How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Wengine ni wavivu wa kusoma maelekezo hatua kwa hatua na ndio maana wanauliza maswali ambayo yameshapatiwa majibu. Hongera sana Invisible kwa ustahimilivu, maana naona kila mtu unamjibu.
 
hellow, as u view my profile, am a new member on jamii forum.. wish to stay close to friends and relatives as the best way to build our political culture, am expecting a great support from u.
 
kaka nashukuru sana umenitoa gizani, sasa hivi ni bwerereeee kama hedikopta ya mbowe.
 
Sorry,nina kitu kinanisumbua nataka jua jinsi gani naweza kumjibu mtu (member) na jina lake likawa highlighted au kuwa live kutoka pale kwenye post yangu.
 
Msaada jinsi ya kushiriki mada live ktk jf
 
I enjoy very much to be a member of JF. I believe, through my experience and professional my contributions and discussions of various topics in one way or another will be a catalyst of solving related daily challenges. I promise to follow all steps of my senior members . To JM management I promise to be royal and obedient to laws and instructions. I salute you all
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom