How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Hivi Hawa jamaa hawaoni haya.... hata kama ni kukomaa sio kiiivyo... wajiuzulu bwana tushachoka na type hizi za viongozi..uzembe huu wa sasa hauvumiliki...Hivi mwinyi hajifunzi kutoka kwa Baba yake mwaka 1972 alijiuzulu na heshima yake ikabaki palepale...watuachie nchi yetu bwanaa..

Mwendapole
 
tangia lini haki ikapotea? nasikitika kuwa wanajamii wengi wamekuwa wakikata tamaa katika mambo ya msingi kabisa eti kwa kuogopa kutumia muda yaani watu wengi waita ni kupoteza muda. mi ninasema kuwa ni hatari sana kukata tamaa katika maisha yako maana utakuwa unakinyima haki kizazi chako cha leo na kijacho. tafadhali tulinde haki zetu.
:mullet:SIJUI KAMA SI KWELI SIJACHANGANYIKIWA:mullet:
 
Jamani Tanzania ni yetu pamoja, tushirikiane kwa hali na mali katika wakati mgumu wa sasa kwa kujiunga pamoja katika swala zima la kuhakikisha tunawapa mkono wana gongolamboto na kuirudisha jamii yetu katika hali ya kawaida na kuendelea kulijenga taifa letu!
 
habari wanajamii nisingependa kupost bila wa kuwasalimia wadau.Naomba mnikaribishe.

Asanteni
 
Sasa lakini kama JK alisema Miliki wa Dowans hamjui, na kama kweli yuko na commitment kwa taifa, kwanini sasa vyombo vya dola havija mkamata huyo miliki aliyejitokeza akatambulishwe rasmi kwa mheshimiwa?
 
nimejaribu kujiuliza mara nyingi japo yawezekana sijipi majibu sahihi,inakuwaje mtu amesoma bongo hadi kamaliza chuo then anatoka nje kusoma doctorate au masters.
Inamaana vyuo vya hapa kwetu havifai? kama ndivyo mbona kuna wageni wengi wanasoma hapakwetu? mbona research nyingi zinafanywa na hawa wageni hapa kwetu? hivi sisi hatuoni hayo? au ni ushamba tulio nao kuhusu ulaya na america kuliko wao watuonavyo sisi?
TAFADHALI NICHANGIENI MAJIBU NATAKA KUFAHAMU KWANINI?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom