How will you spend your weekend?

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,059
2,000
Ratiba yangu ita alternate between kufua, kupika na kumuangalia baby wangu. Kazi zingine dada atafanya. Jioni nitatafuta muda baby akiwa amelala nifanye mazoezi. Halafu nitasoma vitabu, nitaperuse JF na kucheki movies. I will be very happy. Wewe je?
 
fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,824
2,000
mie jioni leo ntaanza na ngwasuma,wako huku kask!ntarud hom very late,so i wil wake late too!!nkiamka then zamu yangu kucheza na kababy kangu,afu minor hom repair na mazingira,shambani(liko jirani) then usiku najipombeshea hom!!nikilala nikiamuka j2 church!!kote huko wife yupo ila kungwasumika no,bado mzazi!hiyo ni kwaufupi sanaaaaaaaaaaa
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Kesho, nitafanya kazi ya kumfundisha new maid kutengeneza juice, na kupika; baadaye kama weather ikiruhusu, nitaenda swimming na my son ambaye amekuja likizo. Jumapili ni church, then watching emmanuel TV na kumalizia viporo vya ufisini!
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Dah!Kwa leo siko poa,labda kesho nitaona nitaamkaje!
 
Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,490
2,000
Kesho nitakuwa busy na watoto wangu tukipeana maswali na kusahihishana
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,059
2,000
mie jioni leo ntaanza na ngwasuma,wako huku kask!ntarud hom very late,so i wil wake late too!!nkiamka then zamu yangu kucheza na kababy kangu,afu minor hom repair na mazingira,shambani(liko jirani) then usiku najipombeshea hom!!nikilala nikiamuka j2 church!!kote huko wife yupo ila kungwasumika no,bado mzazi!hiyo ni kwaufupi sanaaaaaaaaaaa

fabinyo usinichekeshe. Ama labda sijaelewa. Home repairs na shambani utaenda na mai waifu wako ila ngwasuma haendi?
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
18,059
2,000
Kesho, nitafanya kazi ya kumfundisha new maid kutengeneza juice, na kupika; baadaye kama weather ikiruhusu, nitaenda swimming na my son ambaye amekuja likizo. Jumapili ni church, then watching emmanuel TV na kumalizia viporo vya ufisini!

sweetie ratiba ya swimming fidia na kingine. Manake kama upo Dar cheki hali ya hewa uone. Il hizo zingine zimekaa poa.
 
smallvile

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
493
250
A Glas of wine with my friend will make my evening a cheerfull one
2000 hrs i'l be back home, with my family we'l have dinner together
some talk will take me to bed time, my page will be on from dinner time oups
 
KIKUNGU

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
850
1,000
Just work,work and work..................on saturday.Church on sunday and later on football bonanza at Kawe,Tanganyika Packers ground,njoo uone wachezaji wa zamani tunavyokumbushia ufundi wetu ha ha ha ha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom