lkn, last time nimefanyiwa peiducure na kuosha miguu nikatoka na fungus, so l do my everything nyumbani!

Sawa wifi, r u coming to pick him au nimlete? Halahala, anakula beans huyo; so bandika maharage kabisa!
 
Last edited by a moderator:
hahahah!!yeah,c u therrr!!!ntakutambuaje jaman?lol

orait....nilikuja......lakini mazingira hayakunifariji nikaondoka....khaaaa!!.....kwa nini wasingepigia nje.......waliniuzi.......
 
orait....nilikuja......lakini mazingira hayakunifariji nikaondoka....khaaaa!!.....kwa nini wasingepigia nje.......waliniuzi.......

me nilikomaa mpk nite kali,,yah watu walikuwa wengi sana!hata me nilijua wengefanyia nje,kweli walichemsha!pole
 
Back
Top Bottom