How to use JamiiForums effectively

How to use JamiiForums effectively

Status
Not open for further replies.
Sometimes vitu kama Igunga Issue vinaboa na kupoteza muda . We are waiting for action and not a lot of discussions
Got me? Get prepared guys this is Tanzania
 
hi naomba uniambie ni cim card gani nzuri kwa kutumia na network yake nzuri na kwa internet nzuri na ni rahisi
 
"Kama vyama vya tanzania vitaendelea kuendekeza mfumo wa kugawana madaraka hakika hatutakuwa na maendeleo ya kweli". Kama CDM wangewaacha madiwani Wa arusha bac tungeelekea kulekule kwenye serikali ya umoja wa kitaifa ya ZNZ ambayo dhahiri inawaumiza wananchi. "Demokrasia ya kweli lazima ifuate misingi ya haki si ulafi wa kugawana madaraka" Hongera cdm kwa maamuzi magumu.
 
Jamani kwani humu tusiwe tunatoa ushauri zaid badala ya maneno makali kwa watu ama viongozi? Kwa nini tujadili mambo humu?
 
Jamani mi mgeni kwa hiyo sikosi kamba mguuni.tuelekezane vizuri
 
hellow jf members.am very new hapa janvini lakini naanza na ombi ndugu zangu nimemaliza Bsc in property and facilities management naomba kama kuna mdau anaweza kuni connect sehemu ya professional yangu angalau nifanye internship.thanx in advance
 
Jf inaonekana kuwa more complicated once mtumiaji anapokuwa akitumia simu. Hivyo nashauri yatolewe maelekezo ya namna ya zote mbili Simu na Pc
 
I dont believe in superheroes rather i do believe in the extraodinary.i believe people can do the extraodinary out of the ordinary not outside the ordinary:Elimring moshi (0714112062)
 
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mgeni katika libeneke hili napenda kuwasalimia na kuwaomba mnipokee kwa mara ya kwanza. Nahaidi ushirikiano.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom