How will you spend your weekend?

How will you spend your weekend?

Weekend yangu inaanza kesho saa saba na nusu baada ya kufunga ofisi, then nitapita kwa Rafiki yangu kumjulia hali tupige stori kwani kaumwa ghafla jana, then jioni nitatinga home, J2 naingia kusali misa ya kwanza, then nitakwenda kufua halafu kifuatacho ITV
gues it!
 
haya! Weye mwenzetu ramani yako ikoje?

Haiko..sina ratiba ya wikend!
i jus flow with what i fell is ryt at that moment. zaidi ya kufua tena leo usiku kesho ni kuanika tu..sina ratiba ingine aisee...
 
Haiko..sina ratiba ya wikend!
i jus flow with what i fell is ryt at that moment. zaidi ya kufua tena leo usiku kesho ni kuanika tu..sina ratiba ingine aisee...

na mi cna ratiba , nikualike
 
Just work,work and work..................on saturday.Church on sunday and later on football bonanza at Kawe,Tanganyika Packers ground,njoo uone wachezaji wa zamani tunavyokumbushia ufundi wetu ha ha ha ha

wish I could, for real.
 
hahaha, nimeukumbuka ule mstory wako wa Zenji nikajumlisha na hii hapa...lol

ya kwangu nayajua mwenyewe yanavyonichanganyaga. Niambie yako banaaaa.
 
Weekend yangu inaanza kesho saa saba na nusu baada ya kufunga ofisi, then nitapita kwa Rafiki yangu kumjulia hali tupige stori kwani kaumwa ghafla jana, then jioni nitatinga home, J2 naingia kusali misa ya kwanza, then nitakwenda kufua halafu kifuatacho ITV
gues it!

my guess? You will spend Sunday afternoon in the arms of the one who loves you.
 
Haiko..sina ratiba ya wikend!
i jus flow with what i fell is ryt at that moment. zaidi ya kufua tena leo usiku kesho ni kuanika tu..sina ratiba ingine aisee...

i did the same thing back then. Nitasema leo sitoki kabisaa halafu last minute fasta kuoga mimi huyo kulewaaaaaaa
 
ya kwangu nayajua mwenyewe yanavyonichanganyaga. Niambie yako banaaaa.

saturdays ni mitoko, movies.
sundays church, stay put a home.

that's my weekends diary
 
Kesho, nitafanya kazi ya kumfundisha new maid kutengeneza juice, na kupika; baadaye kama weather ikiruhusu, nitaenda swimming na my son ambaye amekuja likizo. Jumapili ni church, then watching emmanuel TV na kumalizia viporo vya ufisini!
we Kaunga wewe!!viporo vya ofisini ukavimalizie home!!!ina maana unaenda na nyara za serikali home!!
 
Last edited by a moderator:
Kesho, nitafanya kazi ya kumfundisha new maid kutengeneza juice, na kupika; baadaye kama weather ikiruhusu, nitaenda swimming na my son ambaye amekuja likizo. Jumapili ni church, then watching emmanuel TV na kumalizia viporo vya ufisini!

Utaswim ukiwa umeva bikini tu?
how old is your son?
ni swimming pool au lake?
 
Nice thread.. Well, on Friday night i will be somewhere at Roppongi Hills (some few people will know what i mean)..then on Saturday i'll attend the birthday party of my friend then i'll spare my time to perusing in JF ...Sunday will be merely for sleeping...tchao!!
 
jamaani!
natamani niwe na ratiba nyingine zaidi ya hii ya kuandaa report ya kazi niliyokuwa nafanya wiki mbili hizi!
sijui nitamaliza mapema maskini,japo niende kubarizi beach tu!lol
 
Back
Top Bottom