How will you spend your weekend?

jamaani!
natamani niwe na ratiba nyingine zaidi ya hii ya kuandaa report ya kazi niliyokuwa nafanya wiki mbili hizi!
sijui nitamaliza mapema maskini,japo niende kubarizi beach tu!lol

pole ishakula pande yako hiyo...ila unaweza tafuta movies kadhaa kurefresh
 
we Kaunga wewe!!viporo vya ofisini ukavimalizie home!!!ina maana unaenda na nyara za serikali home!!

Nikiwa na kazi inauohitaji kuumiza kichwa sana, nyumbani nafanya kazi vizuri bila distractions kama ofisini.
 
Last edited by a moderator:
mmmmh!!ukipotelea huko usirudi ofcn na kazi ndo inakuwa imepotea!!!

Ni laptop tu, kazi yenyewe ni kuandaa annual work plan; sohusiki na mavoucher wala nini. Mimi ni technical person so vitu vipo kwenye soft copies na kwenye brain tu!
 
hizo hizzo tu zafaa maadamu tu zatuliza akili...

AH MI MAGUVU GUVU NA MAMISULI !UNAFIKIRI NATAKA!?ah wapi wish like nipate mp3 ya nyimbo za michael bolton tu!nisikilize mwanzo mwisho! BAK hebu do ze nidful!
japo nipatia ka wimbo ka moja ka dream husky voice wangu!lol
 
Last edited by a moderator:
mie jioni leo ntaanza na
ngwasuma,wako huku kask!ntarud hom very late,so i wil wake late
too!!nkiamka then zamu yangu kucheza na kababy kangu,afu minor hom
repair na mazingira,shambani(liko jirani) then usiku najipombeshea
hom!!nikilala nikiamuka j2 church!!kote huko wife yupo ila kungwasumika
no,bado mzazi!hiyo ni kwaufupi sanaaaaaaaaaaa

tutakutana....unitafute....tungwasumike...
 
AH MI MAGUVU GUVU NA MAMISULI !UNAFIKIRI NATAKA!?ah wapi wish like nipate mp3 ya nyimbo za michael bolton tu!nisikilize mwanzo mwisho! BAK hebu do ze nidful!
japo nipatia ka wimbo ka moja ka dream husky voice wangu!lol

yaani kati ya wanadamu ambao wanaangalia movies kwa rate ya hatari hapa Tanzania, naweza nikawepo kwenye 100 bora...maana huwa hainipiti hata moja
 
Ni laptop tu, kazi yenyewe ni kuandaa annual work plan; sohusiki na mavoucher wala nini. Mimi ni technical person so vitu vipo kwenye soft copies na kwenye brain tu!
mwalimu wetu alienda na matokeo ya mtihani home kwake!bahati mbaya nyumba ikaungua usiku,na matokeo yetu hatukuyapata hadi leo!
 
mwalimu wetu alienda na matokeo ya mtihani home kwake!bahati mbaya nyumba ikaungua usiku,na matokeo yetu hatukuyapata hadi leo!

Ni accident, sasa tunapewa laptop ili tuzidi kuwatumikia wakoloni; maana ukipiga hesabu ni over 200hrs a month badala ya 160.
 
Ni accident, sasa tunapewa laptop ili tuzidi kuwatumikia wakoloni; maana ukipiga hesabu ni over 200hrs a month badala ya 160.
pole,itumikie nchi yako!!!ila pata muda wa kufanya mambo ya home hizo kazi zipo tu!!anyway natamani nije kukuona unavyo ogelea!!sijui unaongelea ziwa gani,kama ni nyasa siji,huko lolote la weza tokea katika kipindi hiki!!!
 
fabinyo usinichekeshe. Ama labda sijaelewa. Home repairs na shambani utaenda na mai waifu wako ila ngwasuma haendi?

aaah,bana yeye anakuwa ananistorisha huku anagonga mtori aisee ila ngwasuma bado mgongo haujakomaa best!!
 
In a tent, in the rainy forest, hundreds of kilometers from any "civilisation" (but with JF, somehow he he he he)
 
aaah,bana yeye anakuwa ananistorisha huku anagonga mtori aisee ila ngwasuma bado mgongo haujakomaa best!!

me too. Mtori stage nishapita but ze mugongo bana is bringing shidaz.
 
Back
Top Bottom