Dividend
JF-Expert Member
- Jan 15, 2017
- 2,133
- 3,401
Sasa bwana mdogo utasemaje miziki ya bongo imeanza kuhit kenya kipindi cha wasafi wakati kipindi cha kina mr nice ulikuwa hujazaliwa, na hata mambo ya kwenda club umeyajua juzi.I dont know who that is i was not born in his era mzae,check my profile pic n am not from mombasa so sijui huyo ni nani mzae,nimegrow nikiskiza vitu different sana nimejua bongo juu ya klabu na ni juzi juzi tu venye diamond amekam,pole bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikuambia jinsi wakina marlow, hussen machozi, kina tid na wengine wengi walivyohit kenya kwenye miaka ya kuanzia 2000- 2013 najuwa utanibishia, chakufanya mtafute broo hapo mtaani kwako akupe taarifa za hao wasanii. Pia muulize mr nice ni nani.
Kwahiyo bwana mdogo miziki ya bongo ime dominant soko la muziki huko kenya tangu miaka hiyo ndio maana mmeona ni too much mkaamua kuja na kampeni yenu ya kusema play kenya music. May be inaweza kuwainua kidogo but mkumbuke aliyekuwahi kakuwahi tu
Kwahiyo wewe kutokuwa hujazaliwa au hujaanza kwenda club kipindi hicho haiondoi huo ukweli.
Will m tuva alisema ukweli kuwa wasanii wengi wa kenya hawajitumi hata kidogo, na hawapendi kusaidiana.
Akotee anasema alikuwa naigeria akawa anawauliza baadhi ya watu ni msanii gani mnayemjua kutoka kenya? Wengi walikuwa wanasema wanawafaham sauti solo tu so unaweza kuona ni kwa jinsi gani bado amjajitangaza vya kutosha